mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheria nyingi zilizoundwa na CCM zimelenga kutengeneza mazingira ya kufanyika uovu

    Taasisi yoyote inapotaka kufanya uovu wowote, kwanza hutengeneza mazingira ya kuwezesha uhalifu kuweza kufanikiwa. Serikali ya CCM, muda mwingi imekuwa ikiandaa mazingira ya kisheria ya kufanya uovu dhidi ya umma: 1. Serikali ya CCM kwanza iliandaa na kupitisha sheria ya kinga ya viongozi...
  2. Kuuawa kwa Ali Kibao: Polisi watakuja na sababu za akina Dr. Ulimboka, Prof. Juan na wengine?

    Alipouwawa Professor Jwani Mwaikusa (sidhani kama nimepatia jina) na aliposhambuliwa Dr Ulimboka, na alipotekwa Mo Dewji, Jeshi la Polisi lilikuja mbele ya media na "Wahalifu" ambao sijui Hadi Leo waliishia wapi. Nawasihi Sana, tusiendelee kuchezea uhai wa watu, Kuna Leo kuna Kesho, madaraka...
  3. Wachezaji wazawa Simba na Yanga wavae vitambaa vya kupinga Utekaji, upoteaji na mauaji.

    Huwa naona timu za mpira ulaya wanahamasisha kampeni za mambo mbalimbali kama vile upingaji ubaguzi wa rangi au kuwanyanyapaa mashoga. Hii ni kutokana na nguvu ya michezo. Marekani pia timu za mpira wa basketball huwa na harakati mbalimbali dhidi ya mauaji ya bunduki. Huu ni wakati sahihi wa...
  4. L

    Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi Soma Pia: Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
  5. Wito: Kufuatia Mauaji ya Mzee Ali Kibao, CHADEMA isipokee salamu zozote za Pole kutoka CCM wala Serikalini

    Hii ni kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kumkufuru Mungu na kujitafutia laana ya kujitakia ya Milele. Salamu zingine ambazo hazipaswi kupokelewa ni kutoka kwa viongozi wote Wastaafu wa Tanzania wanashabihiana na CCM na bila shaka wanaoshabihiana na Serikali hii. Hawa wote kwa Umoja...
  6. Mimi kada wa CCM lakini mauaji ya kada wa CHADEMA Ali Kibao limetukera

    Hivi 4R maana yake nini kwa sasa sijui maana yake nini. Mauaji ya kada wa CHADEMA Ali Kibao, mauaji ambayo si suala la kulifumbia macho. Kwa kawaida Kama tumeanza kuingia katika mauaji ya kisiasa hata mimi mwa CCM siliungi mkono hilo. Na kwa vyovyote mauaji haya hayaashirii upepo mzuri kwa...
  7. Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amesema kwamba baada ya Uchunguzi wa Mwili wa Marehemu ulioshuhudiwa na Ndugu wa Marehemu pamoja na viongozi wa Chadema, Imebainika kwamba Ally Kibao ameuawa. Zaidi ni kwamba amepigwa kupita kiasi na Pia alimwagiwa Tindikali ili aungue kabisa asitambulike...
  8. 4

    Nani yupo nyuma ya utekaji na mauaji haya Tanzania? Kauli moja nini kifanyike?

    Wakuu habari, Sio wote JF wenda wanaguswa na yanayoendelea ndani ya nchi hii (zingatia wapo machawa wa ccm) Taifa sasa linajaa laana za watu kutwekwa, kuuawa (machozi ya damu). Nani yupo nyuma ya upumbavu huu? Nani anaratibu kwa faida ya nani? Kama ni kwa faida ya Taifa nakataa, kama ni kwa...
  9. PreGE2025 Rais Samia kuachia madaraka nako ni Busara!

    Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa. Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio, tayari unakosa sifa ya kuwa kiongozi. Nchi hii inaweza kwenda bila Samia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
  10. PreGE2025 Watanzania mnataka idadi ya vifo vya kutekwa ifike ngapi ndio muamke?

    Nawauliza tu, nataka idadi ifike ngapi? Maana kazi kulalamika tu baada ya siku mbili mnaletewa connection ya gigy money, mnasahau! Mnataka wafe wangapi? CHADEMA badala ya kuandamana na mambo ya katiba mpya andamaneni na hili polisi itoe hao watu inawashikilia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
  11. PreGE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

    Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma. Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri...
  12. PreGE2025 Wananchi na Viongozi wa Upinzani kukaa kimya kunatoa mwanya kwa watekaji kuendelea kupoteza watu nchini

    Hawa watekaji walianza kuwateka wanaharakati. Kwa kawaida wanaharakati huwa hawana wafuasi rasmi. Watekaji walifanya hivyo kupima mwamko na nguvu ya wananchi pale inapotokea mmoja wao anafanyiwa uharamia. Wakataka kuona, Watamzania watafanya nini dhidi yao. Matokeo: Watanzania, kama nyumbu...
  13. Watu watatu wakamatwa kwa tuhuma za mauaji ya Mama na Bintiye mkoani Dodoma

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mama na bintiye wakazi wa mkoani humo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa amewataja watu hao ambao ni Daudi Elias Nyakongo (45), Rajabu Rashidi (45) na Fikiri Steven (45) wote...
  14. T

    Kwa yanayoendelea nchini je, Watanzania tupo salama?

    Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu. Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi leo ni zamu yako mimi siwezi kuingilia ni taifa la aina yake. Leo napenda kuja na mada yenye...
  15. J

    Dodoma: Mama na mwanaye walawitiwa na kisha kuuliwa na watu wasiyojulikana

    Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024. Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya...
  16. Kinachoendelea Kaliua ni kama ngorongoro. Mauaji ya binadamu yanatokea na Serikali ipo kimya

    Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa, Waziri wa maliasili ajiuzuru? Waziri wa ulinzi ajiuzuru? Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu?
  17. PreGE2025 Askofu Shoo akemea vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka

    Askofu Fredrick Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea vikali vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji yanayodaiwa kuwa na viashiria vya ushirikina, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka, ambavyo vinatishia usalama wa nchi. Dk Shoo...
  18. W

    Wanne wakamatwa kwa mauaji ya watu 10 Dodoma na Singida

    Agosti 26, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa mendelezo wa uchunguzi na mahojiano yaliyofanywa dhidi ya watuhumiwa watatu waliobainika kumuua Samwaja Sifael Said kwa kumnyonga hadi kupoteza uhai kisha kukata sehemu zake za siri na kufukia wili wake katika shimo. Baada ya mahojiano na ushirikiano...
  19. J

    Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

    Washtakiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Mahakama imetoa adhabu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa...
  20. IGP to polisi wa Kawe watu wanakufa maeneo ya Mbezi Beach Rainbow mpaka Tanki Bovu

    Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti. Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow mpaka Tanki Bovu hali si sawa baba yetu, watu wanauawa, wanakatwa mapanga sana. Mbaya zaidi ni mita 30...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…