Hii imewavua nguo waandishi wote waliokuwa wakidhamiwa kuwa ni wakongwe na wakati hawana vyeti vya taaluma zao ? Mliwezaje kufanya mahojiano na watu wakubwa na kuzunguka duniani kote mkijitambulisha kama waandishi wa habari kutokea Tanzania ilhali hamna vyeti vya taaluma hiyo na hamjaisomea...
Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa?
Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
dhuluma tanzania
elimu kwa umma
hii
kina
kizazi cha sasa
maulidmaulidkitenge
morning show
mustakabali wa taifa
propaganda tanzania
redio
redio tanzania
show
uanahabari
ubadhirifu wa mali ya umma
uelewa wa wananchi
uhuru wa habari
uhuru wa vyombo vya habari
ujinga
upumbavu
uzembe wa vyombo vya habari
wajibu wa waandishi
wananchi
wasafi
wasafi fm
watanzania
wimbi la mazombie
zembwela
[tags] vyombo vya habari
Shirikisho la soka Afrika (CAF) linapanga kufanya marekebisho makubwa ya mashindano yake hasa Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho la CAF.
Shirikisho la soka barani humo limekuwa likichunguza njia za kuweka upya kandanda ya Afrika, hasa kwa Ligi ya Soka ya Afrika, ambayo imefanyika...
KADA wa CCM na mwanahabari nguli Maulid Kitenge amewataka Viongozi wa Africa kufanya maamuzi Kwa umakini mkubwa Ili wasije kutuletea majuto huko mbele
" Tusipoushughulikia vizuri Uhuru wetu Wakoloni Watarudi Kwa jina la Wawekezaji" amesema KADA huyo wa CCM anayeaminiwa sana na Wawekezaji wa...
Orodha yake sikii kaicopy wapi ya nchi ambazo raia wake watatimuwa Marekani. Hii atajuwa ka copy mahali na hajiulizi, anacopy na anaweka watermark yake kana kwamba kaandaa yeye kumbe kacopy tu mahali.
Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu wazazi/walezi wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi.
Anayejiita mtangazaji (mimi namuona kama mchekeshaji tu) Maulid Kitenge wa Wasafi FM ameshindwa kuuishi msemo huu wa...
Maulid Kitenge akija kwenye shughuli yako kama Mc hamna hamna ubaoni uwe na Milioni 15 mpaka 20.
Klabu ndogo ya mkoani kama Singida ambayo inategemea mapato ya mlangoni wanawezaje kumlipa pesa nyingi hivyo Maulid? Hiyo hela wanapata wapi?
Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara.
Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.
Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya.
Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu Msemaji wa Serikali mh Matinyi ndio aannze kuhangaika kwenye media kutolea ufafanuzi wakati Kazi hiyo...
Huyu jamaa Kwa kutambua kwamba nchi Sasa Ina mbululaz wengi wanaojipendekeza Kwa watu maarufu huku wakijiita machawa akaanzisha kundi la kukimbia mchakamchaka barabarani.
Mazoezi ni muhimu Kwa afya ya mwili na akili, lakini yasifanywe kihuni, yafanywe mahali sahihi na salama Kwa wafanya mazoezi...
Mtangazaji nguli wa Michezo Maulid Kitenge amefunga ndoa na mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje.
Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa kile kinachodaiwa mtangazaji huyo mkongwe kutowaalika marafiki zake wa karibu ambapo watu saba tu ndio...
Si mara moja wala mara 2 unapokuwa ukiripoti matukio mbalimbali umekuwa ukitumia lugha za kejeli especially kwa watu wenye mawazo tofauti na yako.
Hata kama unatekeleza kazi maalumu hupaswi kudharau watu.
Haya, Endelea na lile jukumu letu.
Maulid Kitenge nilimsikia akitoa malalamiko aliyo dai ni ya wananchi na kuyaelekeza kwenye mamlaka ya barabara nchini-Tanroads, kuhusiana na maeneo ya Dumila kwambakuna tuta halina alama ya barabarani na kudai kwamba inahatarisha maisha ya watu wanaotumia usafiri wa moto wanaopita eneo hilo...
Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii.
Je, uchawa umewalipa...
Bado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika, sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai, kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua...
MAULIDI KITENGE NA WENZAKE WANAVYOWAPENDA WATANZANIA.
Na Thadei Ole Mushi.
Maulid Kitenge, Gerald Hando na Zembwela wakiwa nje ya Ofisi za makao makuu ya DP
World kutuhabarisha manufaa ya DP World.
Ni vijana wazalendo sana maana wametumia nauli zao, wamelipia hoteli kwa mishahara yao, na...
Nimesukumwa kutaka kuwajua vema hawa watu baada ya kufuatilia mijadala wanayoiendesha katika vipindi. Juzi nilimsikia Kitenge akisoma Magazeti kwa bashasha lakini nikashangaa kuna neno la kiingereza likampa ugumu kulitamka na alivyo mjanja akapiga blaah blaah zingine ili kutoka hapo...
Ukimfuatilia mlolongo wa matukio kadha wa kadha ya hivi karibuni lazima mwanzoni mwa picha utamushuhudia Kitenge akiwaandaa watu kisaikolojia.
Mfano la Waarabu wa Loliondo na lile na Wamasai kule Ngorongoro Kitenge alitangulia kufanya kipindi cha kizushi.
Hili la Bandari tena Kitenge huyohuyo...