Maulid Kitenge ni nani? Mtangazaji tu au kuna zaidi?

F4B

JF-Expert Member
Jan 13, 2022
325
416
Kichwa Cha habari chajieleza chenyewe.

Ndugu greater thinker wa JamiiForums naomba kupata majibu mwenye uelewa zaidi na huyu mtanzania mwenzetu.

Je, Maulid Wakitenge ni mwanahabari kama wanahabari wengine au Maulid Wakitenge ni mwanahabari lakini pia ni mtumishi serikalini?

Maswali yangu nayauliza kwa kurejerea tukio la Waziri Moses Nape Nnauye kushikiwa na kuonyeshwa bastola alipotaka kuongea na waandishi wa habari miaka kadhaa iliyopita. Katika tukio husika Mtanzania mwenzetu Maulid Wakitenge alisikika na kuonekana kumdhibiti yule askari aliyechomoa bastora huku akimwambia "UNATAKA KUHARIBU MAMBO WEWE".Na yule askari alitii maelekezo hayo

Ndo maana nawaza ndugu yetu huyu ni mwanahabari tu au ana kazi nyingine serikalini ndiyo maana hata yule askari alilazimika kumtii?

Poleni Watanzania wenzangu tulikotoka ni mbali kidogo maana ilifikia mahali hata mtu akunyoshee SMG mchana polisi wangesema hawamjui ili mradi tu ni mpango maalumu.
 
mkuu unataka kujuwa ninani kwa lengo gani! juwa huyo ni mwandishi tu ujasiri wake tu ndiyo uliomfanya amthibiti yule askari zaidi ya hapo hana ajira yoyote serikalini na ni mwandishi anayeenda na upepo
Nimekuelewa mkuu
 
Wakati unamshangaa wakitenge Basi mshangae yule mama kule musoma aliyepokonya smg kwa majambazi sio jambazi
 
Kwa ufupi uchambusi wa Kiintelejensia kuhusu Suspicious ya maulidi kitenge
Kutukona na tukio hilo na njinsi maulidi kitenge alivyo sema hiyo kauli
na huyo undercover Police alivyo mtii

inaonyesha tuhuma (suspicious ) kuwa maulid kitenge

Anauwezo mwingine mkubwa zaid ya watu kuzani kuwa ni mwandish wa habari wa kawaida tu

kutokana na tukio hilo na suspicious ya maulidi kitenge Tunaweza kuona kabisa maulid kitenge anaweza kuwa anafanya kazi kati ya haya makundi

1 Interpol -Anaweza kuwa Polisi wa kimataifa
2 CIA -mchambuzi wa habari za tazania na kutoa ripoti kwa CIA

3 TISS -au anaweza kuwa intelligence officer wa idara yetu ya maswala ya kiitelejensia

Mtazamo wangu kutokana na Kukonekiti dot njinsi maulidi kitenge alivyo react katika ule mgogoro wa ngolongolo
inaonyesha kabisa maulid kitenge yupo kazini na anakazi mbili
1 Ni mwandsh wa habari
2 secret intelligence service (unknown )
 
Back
Top Bottom