mazoea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini wateja wanatumia “mna” na “wingi” wanapoulizia bidhaa? Ni saikolojia au mazoea ya lugha?

    Habari wana JF Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani. Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu. Mfano: •Hivi mna pump za Pedrollo? •Mna taa za Tronic? •Mna pipes za PVC? •Mna switches za umeme? •Mna...
  2. Kama kijana wa kisasa achana na haya mazoea ya kiduanzi ambayo yamekuwa ruba kwenye jamii zetu

    Unapoenda kutembelea mtu toa taarifa kwanza, usilalale zaidi ya siku mbili kupelekea kuleta usumbufu hadi unalala na watoto wadogo. Ni aibu katika karne hii bado una unahangaishwa na mambo ya kufikirika. Unashindwa kuchukua risk kisa unahofia upande ambao hauna hata hakika nayo ila unauheshimu...
  3. Mwigulu: Serikali haitavumilia watendaji wasio wajibika wanaofanya kazi kwa mazoea au ujanjaujanja

  4. M

    Kijana wa kiume acha kabisa story na wanawake kama huna nia ya kuwala

    Nisiwachoshe Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka. Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume...
  5. Gen Z wa Morocco wanakiwasha, watawala waache kuishi kwa mazoea

    Vijana wa Morocco wameingia barabarani, wanakiwasha, ifahamike hawa vijana wa Gen Z huwapumbazi kwa chochote, hata utumie dini hawatakuskliza, boresha uchumi na mifumo tu basi................ A lot seems to be riding on a speech by Morocco’s King Mohammed VI before politicians on Friday, to...
  6. Uwe raia mwema au mtu wa madili, Epuka mazoea na askari

    Epukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo.. kama mtaala wao unaotumika pale Ccp Moshi kuwafundisha usipobadilika basi epukana tu na mazoea nao...
  7. Mazoea na Urafiki Usio na Mipaka Kwenye Biashara ni Saratani Inayoua Malengo Taratibu

    Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
  8. Katika maongezi na mtu ambaye ni stranger au ambaye hauna mazoea nae makubwa usithubutu kumuuliza kama haya maswali, umeoa ,umeolewa ,una watoto ,n.k

    Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla . Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una mtoto ,umejenga Una gari ,Unakunywa pombe n.k Maswali Kama haya ni too personal kumuuliza MTU...
  9. Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eletisia Mtweve: Wazazi acheni mazoea ya kuacha Watoto kwa jirani

    Wafanyabiashara wa Kijiji cha Ipunga wametakiwa kufanya shughuli za kujitafutia kipato kwaajili ya familia zao bila kusahau malezi ya watoto wao ili kuwawezesha watoto kukua vizuri kutokana na uangalizi wao. Hayo yamesemwa Juni 02, 2025 na Polisi Kata ya Ipunga, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi...
  10. Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  11. R

    Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  12. Mambo ambayo yanaweza kukupotezea biashara yako ni mazoea na urafiki kwenye biashara hiyo

    Hizi sehemu mbili mazoea na urafiki ziogopeni sana na ndio zina haribu biashara za walio wengi. Biashara ikishakwenda kwenye mazoea wengi hawa badiliki wanaona poa tu na mwisho wa siku ujikuta biashara imekufa. Biashara ikishafika steji ya urafiki sana tegemea kufa haraka sababu wengi...
  13. Hali ngumu ya maisha na tunavyoishi Kwa mazoea.

    Habari jamiiforum. Bila kupoteza muda leo tujadili hali hii ngumu ya maisha. Wakuu.maisha mtaani ni magumu,jiji la Dar es salaam ambalo pengine ndiyo kioo cha hata mikoa mingine linajumuisha watu wengi wenye vipato vya chini mno. Ukiangalia Kwa haraka haraka au ukidanganyikq na stori za...
  14. Hivi urafiki wangu na wewe, unaletaje mazoea kwa wanangu?

    Kuna jamaa mmoja mtaani tukajenga mazoea! Mara hayo mazoea kayapeleka kwa mtoto wangu kiasi cha kumuachia kitu cha thamani ya kwamba atakipitia. Huyo mtoto kakiacha sehemu si salama kikaibiwa! Japo jamaa kaonyesha kutomind, lakini kwa uthamani wa hicho kitu nathani sijui itakuwaje! Sasa...
  15. Kila mtu yupo na maudhi yake hivyo weka mipaka ya mazoea baina yako na watu wengine ili uishi kwa kuheshimika

    Watu wengi sana wanalalamika mara utasikia "siwezi kumuamini mwanaume/ Mwanamke maishani mwangu" , mwengine anasema binadamu wabaya,wengine wanasema "usimuamini mtu yeyote " n.k lakini uhalisia wa kauli hizo ni chimbuko lenye maumivu ndani yake. Watu wengi wakipenda huwa wanasahau kwamba...
  16. T

    Inakuwaje mdada anaanzisha mazoea na mtu kisha anayakata ghafla ukianza kumpa attention

    Hii imenitokea mara kadhaa. Inakatisha sana tamaa, unakuta mdada mrembo tu mwanzo ulikuwa humjali sana. Mara anaanza mazoea , ukimpa tu attention anaondoka inakuwa kama zamani tena. Unaweza dhani labda umeokota dodo, unasema ngoja uifanyie kazi hii green light mara inakuwa ngumu kuliko...
  17. Tunatumbukiza Mamilioni Kwenye Harusi, Lakini tunashindwa changia matibabu ya wagonjwa na tunashindwa kujichanga kwa shughuli za maendeleo ya pamoja

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
  18. B

    Haya ndio mambo 6 niliojifunza nikiwa kwenye biashara kwa miaka 12

    1 👉Usiweke ndugu kwenye biashara ndugu wanaweza kuwa chanzo cha kukumaliza na kama utaweka ndugu basi fungua kampuni in form(active partnership) Kila mtu awajibike kwa loss za kampuni Kila mtu awe na share zake il nidhamu iwepo maana mtu ukimuajiri hawezi kujua uchungu wa wewe Kula hasara au...
  19. G

    CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  20. Ni hatua ipi ulifikia ya madhara hadi ikawa hamasa yako kuachana na uraibu au mazoea potevu uliyokuwa nayo??

    Nilikuaga mpenzi sana wa soda aina ya coca cola iliyo ya baridi sana. Ilikuwa siku ikiisha bila kupiga coca najiona mtupu. Matter of fact ingebidi nipatiwe tuzo ya mnywaji bora coz nilikuwa nakunywa kila siku. Hadi hapo siku moja nilianza kuhisi meno yangu ya mbele kuanza kuuma pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…