maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Maumivu ya kufukuzwa kazi hayaelezeki

    Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula. Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi? Asante
  2. Nasumbuliwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo kwa chini

    Siku moja nyuma nilikosa maji Fresh kwaajili ya kunywa, kutokana na hali ya Dar es laam upatkanaji wa maji ya chumvi ni mkubwa sana ikanibd niyatumie kama sehemu ya maji ya kunywa kitendo ambacho ckuwai kukifanya na kama nikikifanya huwa nakunywa kidogo sana, ila kwa siku ile nilikunywa maji...
  3. Daktari: Gachagua alikuwa na maumivu ya kifua, anaendelea vizuri

    KENYA: Daktari Mkuu wa Hospitali ya Karen, Dkt. Dan Gikonyo amesema Mwanasiasa Rigathi Gachagua alifikishwa kituoni hapo akiwa na maumivu ya kifua lakini anaendelea vizuri huku akifanyiw avipimo vingine. Amesema “Gachagua alifika Saa Tisa Alasiri, alisema alikuwa na maumivu makali kifuani...
  4. J

    Nasumbukiwa na maumivu ya upande wa kulia wa kifua na mbavu

    Nahisi maumivu UPANDE wa KULIA wa KIFUA na mbavu kiujumla UPANDE wote wa kulia wa KIFUA ,mbavu na mgongo na KIFUA vinauma ila maumivu yapo sehemu ya nyumba ya ubavu na chini fua nikijaribu kuvuta pumzika nyingi kuijaza kifuani maeneo ya mbavu na kwa ndani nahisi Kama Kuna kitu nakitinesha ila...
  5. Ni ukosefu au upungufu wa akili kufurahia vifo au maumivu ya wanadamu wengine yatokanayo na vita!

    Katika pita pita zangu huku JF nimeshtushwa na kiasi kikubwa cha ukosefu au upungufu wa akili wa kundi kubwa la watu wanaoshabikia vita ya mashariki ya kati na kwingineko Kwangu mimi, vita na matokeo yake au madhila yoyote yatokanayo na ukandamizaji wa aina yoyote siyo jambo la kushangilia au...
  6. Dawa ya kuchua maumivu kwa jina la Salimia. Je, bado ipo na inapatikana kwenye maduka ya dawa ya Tanzania?

    Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani. Ni hivyo tu shukrani Wadiz
  7. B

    Profesa Shivji: Inayoitwa 'Miradi ya Maendeleo' ni Maumivu kwa Wengi

    27 September 2024 Profesa Shivji: Inayoitwa 'Miradi ya Maendeleo' ni Maumivu https://m.youtube.com/watch?v=hVpKDfaNKko Profesa ameyasema haya kwenye semina iliyoandaliwa na HakiArdhi na mada kuu ilihusu maumivu makali ya bomoabomoa wanayopitia wamiliki wadogo wa ardhi. HakiArdhi ambao ni...
  8. Jipe raha mwenyewe usipojopa raha maumivu n sehemu ya maisha yako

    Sio kila mtu anapenda kukuona ukifanikiwa. Tumezungukwa na watu wenye roho mbaya wakiuliza lini utaanguka maisha yako Usipotawala utatawaliwa. Usipotafta raha machungu yatakuwa mtaji wako ukiwa na maumivu ni furaha kwao Mateso yetu kwaoo n sikukuuu Kuanguka kwetu n shangwe usiku mzima kwenye...
  9. Y

    Hizi dawa zilinisaidia maumivu ya kiuno

    Habari Wana JF husika na maelezo hapo juu nilikua ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana ila kwa bahati nzuri nikakutana na mmasai mmoja Arusha akanisaidia hizi dawa zilikua tatu ila alinipa kidogo tuu zamatumizi kama ya sikumbili kutokana na uchache aliokua nao,kiukweli nilitumia ndani yahizo...
  10. Maumivu ya hisia za kuachwa husababisha wengi kuwa 'bahili wa mapenzi'

    Sio kweli kwamba watu hawana mapenzi ya dhati. Si kweli kwamba mapenzi yalikuwa zamani. Si kweli kwamba watu hawajui kupenda. Si kweli kwamba wapenzi hupenda kuumizana. Tatizo kubwa kwa zama za leo ni hofu na mashaka ya kujitoa kwa moyo wote then unaambulia kuachwa. Wapenzi wengi siku za leo...
  11. Msaada vipele huwa vinakuja na nakupotea na maumivu makali

    picha hapo chini
  12. Kama huyu ndio msimamizi wa Uchaguzi basi tusubirie maumivu

    Kama kuna Nchi ya ajabu basi Tanzania ni mojawapo, ni Nchi yenye VIONGOZI wasio na maono Kabisa. Huyu ni Waziri eti akiwa Kwenye jezi za CCM
  13. Msaada: Dawa ya jino lilioanza kutoboka, maumivu kwa mbali pale napotafutana chakula

    Nisaidieni wakuu ili niliwahi kabla halijawa chronic
  14. H

    Simu ya Hot 6 na Siri ya Maumivu

    Katikati ya mwaka 2015, Juma alikuwa amehamia Singida kwa ajili ya kazi yake. Alimuacha mkewe Iringa alipokua akifanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya wazungu. Baada ya mwaka Moja kupitia juma aliamua kumchukua mkewe na kuishi nae mjini Singida. Baada ya miezi kadhaa, mkewe alipewa zawadi ya...
  15. Nasumbuliwa na tatzo la maumivu katika bega

    HABARI Natumaini mpo salama kabisa hii post KWAAJILI ya watu wenye elimu zaidi ju la hili tatizo linalo nisumbua ivyo ningeomba mnipe ushauri kwa  AMANI kwa muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatzo la maumivu katika bega langu la KUSHOTO ila alijavimba liko kawaida tu. Maumivu yake ni makali mno...
  16. Wanaume wanapata maumivu pia

    Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka mingi kujua kwamba wanaume wanalia pia. Nilimchukulia mume wangu kama mtu wa ajabu. Namwona akiondoka nyumbani kila siku na kurudi akituletea riziki. Siku moja nilipokuwa nimeondoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka kwamba nilihitaji...
  17. Kupinga Mabadiliko: Hadithi ya Maumivu ya Majuto tuyatumie vizuri maonesho ya nanenane

    Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya digitali haitadumu. Lakini mambo yalibadilika—haraka zaidi kuliko walivyotarajia. Kamera za...
  18. Msaada: Mke wangu anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Habari wakuu poleni na majukumu. Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe. Je, tatizo nini itakuwa?
  19. Maumivu kwenye tumbo au mbavu (wengi huita vichomi)

    VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo. LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI TUNA FICHA MAGONJWA MENGI KWENYE SHIDA INAYOWEZA PUUZWA NA WENGI KWAMBA "...:confused:.ma'''''ke iki...
  20. C

    Maumivu ya jino

    Jino langu lilizibwa permanent baada ya kufanyiwa procedure inaitwa root canal kama sijakosea. Nimekaa jino likiwa sawa tu kwa miezi 6 ila sasa limeanza kuuma nini shida?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…