Habari wadau tupo siku zinakwenda na tunazidi kutatua matatizo mengi ya kiuchumi kijamii kielemu na zaidi.
Kuna kitu ningependa tujadili na huenda kikatuongezea silaha zaidi za kupambana na challenge mbali mbali kwenye maisha yetu.
Kitu hiki ni feedback yaani mrejesho hasa wa mazungumzo tu...
Chadema imefanya kosa kubwa kujitoa ktk mazungumzo na ccm. Ccm ndio yenye dola.
Tujifunze hapa kwa waislam walipokuwa hawana nguvu walifunga mkataba na wasiokuwa na waislam baada ya mazungumzo marefu.
Mkataba
Mkataba wa Hudaybiyyah ulikuwa ni makubaliano ya amani yaliyofanyika kati ya Mtume...
Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na Urusi ndani ya siku chache zijazo endapo hakutakuwa na dalili za wazi za kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Urusi ilianzisha uvamizi wa moja kwa moja dhidi...
Umewahi kukutana na mazungumzo mtandaoni yaliyo katika ujumbe mfupi yakihusisha watu maarufu au viongozi wa kisiasa mathalani kutoka makundi sogozi ya Whatsapp?
Je, umewahi kujiuliza kuhusu Uhalisia wake?
Usiwe mwepesi wa kuamini maudhui kama hayo kwani teknolojia ya Akili Mnemba inaweza...
Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali...
Hali ni mbaya—tena mbaya sana. Ni vigumu kuelezea kiwango cha uharibifu bila kushikwa na hasira kali. Tumeingia katika zama za giza, zama ambazo maadili yameanguka vibaya, na kizazi kipya kinazama kwenye kinamasi cha upotovu bila hata kupambana. Wale tuliowatarajia kuwaongoza—mababa wa kiroho...
Kupitia msemaji wake kundi la wapiganaji wa Hamas wamesema kwa sasa wamefunga milango yote ya kuzungumza na Israel.Hawatishiki na chochote na hawatekelezi amri yoyote kwa shinikizo.
Baada ya mapatano yote kuvunjwa na Israel wameona ni kazi bure kufanya mazungumzo nao au kutii amri zao bila...
Duru za pande hasimu nchini Kongo zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana April 9.
Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani, imemteua Massad Boulos kuwa mshauri wa ngazi ya juu wa masuala ya Afrika, Arabuni na mashariki ya kati...
Kiwanja kwa matumizi ya sheli kinauzwa Chumbuya mkoa wa Songwe kiwanja sq 2800. Tshs. 300m mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached
14 hours ago
Share
US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025.
US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
Director General Dr Jabiri Bakari malalamiko ya kuibiwa bando/airtime yamekuwepo tangu Nape alipokuwa waziri wa sekita hiyo. Alikuwa anajibu kwa dharau na kiburi na majibu yake yalikuwa hayo hayo kama ulivyosema wewe. HILO NALIACHIA HAPO.
LA PILI: Tumelalamikia kuhusu mtu kuweka bando/airtime...
Baadhi ya nchi za Uarabuni zimekuwa zikihusika katika mazungumzo ya amani katika migogoro mbalimbali ya kimataifa mfano Qatar.
Kwa mfano, Tshisekedi na Kagame walikuwa wanakimbiana kuanzia Dar, Angola, lakini wamekubali kukutana huko Qatar na kukubali kusitisha mapigano bila masharti. Si hiyo...
Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa meza moja na M23.
Na ikumbukwe: M23 mwanzoni ilikuwa inatetea haki za Congoman waongeao kinyarwanda...
By Maulid Mmbaga , Nipashe
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake.
Kwa mujibu wa taarifa ya CCM Wasira amefanya mazungumzo na ujumbe...
Wanaukumbi.
Mateka watano wa Marekani na Israel wanazuiliwa huko Gaza, huku mmoja akiripotiwa kuwa bado yu hai. Ikulu ya Marekani imesema mazungumzo hayo yanaendelea, baada ya Hamas kuthibitisha kuwa wamekutana mara kadhaa na mjumbe maalum wa Marekani anayehusika na masuala ya mateka Adam...
Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia Congress na amesema Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy amemuandikia barua na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuhusu kusaini mkataba wa kuuza madimu yake.
CREDIT: Aljazeera
Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.