matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania INAUZWA Motor inauzwa kwa matumizi ya viwandani

    Habari wanajf na wafanyabiashara, Motor hii ilikuwa inatumika kwenye Mashine ya Tofali Mixer yenye ukubwa wa 20hp bei ni Tsh 3mil ni Standard ya German.
  2. JamiiForums Tanzania SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja tu, matumizi kodi za umma hovyo, harufu ya ufisadi, Tozo lukuki kwa wananchi maskini. Je, baada ya miaka mitatu?

    Hapa mnatakiwa mjiulize kwa kutumia akili sana. Kwamba sasa mnaekea wapi watanzania? Tozo kibao kila kukicha. Matumizi ya ajabu ajabu tu. Kwanu Uhuru Kenyatta hana wajomba huko Usa? Vipi kuhusu mikataba ya kijanja wizara ya nishati na madini. Mahindra tech, Lindi Lng. Huu ndio mwanzo tu...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Hatubani matumizi kwa kukopesha watu magari yanayowekewa mafuta na Serikali

    Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa. Njia pekee ya kubana matumizi ya serikali ni kwa kufanya yafuatayo: 1. Kuyafanya magari yote ya serikali yatumie gesi asilia badala ya mafuta na kuyafungia vifaa vya kuyafuatilia mienendo yao. Madereva wa magari ya serikali baadhi yao huwa wanaiba mafuta...
  5. JamiiForums Tanzania Nashauri simu zote ziwe na lugha ya Kiswahili ili kuhimiza matumizi ya Kiswahili

    Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
  6. JamiiForums Tanzania Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

    Hii nchi ilipofikia nafikiri kilichobaki ni watu waamue kujitoa akili tu utaratibu uvurugike mazima hata nusu mwaka hivi then kitakachofuata baada ya hapo tutakaa kamati ya maridhiano maana dunia nzima itakuwa inaelewa hasa kinachoendelea ni nini! Hii biashara ya kubembelezana watu wazima kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi aghairi safari za nje kubana matumizi

    Serikali ya Malawi itaokoa TZS milioni 608.13 kutokana na kufutwa kwa safari mbili za Rais Lazarus Chakwera kama sehemu ya hatua za serikali za kubana matumizi. Rais Lazarus hatahudhuria mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola mjini Kigali, Rwanda, na Kongamano la Maendeleo ya Mfuko...
  8. JamiiForums Tanzania Kubana kwa matumizi kungeanza na Rais mwenyewe. Haiwezekani yeye asafiri na wengine wasisafiri. Aongoze kwa vitendo, si double standard

    Mheshimiwa Rais Safari zake zimekuwa nyingi sana tujifunze kwa wenzetu walioendelea viongozi wao hawasafiri hovyohovyo safari zao huwa ni za kimkakati Sasa Rais wetu anaposafiri safiri kila Mara hasara ni nyingi kuliko faida Just imagine Rais ana mabalozi ana mawaziri wa wizara husika yeye...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe tulimsifu Hayati Magufuli kwa kubana matumizi huku Serikali ikiwa na matumizi ya ovyo hivi?

    Kati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza...
  10. JamiiForums Tanzania Usafi wa choo ni muhimu, Yafanye matumizi yake kuwa salama kwako na kwa wengine

    Choo ni moja kati ya sehemu muhimu katika makazi yoyote ya watu iwe nyumbani, Ofisini, sehemu ya biashara na maeneo mengine. Choo huweza kutumika kibinafsi (privately) au kijumuiya (Publicly) kutegemeana na eneo husika. Choo kinapotumika kibinafsi shida na changamoto inakuwa sio kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu anapaswa akemee matumizi mabaya ya Mhimili wa mahakama kukomoa wananchi wasiokuwa na hatia

    Kumekuwepo na kesi za kisiasa ambazo kimsingi hazina ushahidi wa kuthibitisha madai husika. Raia wamekua wakikaa mahabusu muda mrefu kwa kesi za kubumba kabisa. Ushahidi wa hayo ni kesi za sabaya ambazo zilifunguliwa kisiasa tu na imethibitika hivyo baada ya mahakama kuona katika kesi zote...
  12. JamiiForums Tanzania Badilisha matumizi ya nyumba yako kubwa, kuwa ya kibiashara; hasa kwa wale walioajiriwa

    Kumekuwa na mahitaji au matamanio ya kila mtu anayepata kipato kutamani kumiliki na kuishi kwenye nyumba kubwa. Wapo wanaodunduliza au kupata mikopo, na hatimaye kufanikisha lengo hilo. Na kuishi kwenye nyumba kubwa, huku umeajiriwa, kiuchumi sio ufahari ; kwa sababu inakuwa haikuingizii...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yazuia wanachama wa NHIF kwenda kuchukua dawa maduka ya nje kwa kufuta matumizi ya form 2c

    Kuna waraka umetolewa na Wizara ya Afya, ukitoa taarifa kwamba kuanzia tarehe 01 Juni 2022 hatua kwa hatua kutasitishwa matumizi ya form 2c. Form 2c ni fomu inayotumika na hospitali zinazohudumia wagonjwa wa NHIF kujaza dawa zisizokuwepo hospitali, ili mgonjwa au ndugu wa mgonjwa akachukue dawa...
  14. JamiiForums Tanzania UPDATE: Nimeanza kuacha matumizi ya dawa za kupunguza mapigo leo tarehe 25 saa4 kamili asubuhi

    Kutokana na maoni ya wadau mbali mbali jukwaani hapa pamoja na forum mbali mbali kama BETA BLOCKER/BISOPROLOL WITHDRAWAL FORUM, Leo nimeamua kuacha hizi dawa kwa kufanya yafutayo. 1. Kwanza ifahamike kwamba mwanzoni nilikua nameza kidonge kizima cha NEBIVOLOL chenye 5MG, na badae nikapunguza...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu afisa elimu wa wilaya Songwe awajibishwe kwa matumizi mabaya ya ofisi

    Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa tabora naye alikuwa msumbufu balaaa. Lakini huyu alieachwa ana mapungufu balaaa na sijui hivi vyeo uwa...
  16. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite kuonesha mechi mbashara usiku wa Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya

    Mkwe wa Rais ambaye pia ni Waziri wa Michezo kulifunga daraja la Salander(Tanzanite) ili kupisha kuonesha Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Real Madrid Vs Liverpool -- Waziri Mchengerwa ameyasema haya “Tunatambua Heineken wamekuwa waki-support michezo na kwa mara ya 1 Tanzania...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Raha kamili ya matumizi ya kinga

    Wakuu napenda kukubaliana na taasisi za afya kote duniani zinazosisitiza matumizi ya kondomu kama njia sahihi ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI. Binafsi huwa situmii mara kwa mara kwa sababu nafanya tendo na mwanamke wangu mmoja ninayemwamini. Changamoto...
  18. E

    JamiiForums Tanzania White wall put na white siment matumizi yake yanaendana katika ufanyaji kazi?

    Naomba msaada Wana JM kuhusu tofauti ya white wall put na white siment matumizi yake yanaendana katika ufanyaji kazi au kipi ni kizuri zaidi katika finishing ya juma. Natanguliza shukrani.
  19. JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya madaraka na Kuisababishia Bunge/Serikali hasara :Aione Ayubu wa Kongwa

    Wasalaam wana JF Kama nchi hii inafuata misingi ya utawala wa sheria basi namshauri bwana Ayubu wa Kongwa kwamba DPP anaweza kumletea shida kwa kuwakubali na kuwalea COVID 19 Naomba kushauri
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    Uzi tayari! Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni? Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…