matukio ya utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    CHADEMA yalaani matukio ya utekaji na mauji yanayoendelea nchini, yalitaka jeshi la Polisi kuja na majibu ya kina

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia akiongea na waandishi wa habari leo Februari 21, 2026 amesema kama chama wanasikitishwa na hawataacha kukemea na matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini, akirejea tukio la hivi karibuni la mfanyabiashara wa Arusha, Banjoo...
  2. Carlos The Jackal

    Serikali ipambane na utekaji na uuaji nchini, Vijana wengi wazalendo wanajiunga na Vikundi vya Ukombozi

    Vijana hawana Kazi licha ya kua wana Elimu. Vijana wameshuhudia wenzao Walotekwa, kuuliwa . Vijana wanashuhudia Viongozi, WATOTO wao na familia zao kwa ujumla wakiendesha magari ya mabilion, wakifanya Anasa . Vijana wanashuhudia Utendaji wa JESHI LA POLISI . VIJANA WANA HASIRA . Nimekuja...
  3. DuaZaMama

    Ni aibu kubwa kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yalianza miaka 3 nyuma

    Ni aibu kubwa na unafiki Kwa kiongozi wa dini kusema matukio ya utekaji yameanza miaka mitatu nyuma, hii ni chuki ya udini.
  4. Bawabu wa pili

    Nigeria: Matukio ya utekaji bado ni mwiba kwa wananchi

    Afrika taabu sana aisee! Watu wenye silaha wamevamia Kijiji cha Chacho kilichopo jimbo la Sokoto, kaskazini magharibi mwa Nigeria, na kuwateka Wanawake 13, akiwemo mtoto mdogo.Utekaji huo ulitokea usiku wa Novemba 29, na umeongeza hofu miongoni mwa wakazi kutokana na ongezeko la matukio ya...
  5. Mafyangula

    PostGE2025 Engineer Charles Werema adaiwa kutekwa 12/11/2025, muda wa saa 7 mchana ofisini kwake Madale

    Tumepokea taarifa za kutekwa kwa mwenyekiti wetu wa tawi la Madale na mgombea udiwani wa kata ya Wazo 2020, Jimbo la Kawe Eng. Charles Werema._ Taarifa tulizopewa zinasema Eng. Werema ametekwa leo tarehe 12/11/2025, muda wa saa 7 mchana ofisini kwake Madale. Habari zinasema kuna watu walifika...
  6. Carlos The Jackal

    GE2025 Kuna Matukio ya Utekaji yanaendelea, Watekaji wanapitia Video Clips za Maandamano na kuwatafuta watu Mtaani. Vijana kuweni tayari kwa lolote!

    Sikio la Kufa halisikii Dawa !!. Hawa Wapumbavu wanadhani Mbinu zao zitawasaidia , Hawajui, hawajui kua mambo yamebadilika sana. Kwani Vijana ,situmekufa?? Situmeuliwa ?. Hata hili pia Muwe nalo tayari, Msigopeshwe, msirudi Nyuma!!. Njia tuloichagua ,ndio njia sahihi, Lazima tupambane...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Kenan Kihongosi: Gwajima anafanya upotoshaji na uchochezi

    Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amesema Askofu Josephat Gwajima anatumia dini kupotosha umma pamoja na kufanya uchochezi.
  8. DuaZaMama

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Yasikitishwa na Matukio ya Utekaji na Kupotea kwa Watu Nchini

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinasikitishwa na kuendelea kwa matukio ya utekaji na kupotea kwa watu nchini. Tukio la hivi karibuni la kutoweka kwa Ndugu Humphrey Polepole na mengine yanayofanana nalo yanaibua maswali mazito kuhusu usalama wa wananchi na uwajibikaji wa vyombo vya...
  9. R

    GE2025 Ole Sendeka: Rais Samia hata ukimuangalia usoni kwa moyo wa upendo alionao hawezi kuhusika na Utekaji, ni kiongozi mwenye upendo wa dhati kwa nchi

    Mwanasiasa mkongwe na Mbunge wa zamani wa Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amepinga vikali matukio ya utekaji yanayoripotiwa kutokea nchini, akiyataja kuwa ni vitendo vya hovyo na visivyokubalika katika taifa linalothamini haki na utu wa binadamu Akizungumza...
  10. Luca Paguro

    GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

    Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo...
  11. Just Pray

    GE2025 Huyu kijana amefanya kazi ya kitume kumpiga spana waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda kukalia kimya matukio ya utekaji

    Huu ujasiri wa huyu kijana ni wa kuigwa, anamchana waziri mkuu mstaafu kuhusu tabia ya kukaa kimya na kutokukemea matukio ya utekaji na watu kupotezwa na sasa wanaenda kutafuta kura kwa wananchi, wakitekwa wote wakaisha nani atawapigia kura?
  12. Mkalukungone Mwamba

    Polisi: Baadhi ya matukio ya utekaji ni kujiteka wenyewe na migogoro ya kifamilia

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu matukio ya utekaji na kupotea kwa watu ambayo yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika vituo vya polisi ambapo kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa kwa kina, imebainika kuwa si matukio yote yanayotokana na uhalifu wa kweli, bali mengine...
  13. R

    Mbatia amuuliza murilo: Kwa moyo wako, moral inner ssense hujui wanaoteka?

    Sikiliza kwa makini hoja ya Mbatia kuhusu polisi na utekaji NA MAJIBU YA mULILO https://www.youtube.com/watch?v=HFAXCAzPP7c
  14. Waufukweni

    Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  15. Just Pray

    Madeleka: IGP asiishie kupunguza matukio ya utekaji, akomeshe kabisa

    " Watu wanatekwa na juzi IGP ni shahidi nampongeza sana, kasema wamefanikiwa kupunguza utekaji, maana yake IGP anawajua wanaoteka ndiyo maana ameweza kuwadhibiti. Sasa mimi wito wangu kwa IGP, ili watu waweze kuwa na amani ya kweli, nampongeza kwa kupunguza matukio ya utekaji lakini watanzania...
  16. W

    Tujikumbushe: Magufuli alivyokemea matukio ya Utekaji nchini 2019

    Magufuli alisema Watanzania wanajua kuchambua mambo na lilipotokea tukio la kutekwa kwa Mo zilikuja habari nyingi kwamba waliohusika na utekaji ni Wazungu wa aina fulani lakini suala hilo lilipomalizika liliacha maswali mengi zaidi. Aliongeza kuwa walijaribu kulichoma moto gari lakini baadaye...
  17. Inside10

    Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali

    Jeshi la Polisi limetoa tamko kufuatia taarifa za watu kupotea, kutekwa au kukamatwa na wanaodaiwa kuwa askari. Polisi wamesema hufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuthibitisha ukweli wa tukio, na haiwezi kusemwa moja kwa moja mtu amepotea bila ushahidi. Kwa mujibu wa sheria, mtu hutambulika...
  18. W

    PreGE2025 Msanii Vitalis Maembe aja na wimbo mpya kuhusu matukio ya utekaji na watu wasiojulikana, asema hakuna kukaa kimya

    Wakuu Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama. === Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA'' na kuambatisha ujumbe...
  19. mshale21

    Askofu Mlawi alaani vikali Matukio ya Utekaji: Asema ni dalili ya kukosekana kwa Amani

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Musa Mlawi, ameibuka na kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kushuhudiwa nchini, akivitaja kuwa dalili ya kukosekana kwa amani. Ametoa wito huo jijini...
  20. B

    PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

    Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake. Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu...
Back
Top Bottom