matusi

Leneuoti Matusi is a Tuvaluan politician and former civil servant who was elected as an Independent MP for the Nui constituency in a 2013 by-election, having previously served as the Secretary of the Nui Falekaupule.Matusi gained 297 votes out of 778 to gain the seat from the former sitting member Taom Tanukale who polled just 160 votes after resigning from Parliament on 30 July 2013 following the constitutional crisis. He will represent Nui alongside Pelenike Tekinene Isaia, who is the island's only female MP.A week after the by-election, Prime Minister Enele Sopoaga announced that Matusi had joined the government's side, helping to boost their members to nine.Matusi was not re-elected to parliament in the 2015 Tuvaluan general election.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Mmemtukana na kumtweza wee! Kaamua kuzunguka na chopa yake nchi nzima kujibu matusi yenu na kujisafisha utu wake. Sasa woga na wasiwasi wa nini?

    Akili za baadhi ya watu huwa hazieleweki zinavyofanya kazi. Yaani kweli mtu mliyemtukana wee na kutweza utu wake, mutawezaje kumuomba msaada kwa matatizo yanayowapata kutokana na laana ya matusi na matendo yenu? Kwa nini sasa mnakuwa na wasiwasi na uoga tele munaposikia kuwa mtu huyo kaamua...
  2. Ngwathra

    JamiiForums Tanzania Records za matusi kwa g55

    Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa. Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki...
  3. gstar

    JamiiForums Tanzania Mbaraka Mwinshehe matusi ya nini? Hapa alikuwa anamaanisha nini huyu mkongwe

    Nyimbo hii inanikosha mashairi yake yana kwenda kama hivi "Tulikuwa na Salum mpaka kaenda Ahera wala hatukutukanana, Aah, alipoingia yeye aliyoleta si miziki bali ni matusi, Mji wa Morogoro, ulisifika sana kwa mambo ya miziki na nyimbo zenye maana ooh, Aah, Amekuja mchafuzi wa jina la Moro Jazz...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya rais Samia: Mkuu wa nchi akitoa hotuba mjitahidi kusikiliza na kutoa ushauri, sio matusi

    Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri. Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii. Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta. Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6, Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki. Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

    Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mapambio yakizidi yanakuwa kejeli

    Kwenye hili sasa watanzania mmezidi aisee! Inamfanya Rais aonekane kituko.
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni Chumvi au Matusi?

    JE, WEWE NI CHUMVI AU MATUSI? Chumvi haihitaji kufanana na viungo vingine, wala haitoi harufu kama viungo vingine, lakini bila hiyo, supu haina ladha. Watu wenye athari halisi hawawezi kupigania nafasi, umaarufu, au mwonekano. Matokeo yao huongea kwao, si propaganda zao. Huhitaji kupaza sauti...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya kujibu Matusi au Lugha za kejeli Mitamdaoni sio nzuri kabisa kwanini watu hua hawafanyi tukiwa ana Kwa ana?

    Habari! Naandika hapa huu Uzi Kuomba majibu kutoka kwenu. Naomba Kila mtu aniambie hii Hali hua ananiona inatokana na Nini? Na hii Hali ni nzuri kweli? Najua wengi tushaiona hata wengine kukumbana nayo..Kuna hii tabia mtu unaandika maoni Yako kwenye social media yoyote either X, insta au...
  11. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Kutafuta views, followers na trending kusitufanye kuvuka mipaka ya maadili, huyu mtoto hakupaswa kukaririshwa haya matusi

    Tusitafute views kwa kuwahusisha watoto na vitendo na maneno ambayo hayazingatii Parental Guidance. Huyu mtoto anaongea matusi makubwa sana ambayo ni kwa watu wazima tu ndiyo wanapaswa kuyatamka.
  12. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike anatukana matusi kwenye daladala na anasema haogopi mtu

    Jana nimekutana na dharau kwenye daladala ambapo kila mmoja alikua amefura kwa staili yake. Baada ya kupanda tu dada akaanza kuongea na simu, ikionesha amemuazima gari anaeongea nae. Sentence “ gari yangu” ilitumika sana. Sauti ilikua kubwa gari zima alisikika yeye. Sasa sijui uyo aneongea nae...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

    Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani. Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani. Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hili ni janga! Nimeona watu humu wakirushiwa matusi ya "unamsifia bwana yako" kwa sababu tu amemsifia mtu fulani. Fikra zako, Ndio dunia yako

    Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa. Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dhihaka: Serikali yatoa Nyongeza ya 2% ya pensheni kwa wastaafu

    Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini! Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000 1,000,000 nyongeza ni 20,000 Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
  16. R

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Uchawa/Upambe: ni derogatory term, ni matusi makubwa ya nafsi ya mtu/utu wa mtu

    definition ya wapambe /machawa ni watu wasiokuwa na tafakari, ni bendera fuata upepo. Hawana reasoning yoyote from higher mental faculties. Wanatumia matumbo yao kufikiri. Ni watu wa hovyo ambao wana very low level of thinking, especially RATIONAL THINKING!Hivyo mtu akikuita chawa, amekutukana!
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Matusi ya nini sasa wakati wa kufanya mapenzi ndugu zangu?

    Hii ina maana gani kuporomosha matusi mazito mazito wakati wa kufanya tendo la ndoa tena na mtu wa ibada kabisa na mwenye heshima anaeheshimika kwenye jamii? kwani hakuna maneno mengine hadi mayowe na miguno ya kuambatana na matusi? :pulpTRAVOLTA:
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

    Wakuu kheri kwenu nyote. Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable). Vijana hawa haijarishi wapo kwenye makazi ya watu au maporini nyimbo zao ni zilele za matusi.Nauliza kwenu ninyi TANESCO...
  19. KENZY

    JamiiForums Tanzania Amani isiyokuwa na faida ni sawa na matusi!

    Sehemu yoyote ukihubiriwa kuwa kuna amani, inahitajika kupimwe amani ile imeleta nini kama ambavyo vita huleta hasara basi amani nayo lazima ipimwe kuwa imeleta maendeleo kiasi gani.. Ikiwa muda mrefu wa amani umepita na hakuna maendeleo yanayo aksi muda basi kuna namna mmekwama ama kuna...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa vyama vya siasa na wadau wa siasa kwa ujumla acheni mihemko, mizaha na matusi kwenye mijadala yenye maslahi muhimu kwa taifa

    Kuweni wastahimilivu na wenye subra ikiwa hoja, mitazamo, maoni na fikra tunduizi za wadau kwenye masuala mbalimbali ni nzito, za maana na muhimu zaidi ya mawazo, maoni au mitazamo yenu ambayo labda ni dhaifu na yasiyo na mashiko kwa wakati huo. Ikiwa umefikia ukomo wako wa mwisho wa mawazo...
Back
Top Bottom