Aina ya mita ninayotumia ni EDMI, HD21. Meter number inaanzia 4302.
Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza.
Tatizo ni nini? Tumelala na giza jana usiku, msaada tafadhari.
TANESCO