matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Asilimia kubwa tunanunua simu na laptop zenye uwezo mkubwa na pesa kubwa wakati matumizi yake ni madogo

    Ili jambo watanzania tunajikuta tunapoteza sana pesa kwa kununua kitu chenye uwezo mkubwa kuliko matumizi.yani mtu ana nunua laptop yenye uwezo wakufanya kazi za production,game na injinia alafu yeye anaenda kutumia kwa ajili ya kuandikia barua na kazi za ofisi. Tuje kwenye simu huku ndio...
  2. Mchungaji Gwajima: Elimu bila connection ni sawa na kontena la maarifa yasiyo na matumizi

    Nimekutana na hii video mtandaoni, Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma. Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
  3. Matumizi ya Digitali ni Muhimu Katika Utoaji wa Huduma Bora za Serikali

    Katika dunia ya leo, si tu biashara zinazopeleka huduma zao mtandaoni, pia kuna mabadiliko ya kidigitali kwa serikali. Serikali zimekuwa zikilazimika kupitia mabadiliko mbalimbali kadiri mahitaji na matakwa ya raia yanavyobadilika. Mabadiliko haya ya kidigitali ya serikali ni matumizi endelevu...
  4. Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

    Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
  5. Zifahamu aina za injini za Ndege na matumizi yake

    Mapinduzi ya Injini za Ndege ya mekuwa makubwa sana. Kabla ya kujua injini za ndege kwanza tufahamu aina za injini kiundani kabisa. Sio neno geni kujia jina injini na matumizi ya injini yanaeleweka na tunatumia kwenye vifaa na vyombo vyetu vya usafiri. Injini inayozungumziwa hapa ni injini...
  6. H

    Wadau wa kanuni na sheria za fedha na bajeti za wizara bungeni,suala la matumizi ya fedha nje ya bajeti ya wizara limekaaje?

    Kazi iendelee kwema jamani. Jana nimemsikia waziri wa wizara mmoja bungeni akijibu swali kuhusu matumizi ya fedha nje ya bajeti.Amejibu majibu rahisi as if anawajibu watu wa gani sijui na kinachonishangaza wabunge wameridhika na kukaa kimya. Kitu kingine kinachonisikitisha ni kuwa sheria na...
  7. Matumizi ya Mtandao yasibague wazee

    Wazee kama yalivyo makundi mengine hawapaswi kubaguliwa kwenye matumizi ya mtandao ili kufanikisha maisha yao ya kila siku. Wanapaswa kujengewa uwezo wa matumizi sahihi ya mtandao unaoendana na mahitaji ya sasa ili waweze kufurahia vizuri haki yao hii ya msingi. Kwa wale wenye mahitaji maalum...
  8. H

    TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  9. Epuka Matumizi yasiyo ya lazima ya Wi-Fi za Umma

    Mitandao mingi ya Umma ya Wi-Fi huwa na usalama mdogo kiasi cha kufanya watu wengine wanaotumia mtandao huo kuwa na uwezo wa kufikia Shughuli na Taarifa zako Binafsi kwa urahisi. Wi-Fi huweka wazi anuani yako ya Kimtandao, Sehemu uliyopo pamoja na Mambo unayofanya ukiwa Mtandaoni. Unashauriwa...
  10. Jambo Plastic kwa matumizi ya vyooni

    Kiutamaduni mwafrika amezoea choo cha kuchutama. Hivi vya kukaa utamaduni wa wenzetu. Ila kukaa huwa kunambidi mtu pindi anaumwa au wazee au wamama wajawazito. Mahitaji ya kukaa hayaepukik katika baadhi ya wakati ingawa kama una afya vizuri inashauriwa uchutame. Jambo plastic hivi viplastic...
  11. Matumizi ya Teknolojia ya Digitali Yanaifanya Elimu Kuwa Mchakato wa Kufurahisha

    Mifumo ya Elimu kwa Karne hii ya 21 inapaswa kutambua kwamba tunaishi katika mazingira yanayozidi kuwa ya kiteknolojia. Ubunifu na maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kubadilisha namna tunavyowasiliana, kufanya kazi na kuishi. Hata hivyo, wanafunzi wengi nchini Tanzania bado hawapati ujuzi wa...
  12. 21/01/2023 CHADEMA walifanya uzinduzi wa mikutano, baada ya hapo ratiba ya mikutano itafuata

    Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika. Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana...
  13. Serikali ibane matumizi wakati huu wa dharura

    Amani iwe Kwenu Benki kuu (BOT) imeshatoa takwimu kuonesha mfumuko wa bei umeongezeka kwa zaidi ya asilimia 1 ndani ya miezi michache. Sasa mfumuko unafikia asilimia 4 na ushei. Dunia nzima sasa inaputia wakati mgumu kiuchumi hususan kipindi hiki cha mtanange wa kule Ukraine. Kwa serikali...
  14. Watu wa vijijini ndiyo huwa wanalipa mikopo nchi hii, wanatakiwa kupewa kipaumbele kwenye matumizi ya hiyo mikopo

    Karibu asilimia mia moja ya mikopo ya nchi hii inalipwa na toka uhuru imekuwa inalipwa na watu wa vijijini. Unapoenda kulipa mikopo lazima utumie fedha ya kigeni, yaani dola. Sasa nchi yetu inapataje dola? Ni kwa kuuza bidhaa nje ya nchi. Wazalishaji wa viwanda vya ndani ambao wanauza humuhumu...
  15. Microsoft kupunguza Wafanyakazi 10,000 ili kubana matumizi

    Uamuzi huo utaathiri hadi 5% ya Wafanyakazi wake wote duniani na utaigharimu kampuni kiasi cha Tsh. Trilioni 2.7 katika kujipanga upya. Kwa mujibu wa Financial Times, Microsoft inatarajia kufanya uwekezaji wa zaisi ya Tsh. Trilioni 23 katika utengenezaji wa Akili Bandia kupitia kampuni ya...
  16. Ustahimilivu wa Digitali Unawawezesha Watoto Kunufaika na Matumizi ya Mtandao

    Ustahimilivu wa digitali kwa watoto ni ujuzi ambao watoto wanahitaji ili kudhibiti na kustahimili changamoto za ulimwengu wa mtandaoni kwa usalama. Ni uwezo wa kutofautisha mema na mabaya katika maisha ya kidigitali, kufikiri kwa umakini, kufanya maamuzi mazuri, na kufahamu hatari na matokeo ya...
  17. Wanawake na matumizi ya Bamia kuongeza 'Utelezi'

    Duuhh wakuu Kila kukicha Kungwi wa Wanawake ana lake jambo !!. Unaambiwa siku hizi ,wakitaka kukutembelea. Bamia zinatengenezwaa, Kisha inachujwa ivi , unapatikana ule utelezi wa Bamia. Baaaasi bwanaa, huo utelezi bidada anaweza kuuweka kwenye kikopo ivi akaja nao kuonana Nawewe au ...
  18. Fahamu matumizi ya kipande cha mkaa wakati wa kulala ili upate usingizi mzuri

    Wasalaam! Katika maisha yetu ya kila siku tuna uwepo wa Mungu na shetwani, na nyakati za kulala uwe mchana au usiku uwepo wa ibilisi na Mungu upo, hivyo basi tunao wenzetu ama sisi wenyewe, ambao mara nyingi au siku baadhi hupatwa na mikasa ya mazonge na vitu vibaya nyakati za kulala, na hii...
  19. TRA matumizi yenu ya mitandao ya kijamii yana mapungufu na ni upotevu wa raslimali

    sasa bandiko kama hili linajibu swali la bwana yule mliyemtoza mamlioni kwa pampas na viguo vya mtoto. Hamuwezi kutumia mifano rahisi kuwafanya wananchi waelewe? Mfano shida ya watanzania wengi iko hapa; Mtu kanunua gari kwa dola 1000 sawa na TZS 2,270,000 inakuwaje anaishia kulipa TZS...
  20. Matumizi ya redio kwa ajili ya habari na burudani yameshapitwa na wakati

    Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo. Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda. Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…