mauzauza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poker

    Ni kitu gani uliaminishwa kabla ya kuanzisha biashara, ila ulipoingia uliona mafanikio au mauzauza

    Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata. Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale. Aisee nlifunguliaga goli huko kigamboni mitaa ya midizini nkaishia kula chips mwenyewe na zingine...
  2. K

    Tume ya Maridhiano-Haya ni mauzauza kwa kweli watanzania tunachezewa akili

    Muuaji anakuja mbele ya runinga za watanzania Milioni 65 anawaambia nimeshaunda Tume ya Maridhiano, kama hili ndilo alilomuitia Mzee wetu Warioba Ikulu naomba wamshauri tu Mzee Warioba akae mbali na majukumu yote atakayopewa na Serikali hii iliyomwaga damu za raia wake Yaani wanajizima data...
  3. Mshana Jr

    Confusing Pictures: Mauzauza

  4. F

    Mauzauza kwenye nyumba niliyopanga

    Wakuu poleni na majukumu.Kuna nyumba hapa nimehamia Nina mwezi mmoja saiv. Leo nimerudi jioni Nakuta mama mwenye nyumba yupo na mganga wechora huu mchoro hapo chini alafu wameweka mshumaa katikati.Alafu nicheki me ndo mpangaji pekeang wengine wote familia.
  5. W

    Uchaguzi huu wa Serikali Mauzauza yanafanyika hadharani hamna uwoga tena

    Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa mauzauza sana jamani. Siku kadhaa zilizopita nilikuwa saluni akapita mjumbe wa mtaa wa Matawi, maeneo ya Skanska, akatusalimia pale na kuanza kuongelea mambo ya uchaguzi na kusema akidai kwamba chama kinawalinda watu wake na hakiwezi kukubali mtu wa nje...
  6. Am For Real

    Nimeamkaa saa saba usiku kujisaidia haja ndogo nimesikia vishindo kama vya mtu anayezunguka nyumba yetu!

    Sio kawaida hii. Nimeskia vishindo vya kutisha juu ya ardhi nilipokuwa naenda kujisaidia haja ndogo. Kiasi Kwamba nimeogopa hata kutizama dirisha la chooni nisije nikaona mambo ya ajabu. Nimejisaidia haraka sana na baada ya kumaliza nimekimbia Hadi kwenye kitanda changu na kujifunika blanketi...
  7. Tamu3

    Fedha za mauzauza

    FEDHA ZA MAUZAUZA 1. Tulikuwa kijiweni, tukizogoa zogoa, Umbeya tukipigieni, tukiyapisha masaa, Bia tamu tukinyweni, pia soka kichambua, Fedha za mauzauza, menitia ulemavu. 2. Mara mtu akapita, shanga nyingi zi shingoni, Kati yetu akamwita, machache kiulizweni, Akaja bila kusita, karibu...
  8. mtwa mkulu

    Mauzauza: Alichojibiwa Makonda kero ya Iringa ni ile aliyotishia kumpiga kibao Naibu Waziri

    Wakuu heshima kwenu. Poleni na msiba mkubwa sana wa kitaifa wenye historia kubwa hapa JamiiForums. Nipende kuwakumbusha kuwa akiwa ziarani Iringa ndugu Makonda alikutana na KERO ya wafanyakazi kiwanda cha karatasi mgololo ambapo kwa miaka 20 wafanyakazi hao wamekuwa wakiidai serikali mafao yao...
  9. Kiranja Mkuu

    Ni mauzauza gani ulishawahi kukutana nayo barabarani?

    Nakumbuka tulikuwa tunatoka kijijini Kibungo wilaya ya Kigamboni, tunaelekea Pemba Mnazi kuogelea. Tulipokuwa tunaingia Pemba Mnazi, barabara imefunikwa na kivuli kikali cha miti mikubwa ya miembe. Katikati ya kivuli ukatokea mwanga mkali sana kiasi cha kutufanya tusiweze kuona mbele. Basi...
  10. carnage21

    Makachero wa Mashujaa FC wabaini mauzauza uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza

    Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba. Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
  11. KING MIDAS

    Mauzauza ya Misungwi: Sitosahau nilivyotenganishwa na mwanangu kwa masaa 6 na kunusurika kufanywa msukule

    Sikutaka kusimulia kisa hiki lakini nimepatwa msukumo baada ya jamaa yangu kupatwa na jambo lake la kustaajibisha huko Magu. Miaka ya nyuma nilikuwa nikifanya biashara ya kuuza kemikali za migodini huko kanda ya ziwa. Nilizunguka Geita, Kahama, Tarime, na sehemu mbalimbali zenye uchimbaji wa...
  12. Ironbutterfly

    Mauzauza: Nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu

    Habari za asubuhi wanaJF, hope tumeamka salama kwa uweza wa manani🙏 Wiki kama mbili nilikuwa nasumbuliwa na ndoto za kuhusu wazee wangu (RIP, manake wote walishatangulia mbele za haki), walikuwa wananijia ndotoni wakiomba niwapatie vinywaji, sehemu nyingine niliota napeleka vyakula,wakaniomba...
  13. chilumendo

    Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi. Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
  14. Mchochezi

    Jirani: Kabla ya tukio la mauaji ya wanandoa, kulitokea mauzauza nyumbani kwao

    Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza. Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao. Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika...
  15. Poppy Hatonn

    Mauzauza Arumeru: Mawe yanarushwa na watu wasioonekana

    Kuna matatizo ya vimbwenga katika Kijiji kimoja huko Aru meru Mawe yanarushwa na watu wasioonekana. Hii habari ipo You Tube,"Mauzauza; mawe ya ajabu,anayerusha haonekani..." Sasa hawa watu wanasema wanawashuku wageni fulani ambao wamefika pale. Kwa hiyo wanataka kupiga kura ya maoni,wafukuze...
  16. S

    Tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi - haya mauzauza yanayofanywa na Serikali ya sasa sio halali

    Serikali iliyopo ipo hapo kwa kuwekwa tuseme kimabavu bila ya kutoana jasho, japo kuna waliopata vilema na waliouliwa ili Chama cha CCM kisimike serikali yake, ambayo ndio imejipa madaraka ya kuongoza wasiotaka kuongozwa na wao. Natija ni kila linalofanywa na serikali hii halikubaliki kwa roho...
  17. L

    True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    Habarini za leo wanaJF Niliombwa na baadhi yana JF kutoa ushuhuda wangu kidogo jinsi nilivyopambana kutafuta mali za mjerumani mkoani Morogoro. Hii ni baada ya kuona nikichangia baadhi ya thread kuhusiana na matukio hayo. Ni matukio ya kweli Ndugu wana JF kwa wale wanaopenda kufuatilia habari...
  18. N

    Yanga vs Mwadui: Musa Mbisa yuko golini tutarajie vituko na mauzauza leo

    Keeper la zamani la yanga under 20 ama kwa hakika ni mchezaji ambaye kajiwekea historia mbovu kwa goli la ajabu alilohakikisha linaingia golini. Huyu hastahili tena kuonekana ligi kuu aende huko daraja la kwanza na apotelee kabisa atokomee. Leo usiku yuko golini vs yanga natarajia mauzauza...
  19. De Professor

    Vimbwanga vya nyumba za kupanga, wapangaji na wenye nyumba

    Habari wanajamvi, katika maisha kweli kuna safari ndefu leo nimekumbuka zamani sana kipindi natafuta maisha nilipoanza kupanga kwenye nyumba za watu vile vioja vya hapa na pale. Mara mwenye nyumba yupo hivi mwingine nae yupo vile Mara sehemu uliyohamia unakuta wapangaji wanatabia hii wengine...
  20. GENTAMYCINE

    Bukombe, Geita: Walimu waripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali kutokana mauzauza

    Baadhi ya walimu wilaya ya Bukombe wameripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali na kwenda kupanga mjini Ushirombo kutokana na kuona mauzamauza ya sungura waliovaa tai na watu waliosimama katika nyumba hizo usiku. Hayo yamebainishwa katika kikao cha baraza la madiwani. Chanzo: Clouds...
Back
Top Bottom