matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sofa hii ina matumizi gani?

    Wakuu hii sofa ina kazi gani?
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini gharama zake zipo juu sana

    Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za nishati hizi bado ni kubwa kwa wananchi wengi. Gesi nayo imekuwa na bei ya juu, mtungi mdogo...
  3. JamiiForums Tanzania Sera za Kilimo za Samia zawezesha Ongezeko la Matumizi ya Mbolea kwa asilimia 211% Kutoka Tani 264,000(2021/22) Hadi Tani 1.2 Milioni(2025/26).

    My Take Mkifanikiwa kumvuta Dangote ajenge kiwanda Cha mbolea itakuwa ni big deal sana. Dangote anajenga kiwanda Kikubwa Ethiopia wakati Tanzania ndio food busket wa Africa. https://www.instagram.com/reel/Dbuph__AjA6/?igsh=MTBubnU5NWVpbW9rbg==
  4. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupiga marufuku vyombo vya plastic kwa matumizi ya chakula?

    Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi. Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto au jua. Kwa kawaida huwa kuna plastic maalumu kwa ajili ya chakula(food grade) ambayo imeonekana...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madai ya matumizi mabaya ya kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Tarime

    Kuna madai ya matumizi mabaya ya madaraka katika Shule ya Sekondari Tarime yanayohitaji uchunguzi wa mamlaka husika. Inadaiwa kuwa Mkuu wa Shule alipendekeza mwalimu wa Fizikia ahamishiwe shule nyingine kwa madai kwamba utendaji wake darasani ulikuwa duni na alishindwa kumaliza mada. Hata...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwenye matumizi ya pesa za mtu...

  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  8. JamiiForums Tanzania Kiluvya: vitisho na matumizi ya nguvu katika ukusanyaji pesa za ujenzi wa barabara Mh Rais Diwani wa kiluvya anakuchonganisha na wananchi wako

    YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

    Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua. Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  11. JamiiForums Tanzania Matumizi mabovu ya pesa na nguvu nyingi msionekane kuwa mjakosea kwa ufupi mna mawenge

    Natarajia lile deni la taifa trilioni 114 litafika trilion 900 kama watafikisha 2030. Nguvu kubwa na pesa zinazowekwza kujionesha hawana tatizo na kulipa watu hata kuwapandia dau ili mradi kupunguza joto. Hali hii sasa inaonyesha wazi walipofikia ni wazi wakabizi nchi kabla ya kuzidi kujitia...
  12. JamiiForums Tanzania Wauguzi chumba cha upasuaji MOI wakumbushwa misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa

    Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi vinavyotumika katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa, ikiwa ni sehemu ya programu endelevu inayodhaminiwa na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchaguzi wa Red Cross - Mtwara umegubikwa na utata na matumizi mabaya ya madaraka

    Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe 22/06/2026. Mwenyekiti wa Mkoa ambaye hata wanachama hawajui ni mkazi wa Mkoa gani anashirikiana na baadhi...
  14. JamiiForums Tanzania Mpina: Nusu ya Bajeti ya Serikali inaenda kutumika katika matumizi yasiyo ya uhalisia, matumizi mengine ni utapeli tu

    Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekosoa vikali muundo wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akidai kuwa kiasi kikubwa cha fedha za umma kinapotea kwenye matumizi yasiyo na uhalisia na ukopaji usio na tija. Akizungumza leo Juni 23, 2026...
  15. JamiiForums Tanzania Tuzifahamu imoji za reactions hapa Jukwaani na Matumizi yake,Sio unawekaweka tu imoji kindezi

    Haya hapa ni maana ya emoji zilizopo kwenye picha sc.jpeg, zikiwa zimepangwa mstari kwa mstari kuanzia kushoto kwenda kulia: Mstari wa Kwanza (Juu) 👍 Kidole gumba juu (Thumbs Up): Inamaanisha kukubali, kuafiki, au kuonyesha kuwa kitu ni sawa/kizuri. 👎 Kidole gumba chini (Thumbs Down)...
  16. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Je Misafara ya Viongozi inazingatia matumizi ya fedha za walipa kodi?

    Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
  17. JamiiForums Tanzania Kudhibiti matumizi sahihi ya barabara za mwendokasi, iundwe BRT Enforcement Agency

    Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya pesa za umma naziona kwenye sherehe/kilele ya Utumishi wa umma

    Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Matumizi na ulazima wa kuwa na EFD, je, hata vyangudoa wanayo na wanatoa risiti?

    Katika kuonyesha ukosefu wa ubunifu na uzwazwa, serikali imeleta sheria inayowataka watanzania kutoa risiti kwa kila malipo wanayopokea. Je, na akian dada na mama poa nao huwa wanazo EDFs na huwa wanatoa risiti? Je, serikali nayo inatoa risiti pale inapopokea fedha toka kwa wafadhili na...
  20. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Kuna matumizi mabaya ya madaraka katika Ofisi za Umma, Watumishi wanalalamika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado unakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutokuzingatiwa kikamilifu kwa sheria, kanuni, taratibu, miiko na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…