mawakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  2. tpaul

    Mawakili wa JF naomba tusaidiane kuikomboa JF

    Ni muda mrefu sasa (yapata miezi 3) tangu kifungo cha JF kifike tamati lakini bado wahusika hawajaiachia 💯 %. Tukumbuke kuwa JF ilipigwa ban ya miezi 3 tangu September 2025 na hiyo ban ilipaswa kuwa lifted by December 2025. Ndugu wanaJF, an attack to JF is an attack to all JF members...
  3. M

    Mawakili wa serikali na mashahidi dhidi ya Lissu

    Nawashauri tu, mnafanya dhidi ya Lissu iwe kweli. Sio kukaa vikao vya siri mkajadiliana dhidi ya kumkwamisha Lissu na kufarihisha wengine. Helo hapa duniani mnaweza mkajiona wajanja lkn siku ukifumba jicho utaona madhara yake. Mtendeni haki Lissu bila kumuonea huruma lkn bila vikao vya siri...
  4. R

    PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
  5. Mafyangula

    Mawakili zaidi ya 13 wafungua kesi kupinga mashahidi wa siri, wakidai inaleta changamoto za haki na uwazi

    Kundi la mawakili zaidi ya 13 wakiongozwa na Wakili Mwandamizi Constantine Mutalemwa, wamemwakilisha Wakili Godfrey Mjuni Martin Basasingohe katika kesi ya kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Mkurugenzi wa Mashitaka ya Umma (DPP), wakipinga uhalali wa sheria ya ulinzi wa...
  6. Abdul Said Naumanga

    Jaji Makaramba “polisi wasipochukuliwa hatua kwa kuwapiga Mawakili pamoja na wanachama wa CHADEMA ipo siku Jaji atapigwa akiwa Mahakamani”

    https://youtu.be/tkcyjSzgmK8?si=N65ZIQymjU_4md7z
  7. Inside10

    GE2025 Rais Chama Cha Wanasheria wa Serikali: Hakuna Anayeijua Sheria Kuliko Wakili wa Serikali

    Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria. Akizungumza leo Ijumaa, Septemba...
  8. A

    KERO DED wa Rorya tusaidie Watumishi wa Elimu Msingi tulipwe malipo yetu ya likizo

    Mimi ni mdau wa JamiiForums.com nina kero ambayo naomba ujumbe ufike kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya pamoja na ofisini yake kwa jumla. Sisi Watumishi katika ngazi Elimu Msingi hatujalipwa fedha yetu ya likizo tangu Desemba 2024, licha ya kuwa tulijaza fomu ya malipo...
  9. Carlos The Jackal

    Kushindwa kwa Mawakili wa CCM kujibu hoja za Dkt. Malisa na kukimbilia kuweka mapingamizi dhidi ya Utaratibu ni muendelezo wa Uhuni

    Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa . Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya. SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
  10. R

    Mawakili wa Lissu kuweni macho sana, kuna mashahidi wa UONGO wamepangwa, soma hukumu hii mjiridhishe

    According to the Affidavit sworn by ACP AMIN MAHAMBA, during the investigation, he received information from the intended prosecution witnesses that the Respondent's associates are planning to obstruct the proceedings of PINo. 202504102000008607 by causing bodily harm to them, to force them to...
  11. 100 others

    Kimewaka! Mawakili wa Tundu Lissu waunguruma kwa ukali, watoa kauli nzito ya unyama unaofanywa kwa Lissu

    Umoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu wameeleza hali anayopitia gerezani huku Mahakama ikishindwa kufanya maamuzi Mawakili hao wameeleza kitendo kilichotokea wakati wa kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Lissu Julai 30,2025 katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu ambapo...
  12. sanalii

    Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  13. Prof_Adventure_guide

    Tundu Lissu na Mapambano ya Kikatiba: Tunapojifunza Sheria, si Kusikiliza Kejeli za Mawakili wa Serikali

    Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  14. Mikopo Consultant

    Ikiwa kuna wanaChadema damu walihama chama; Unawezaje kujihakikishia kwamba wote wanaoitwa mawakili wa Lissu, kwamba wana nia nzuri naye?

    Nimeona askari magereza wakinangwa pasipo sababu, kwamba wanazuia Lissu asipeane mikono wala kubadilishana nyaraka na mawakili wake. Watu wanatakiwa kuelewa kwamba Lussu is a red line; ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa ndani ya Afrika Mashariki. Maana yake huyu mtu anatakiwa kulindwa. Hao...
  15. JanguKamaJangu

    Mawakili wajibu hoja kwamba wametumwa na Yanga!! Watangaza kuwashitaki TFF na BMT Mahakamani

    Wakili msomi mwandamizi Alloyce Komba ambaye ni momoja kati ya Mawakili Watano ambao waliungana kupeleka barua Baraza la Michezo Tanzania kuomba kusitishwa kwa mchakato wa uchaguzi wa TFF ameibuka na hoja nyingine ya kikanuni akidai kwamba Mgombea pekee wa urais aliyepitishwa amepitishwa nje ya...
  16. DuaZaMama

    Mawakili mkasome katiba ya FIFA, Uchaguzi mkuu TFF

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, ameshangazwa na baadhi ya mawakili wanaopinga uamuzi wa Kamati hiyo kuwaengua wagombea wanne wa urais wa TFF. Wakili Kibamba amewataka mawakili hao kupitia upya Ibara ya 14 ya Kanuni za FIFA (toleo la mwaka 2024), inayowataka...
  17. M

    Mawakili wote wanaomshtaki Karia kuhusu endersoment ni wanachama na wapenzi wa Nyuma Mwiko, mnadhalilisha taaluma zenu

    Allyoce Komba, mmoja wa wanachama wa Yanga na wakili wa kujitegemea amefungua shauri kupinga uteuzi wa Karia kuwa mgombea urais wa TFF. Allyoce Komba ambaye amewahi kuwa mwandishi wa gazeti la Nipashe kila mtu anamjua tabia zake, kuwa ni Yanga lia lia. Hoja zote zilizowasilishwa na wenzake...
  18. Fbn

    Kama ndo wale ni mawakili wa serikali wanaosimamia kesi shitaka upande wa serikali ni aibu.

    Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo. Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda...
  19. The Burning Spear

    Ni jambo jema Tundu Lissu kujitetea Mwenyewe. Huwezi jua pengine kati ya Mawakili wake kuna akina Yuda Eskarioti

    GT Maskini haaminiki hasa mtu mweusi kutoka Tanzania., mawakili.30 ni wengi sana lazima mamluki wapo tu wanaopeleka mipango upande wa pili kabla ya kesi. Nadhani leo tumejionea hali ilivyokuwa tofauti bada ya mwamba kusimama yeye kama yeye, hatua hii itapunguza kuvujishwa mbinu na vifungu vya...
  20. Wizara ya Ardhi

    Mhandisi Sanga akutana na kuwapongeza mawakili wa kujitegemea kwa kuongeza kasi katika kumaliza mashauri katika mabaraza ya ardhi na nyumba

    . Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga amewapongeza Mawakili wa Kujitegemea kwa ushirikiano wao, hatua iliyosaidia kuongeza kasi ya kumaliza mlundikano wa mashauri katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Dodoma. Mhandisi Sanga ametoa pongezi...
Back
Top Bottom