Wachezaji wa Liverpool wameungana na familia na marafiki katika mazishi ya mchezaji Diogo Jota na kaka yake André Silva, siku mbili baada ya kaka hao kufariki katika ajali ya barabarani nchini Uhispania
Ibada ya mazishi ilifanyika katika kanisa la Igreja Matriz katika mji wa Gondomar, Ureno...