mawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hotuba yako imejitoshela ila naomba nikosoe maeneo mawili Kwa kesho nzuri ya Tanzania

    Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna tunavyohitaji mahusiano yakimataita kujenga uchumi Pamoja na hotuba nzuri nimejisikia vibaya kusikia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Dunia hii inagawanywa katika makundi mawili

    Dunia hii inagawanywa katika makundi mawili, na jina la “utawala wa kiimla” zinatwikwa nchi zinazothubutu kusema “lahasha”. Kwa mujibu wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa uliosainiwa mwaka 1945, kuwa na mfumo fulani wa utawala ni suala la mamlaka ya kila nchi, ambalo linaamuliwa na watu wake...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

    Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Uamuzi huo ambao utatolewa na Jaji Mustapha Siyani (Jaji Kiongozi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya wanafuzi wa vyuo iwe katika makundi mawili na yaingie kwenye akaunti ya mwanachuo kwa pamoja, pia cheti cha chuo kitumike kama dhamana

    WANAFUZI WA VYUO VYOTE WAPEWE MIKOPO YA AINA MBILI KWA WAKATI MMOJA PIA CHETI CHA CHUO KITUMIKE KAMA DHAMANA YA MUHITIMU WA CHUO KUPATA MIKOPO. HABARI WANAJUKWAA WA JAMIIFORUMS, NALETA MADA HII KWENU ILI IJENGEWE HOJA IWEZE KUFIKA MAHALI HUSIKA NA KUFANYIWA KAZI KWA FAIDA KUBWA ZA JAMII NZIMA...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yarusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni kwa mara ya kwanza

    North Korea kwa mara ya kwanza imefanikiwa kurusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni. Makombora hayo yalishambulia tageti iliyokuwa baharini umbali wa kilomita 800 toka sehemu iliyorushiwa. Wachambuzi wa mambo wanasema jaribio hilo laonesha kuwa Kim Jong Un anaendelea kuboresha...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rivers United tumesajili majembe mawili

    Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers United tumesajili majembe mawili ya kazi, karibuni sana kutoa comments zenu msisahau pia tuko katika michuano maalumu inayofanyika huko Benin ikishirikisha top clubs za west africa kujiandaa na klabu bingwa, matayarisho ni muhimu sana Tumemsajili Branabas...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kipi kati ya haya mawili kina unafuu au ni bora zaidi

    Naomba niwashirikishe kwny challenge nnayokutana nayo, ni hv: Nipo kweny harakati za kupanga na kuanza maisha yangu nikiwa natokea gheto, mm ni muajiriwa nafanya kazi maeneo ya morocco. Nawaza kipi ni bora kati ya haya maamuz mawili; 1. Kupanga sehem ya mbali mfano bunju ambyo nitaweza kupata...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Uraia na Haki inahitajika sana Tanzania!

    Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kabendera: Kulikuwa na majaribio mawili ya kuniua kabla ya kunikamata

    Erick Kabendera, Muandishi ambaye aliakamatwa kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kujihusisha na genge la uhalifu ambapo aliachiwa Februari 24, 2020 baada ya kukaa mahabusu kwa miezi saba Akizungumza na BBC Swahili, Erick amesema aliponyeka majaribio mawili ya kuuawa ambapo moja lilifanyika...
Back
Top Bottom