maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 🩺❓Je, unapata maumivu ya tumbo chini ya kitovu? Uvimbe usio wa kawaida tumboni? Hedhi nzito au isiyo ya kawaida?

    Hii inaweza kuwa ishara ya moja kati ya changamoto kubwa mbili za afya ya uzazi: Ovarian Cyst (uvimbe kwenye mfuko wa mayai) au Fibroids (uvimbe kwenye mji wa mimba). 🔍 Ovarian Cyst ni Nini? Ni uvimbe uliojaa maji unaotokea kwenye moja au ovari zote (mayai ya uzazi). Mara nyingi ni wa kawaida...
  2. Maumivu ya kihisia

    Kk
  3. Mpaka sasa tathmini ya Maumivu kwa Iran vs Israel. Hawa Mayahudi hawafai kabisa

    Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali: Mapigano na Uharibifu Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
  4. Chadema Inakufa kwa majeraha mabaya sana yenye maumivu ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yakujitakia

    Kuchagua viongozi wao wakuu wa chama wasio maono wala mikakati madhubuti ya kisiasa ni kosa la kwanza kabisa Chadema walifanya, hata sasa wamejikuta hapo walipo. Kuitenga na kususia michakato ya kidemokrasia kwa mihemko ya kiongozi wao moja tu, ilikua ni kosa la pili kubwa zaidi lililoiingiza...
  5. Maumivu ya shingo gesi kupanda shingoni

    Hello wanajukwaa, nimekuja ndugu yenu ninahitaji msaada wenu. Mume wangu anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa miaka sasa na ameshatumia dawa za kila aina. Changamoto ya sasa anasema anapata maumivu shingoni, kuna muda mdomo unakuwa mchachu kama ana homa. Kaenda hospitali, kapigwa X-ray na...
  6. Siasa Sio Netflix – Ni Maumivu ya Mwili Mzima!

    "Ukiwa mwanasiasa, jifunze kwa team Hatuchezi Ng’oo, ukilala chali, unaamka chali, hakuna kuegemea ubavuni! Maumivu yana GPS, yanakupata popote ulipo. Siasa si sinema, ni gym ya roho." — Alloyce, P.R.
  7. Ninasumbuliwa maumivu ya nyonga

    Habari wa JF. Ndugu yenu hapa ni wiki sasa nasumbuliwa na maumivu ya nyonga . Mwanzo nilianzia kuumwa na kiuno na nyonga ila kwa sasa kiuno kipo vizuri kilichobaki ni nyonga kuuma. Maumivu yapo ndani na nje kwenye misuli ya kuja kuunga na kiuno ina kuwa kama inakaza, kuna dawa ya asili ambayo...
  8. Nimegundua kwenye maisha, maumivu yapo kukupa funzo

    Iwe kwenye MAHUSIANO Iwe kwenye Biashara Uwe kwenye elimu Iwe kwenye ajira KAZI nk. Maumivu yapo kukufanya ukomae, Usiogope kuumia unaandaliwa kiwa Bora kesho
  9. Wadau Maumivu ya korodani yasiomaali ni ugonjwa gani?

    Korodani zangu nikiziminya kwa juu zote mbili napata maumivu japo siyo makubwa sana,je kuna dawa?
  10. Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  11. Y

    Dawa ya maumivu ya kiuno

    Habari Wana JF natumaini muwazima Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 nasumbukiwa na maumivu ya kiuno sana mpaka yanapelekea nakosa hisia kwa shemeji naombeni dawa zakunisaidia kwani, CHANZO ni mgandamizo uliosababishwa na kubeba vitu vizito Asanteni sana
  12. PreGE2025 Emma Kimambo: Lema amesababishia maumivu watu wengi, amehusika kufukuza wanachama wenzetu

    Aliyekuwa Mweka Hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Emma Kimambo amemshukia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema akidai kuwa amesababisha maumivu ya kisiasa kwa watu wengi wa Arusha na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla wake, hatua iliyopelekea baadhi...
  13. Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

    Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka. Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa. Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha watatu ya "kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa uliyempenda yeye ananenepa wewe unakonda". Wife...
  14. Kama si hapa tuseme wapi? Maumivu hayawezi kunyamaza!

    Hii Game Imekuwa Chafu Sana… Who’s Gonna Clean Up the Mess? Kuna wakati moyo unachoka. Kuna wakati macho yanakataa kulala. Kuna wakati maneno yanakataa kunyamaza hata kama ulimi umebanwa. Hii ni hiyo time. Tumefika mwisho wa uvumilivu. Mtu anabebwa home kwake, usiku, kimyakimya. Hakuna doc...
  15. P

    Siku ya pili sasa familia Mdude Nyagali ipo kwenye maumivu makali

    Hii hali ya kuteka, kutesa na kupoteza watu ni torture kubwa sana kwa ndugu wa mtu aliyetekwa na kupotezwa. Najaribu kujiweka kwenye nafasi ya ndugu zake Mdude, aisee ni maumivu makali sana wanapitia ndugu zake. Kwa kosa gani kijana mdogo yule atendewe aliyotendewa? Kwa kosa gani alilolifanya...
  16. Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup

    Jamaa hawasemi mdomoni ila moyoni wanaumia...si wachezaji..viongozi mpaka mashabiki wao...Angalia walivyoshangilia baada ya kuitoa zimamoto kwa mikwaju ya penati ni ushangiliaji wa maumivu na msongo kwa kutaka kuikoga Simba ambayo ipo kimataifa. Ushauri yanga wekezeni kwenye ubora wa kiufundi...
  17. Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  18. M

    Mrejesho: Kijana wangu wa miaka 9 kuwa na maumivu ya mgongo

    Habari wakuu, nilileta Uzi humu juu ya kijana wangu kuwa na maumivu ya mgongo kayapata akiwa shule bweni darasa la 4, yamemuanza tarehe 1/4/2025 hakupigwa, hakuanguka, zaidi alikuwa akibebeshwa ndoo ya maji asubuhi na jioni Majibu ya vipimo Imeonekana pigili zake za mgongo zimenyooka kama...
  19. Msaada jino maumivu ya jino

    Nasumbuliwa na jino linauma sana wakati wa kunywa Chai au juice nimetumia dawa za kutuliza maumivu na Mouth wash lakini tatizo limekua likiendekea, Nikinywa Chai au juice na Tikiti maji jino linauma .
  20. M

    Mrejesho Mtoto wa kiume miaka9 akivuta pumzi ndani au kupumua sehemu ya mgogo yote anahisi maumivu

    Habari wakuu nimerudi kwenu kijana wangu siku ya Eid pili aliniambia anahisi akiwa anapumua au kuvuta pumzi kwa ndani anaskia maumivu sehemu yoote ya mgongo,nkamuuliza Hali imekuanza lini akasema Leo Leo ambayo ndo ilikua siku ya Eid pili Nikamuhoji kuhusu shule kama alianguka akasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…