mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na Watanzania katika kulaani mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ali Kibao yaliyosababisha mshtuko na hisia kali nchini. Akizungumza Septemba 17, 2024, kwenye maadhimisho ya...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania LHRC: Ongezeko la Matukio ya Mauaji, Utekaji yanaonesha Udhaifu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Taarifa ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ya kulaani mauaji ya watu Watatu wa familia moja huko Dodoma imesema, hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko kubwa la matukio ya kikatili nchini hususani ya mauaji, watu kupotea na kutekwa ambayo yanaongeza hofu kubwa kwa wananchi kwani...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mauji beach ya Ununio na yale ya Dodoma yanatuma ujumbe gani kwa uongozi?

    Viongozi mlioko kwenye nafasi zenu yanapotokea mauaji ya namna hii kuna ujumbe mnatumiwa ambao kuuelewa inabidi ku na hekima sana na si kua na akili kama za kwenu. Kuna mauaji mengi zaidi haya ripotiwi hasa beach ya Ununio ili kuzuia Taharuki zaidi na unapo ona Polisi wanatokeza na kusema nchi...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima katika eneo la karibu alipokuwepo Donald Trump, Maafisa usalama wanasema yupo salama

    Mtu mmoja aliyekuwa na silaha amesababisha maafisa wa usalama wa Donald Trump kupiga risasi Hata hivo walinzi maalumu wa Trump walijibizana Kwa Risasi, haijafahamika mpaka Sasa ikiwa Wamemuua Mdunguaji huyo!!. Soma Pia: Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Anayepinga maandamano ya 23/09 anaunga utekaji na mauaji ya raia

    Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia CHADEMA...
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Dkt Nchimbi Katibu Mkuu CCM: Hadidu za rejea za Tume ya Kuchunguza Mauaji Holela Ziko Wapi?

    Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu. Ni madudu kuhusu operesheni ya kutekwa, kuteswa na kuteketezwa kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali inayofanyika kana kwamba Tanzania ni...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la mauaji Rais Samia amekasimu madaraka hafiki moja kwa moja kwa wananchi tumpe haki yake

    Habarini, Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Bashe kaletwa kututoa kwenye reli suala la utekaji na mauaji ya watu wasiyojulika pamoja na kesi ya afande, tusitoke kwenye reli

    Wakuu Salaam, Mtakuwa mmekutana na vijembe kvya Bashe na Mpina, tena naye kaanza kutumia vichambo kibasaaa, na Millard eti kaweka kaweka kichwa cha kimbea, soma hapa - Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo Hapa anajua lazima Watanzania...
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea, picha inaongea

    Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼 ====== Mohamed Dewji ameandika: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    C&P from Face Book. KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI Na Bollen Ngetti SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili lililofunika kutekwa, kuteswa na hatimaye kuuawa kikatili Mzee Ally Muhammed Kibao al-maarufu MeD...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

    Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao. Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

    Mariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake. Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya...
  15. Heparin

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini

    10 September 2024 Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania; "Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli anachukizwa na vitendo vya mauaji na utekaji vinavyoendelea mjini?

    Amesema anasikitishwa sana na mauaji na utekaji. Swali ni alijiuliza, kama ni kweli ilikuwaje akaurudisha kwa kumteua mtu mwenye tuhuma za kuondoa haki za watu kuishi? Mtu ambaye taifa kubwa lenye vyombo na taasisi kubwa za ujasusi lilimpiga marufuku kuingia kwao kwa sababu ya tuhuma za kuua...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Shuhuda adai Hayati Ali Kibao wa CHADEMA alipigwa kichwani na kutobolewa macho

    Msikilizeni huyo shuhuda. Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho. "Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki nilikuja kuaangalia tulikuta mtu amakekufa, kapigwa kichwani, amevia damu, amaetobolewa macho unaona...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rostam: Tuungane kukomesha vitendo vya kishetani katika nchi yetu. Poleni CHADEMA

    TAARIFA YA ROSTAM AZIZI KUFUATIA MAUAJI YA KIONGOZI WA KISIASA Katika siku za karibuni nchi yetu imeshuhudia kujirudia tena kwa matukio ya kikatili ambayo yamehusisha kuripotiwa kwa vitendo vya utekaji, utesaji na jana tukashuhudia tukio baya zaidi la mauaji ya kiongozi wa Chadema, Ndugu...
  19. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Ni kama Mzee Ali Kibao alijua yupo hatarini?

    Nipo najiuliza ilikuwaje akawa anatumia usafiri wa bus naamini huyu mzee hawezi kosa usafiri wa kusafiri kwenda hapa na pale. Imani yangu inanituma alijua anafatiliwa akawa anajichanganya mazingira ya watu wengi kama kusafiri na bus ambapo aliona kwake itakuwa ni salama zaidi. Lakini hawa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Tuache kushutumu, mwenye kielelezo kuhusu mauaji ya Ali Kibao awasilishe

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali haitavumilia ukiukwaji wa haki za Binadamu na hatua zitachukuliwa kwa yeyote atakayebaini kuhusika na tukio la mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Amesema hayo wakati akitoa salamu za Serikali Jijini Tanga wakati wa Msiba wa...
Back
Top Bottom