Mzuka wanajamvi!
Huyu Mwamba Mungu amtangulie.
Hizi jeuri za pesa na matanuz anazitoa wapi?
Ikumbukwe kuna lindi la umaskini katika jamii yetu. Na hulka ya mtu mweusi ni chuki, uchawi, fitina, umbea na majungu. Punguzeni hizi jeuri na jazba
Maulid asidhanu tunafurahi kutanua na kula bata...