1. Waziri Nape alitolewa bastola hadharani kama jambazi mchana kweupe kwa amri ya Makonda. Yawezekana ni kweli Nape kamsamehe Makonda lkn sisi watanzania kamwe hatujasahau wala kusamehe.
2. Ridhiwan Kikwete, naibu waziri utumishi, alitajwa na RC Makonda kuwa anauza ngada. Mama Salma Kikwete na...