maulid

Mawlid (Arabic: مَولِد‎, romanized: Mawlid, lit. 'Birth [of Muhammad]'), is the observance of the birthday of the Islamic prophet Muhammad which is commemorated in Rabi' al-awwal, the third month in the Islamic calendar. 12th Rabi' al-awwal is the accepted date among most of the Sunni and Shia scholars, while few Shia scholars regard 17th Rabi' al-awwal as the accepted date.The history of this celebration goes way back to the early days of Islam when some of the Tabi‘un began to hold sessions in which poetry and songs composed to honour Muhammad were recited and sung to the crowds. It has been said that the first Muslim ruler to officially celebrate the birth of Muhammad in an impressive ceremony was Muzaffar al-Din Gökböri (d. 630/1233). The Ottomans declared it an official holiday in 1588,
known as Mevlid Kandil.
The term Mawlid is also used in some parts of the world, such as Egypt, as a generic term for the birthday celebrations of other historical religious figures such as Sufi saints.Most denominations of Islam approve of the commemoration of Muhammad's birthday; however, with the emergence of Wahhabism-Salafism, Deobandism and Ahl-i Hadith, many of the followers of these movements began to disapprove its commemoration, considering it an illicit religious innovation (bid'ah or bidat). Mawlid is recognized as a national holiday in most of the Muslim-majority countries of the world with the exception of Saudi Arabia and Qatar. Some non-Muslim majority countries with large Muslim populations such as India also recognise it as a public holiday.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Haya wale wenye Akili fupi na mnaomtetea Haji Manara na Tukio la Dharau alilolifanya Juzi someni haya Maelezo ya Maulid Kitenge wa EFM

    Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid.... Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na mlikuwa nae Kimaandalizi? Jibu la Mtangazaji Maulid Kitenge.... Ukweli ni kwamba Siku Moja kabla...
  2. GENTAMYCINE

    Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?

    Mtangazaji Maulid Kitenge Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya? Mchambuzi Jemedari Said Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata Yeye Mwenyewe amekiri kupitia Msamaha wake aliouomba na Kuukiri. Mtangazaji Maulid Kitenge...
  3. F

    Maulid Kitenge ni nani? Mtangazaji tu au kuna zaidi?

    Kichwa Cha habari chajieleza chenyewe. Ndugu greater thinker wa JamiiForums naomba kupata majibu mwenye uelewa zaidi na huyu mtanzania mwenzetu. Je, Maulid Wakitenge ni mwanahabari kama wanahabari wengine au Maulid Wakitenge ni mwanahabari lakini pia ni mtumishi serikalini? Maswali yangu...
  4. GENTAMYCINE

    Mbona Maulid Kitenge hajasema 'Swahiba' wake Oscar Oscar anaachana na EFM na anaenda wapi?

    Imeandikwa na @maulidkitenge - @oscaroscarjr ni moja ya wachambuzi waandamizi ambao wamekuwa nasi kwenye Sports HQ kwa miaka 7. Sisi tunamshukuru kwa uchambuzi wa kina, vituko, maoni na yote aliyofanya kwenye kipindi hicho. Tunamtakia kila lenye kheri kwenye majukumu yake mapya. Chanzo: Dar...
  5. kyagata

    Sijawahi kuwasikia Millard Ayo au Maulid Kitenge wakiongea Kiingereza

    Hawa jamaa naona wana safari sana za kwenda nje, lakini sijawahi kuwasikia walau wakiongea hata sentence moja tu ya lugha ya kiingereza. Mahojiano wanayoyafanya huko nje huwa ni wanawahoji Watanzania wenzetu tu na lugha inayotumika ni kiswahili kama kawaida. Sasa nilitaka kujua huko nje...
  6. FRANCIS DA DON

    Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

    =========================== Mwanzoni mwa mwezi huu wa pili 2022 kuliibuka ghafla na kwa kasi ya ajabu jitihada za makusudi za kujaribu kuwaondoa wamasai katika ardhi zao za kimila huko Ngorongoro kwa madai ya kwamba binadamu wamekuwa wengi huko Ngorongoro na hivyo wanaharibu ekolojia. Vita...
  7. PendoLyimo

    Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

    Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na...
  8. Ettore Bugatti

    Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

    Somebody said, AirPods journalist is looking towards being District Commissioner or equivalent in this regime. FYI my Brother Mshambuliaji, hawa ndugu zetu pale wapo kihalali na walihamishwa toka miaka 1950's kutoka Serengeti na nakukumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ...
  9. Mario Kempes

    Safari za Maulid Kitenge Marekani

    Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda nayo huko akiwemo mama yake mzazi. Jamaa yuko vizuri! NB: Mapovu pelekeni mkafulie
  10. Suley2019

    BAKWATA: Maulid kusomwa usiku wa tarehe 18/10/2021 hivyo tarehe 19/10/2021 ni mapumziko

    Wakuu salaam, Taarifa rasmi kuhusu maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid mwaka huu. BAKWATA wanafafanua kuwa itasomwa usiku wa leo hivyo kesho inakuwa ni mapumziko. Hii hapa chini ni barua yao kuthibitisha taarifa hii
Back
Top Bottom