mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Digital memorial/Archive for Lives Lost in Tanzania’s Recent Violence

    The last couple of days, tumeshuhudia ndugu, marafiki, na jamaa zetu, wakubwa kwa wadogo wakiuwawa bila huruma yoyote. 💔 MAY THEY REST WELL! Tunayopitia ni magumu, ila kwa neema ya Mungu na kwakufarijiana, tutafika.😔 Kila nikiingia online nakutana na videos mpya za watu waliouwawa, ama...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

    Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29

    Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta Kwa hali hii...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wetu ulisababisha mauaji ya kimbari

    Mbari ya Gen Z iliuawa na mbari ya watawala. Mbari ya wasio chawa iliuawa na machawa Mbari ya wasio CCM imeuawa na CCM. Kuna mauaji ya kimbari Tanzania. ICC inaweza kuanza kuchunguza.
  5. JamiiForums Tanzania Kama Polisi hawahusiki na mauaji, sasa kwanini hawaokoti miili ya Watanzania waipeleke Mochwari? Imezagaa mitaani

    Miilli ya Watu imezagaa mitaani, Polisi wanajifanya hawaoni walla hawajui... Hawa wameuawa Mbezi karibu na nyumba ya Mkurugenzi wa Usalama wa taifa Bw. Suleiman Abubakar Mombo. Binadamu mnakuwa na hasira hadi na maiti? Mombo anapita hapo kama haoni maiti kisa tu wanapinga ifisadi wake
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiwa Mtanganyika, haijalishi uko ndani au nje ya nchi, unayachukuliaje haya mauaji ya ndugu zetu?

    Nazani kama kichwa cha habari kinavyoonyesha inasikitisha sana kwa yanayoendelea Tanzania,sikuwa kuamini kama Viongozi wa inchi pamoja na jeshi la polisi wanaweza kusimamia mauaji dhidi ya raia zao hata kama wananufaika na rushwa ndani ya hiyo serikali,hata Magufuri alikuwa dikteta lakini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya watanzania wasio na hatia

    Baadhi ya video zipo Instagram https://www.instagram.com/samia_muuaji?igsh=MWRzaGxjMDU3YW9sbw==
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

    Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili. Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi wanawachukua na kuondoka nao. Ambapo wote wanaochukuliwa hurudishwa tena lakini wakiwa maiti tayari...
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jenerali Ulimwengu aonya vikali mauaji ya raia wema wanaopambania nchi yao

    Namnukuu "Hakuna kabisa msamaha au sababu zinazoweza kuhalalisha kile kinachotokea Tanzania sasa hivi — uuaji wa watu wetu; kabisa hakuna! Acha wazimu huu wa kudhani kwamba watu wetu ni watumwa wenu na hawawezi kujiondoa chini ya mnyororo wa utumwa wenu. Ndiyo, wanaweza na watafanya hivyo, na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Video: Wapiganaji wa RSF walivyotekeleza mauaji mji wa Al Fasher Sudan

    Wapiganaji wa RSF nchini Sudan wanaendeleza mauaji ya halaiki katika mji wa Al Fasher, baada ya kudai kudhibiti ngome ya mwisho ya jeshi la Sudan katika eneo hilo la magharibi mwa nchi Oktoba 26 SF
  11. JamiiForums Tanzania MAONO: Mauaji ya viongozi na ugaidi kushamiri nchi moja Afrika mashariki 2025-2030 kama kisasi kutoka kwa raia

    kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa 1.Mauaji ya polisi kushika kasi 2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe 3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni...
  12. JamiiForums Tanzania Mara: Boss wa TARURA ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauji ya mke wake

    Rhoda Jonathan (46), mkazi wa Kitongoji cha Burunga, Kata ya Uwanja wa Ndege, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameripotiwa kuuawa kikatili kwa kukatwa mapanga hadi kufa. Marehemu alikuwa mke wa Mhandisi Wilson Charles, Meneja wa TARURA - Kagera, ambapo wawili hao wamejaliwa watoto watatu...
  13. JamiiForums Tanzania Amiri jeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji napata wakati Mgumu kumpa kura Yangu

    Amirijeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji ya wananchi wake ananipa wakati mgumu sana kumpa kura yangu maana huai wa wananchi wake sio kipaumbele chake ndo maana hawezi kutoka na kukemea. Je, huyu nikimpa kura yangu hataweza kunilinda hata nikimkosoa?
  14. JamiiForums Tanzania Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mungu atalipiza kwa mauaji na unyanyasaji 2025-2026

    Mungu atalipiza kwa mauaji na unyanyasaji 2025-2026. Litakuja jinamizi na kuanza kumalizana wenyewe kabla Mungu hajaweka watu wake kuongoza nchi. Mungu alianza kuanzia 2021 lakini naona watu wanafikiri yametokea tu sasa bahati mbaya waliochukuwa madaraka hawakuelewa wakafikiri wenyewe ndiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Mauaji ya askari Arusha

    #BREAKINGNEWS Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi, Omary Mnandi (30), aliyekuwa mkazi wa Jiji la Arusha. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Oktoba 12, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, SACP Justine Masejo, amesema...
  17. JamiiForums Tanzania Je unatazama filamu za mauaji mara kwa mara, ukiwa peke yako na kufurahia? Wahi Hospitali mapema

    Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na kupenda sana kutazama filamu kama Zodiac, Hannibal, Mindhunter, au I Saw the Devil mara kumi au...
  18. JamiiForums Tanzania Kutokupinga wauaji na watekaji ni kushiriki nao utekaji na mauaji. Tena kheri wauaji na watekaji kuliko wanaonyamazia maovu

    Hamjambo! 1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini. Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano. 2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki. 3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
  19. JamiiForums Tanzania JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…