Dunia hii inagawanywa katika makundi mawili, na jina la “utawala wa kiimla” zinatwikwa nchi zinazothubutu kusema “lahasha”.
Kwa mujibu wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa uliosainiwa mwaka 1945, kuwa na mfumo fulani wa utawala ni suala la mamlaka ya kila nchi, ambalo linaamuliwa na watu wake...