matiko

  1. R

    Esther Matiko amuuliza mgombea Uspika swali la kizushi, adai hawezi kujibu

    Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko alipata nafasi ya kumuuliza swali Mgombea nafasi ya Uspika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Anitha Alfan Mgaya kutoka chama cha National League for Democracy (NLD) ataje aina ya makundi manne ya wabunge wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania lakini...
  2. JanguKamaJangu

    GE2025 Michael Kimbaki aliyekuwa Mbunge wa Tarime Mjini asema haungi mkono Ubunge kuwa na ukomo wa Miaka 10

    Michael Kimbaki, Mshindi wa Kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini, amekubali maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM yaliyompendekeza Ester Matiko kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo. Hata hivyo, Kimbaki amesema haungi mkono wazo la kuzuia Wabunge...
  3. SSH2025_2030

    Esther Matiko kutimkia CHAUMMA?

    Mheshimiwa Esther Matiko huenda akatimkia CHAUMMA kuunga mkono juhudi za Mgombea Urais wa Chama hicho Salum Mwalimu.
  4. J

    RC Paul Matiko: Uzalishaji wa Maziwa Mkoa wa Tabora umeongezeka kwa 200%

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa kuhudumia ng’ombe 889,183. Ananendelea kwa kusema Serikali pia imetoa pikipiki 44 kwa maafisa mifugo...
  5. Just Pray

    GE2025 Esther Matiko atinga mbele za wajumbe kuwashawishi wampitishe kuwa mgombea wa ubunge Tarime mjini

    Mtiania wa ubunge wa Tarime Mjini, Mkoa wa Mara, Esther Matiko akijitambulisha kwa wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Ijumaa, Agosti 1, 2025 kabla ya kura za maoni. Matiko amewahi kuwa mbunge wa Viti Maalumu na mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema. Kwa sasa anawania breathe hiyo mdani...
  6. R

    GE2025 Esther Bulaya na Esther Matiko wamepenya Mchujo wa kwanza Teuzi za CCM

    Waliokuwa wanachama wa CHADEMA na kisha kuhamia CCM Esther Bulaya na Esther ni miongoni mwa wagombea Ubunge kwenye mchujo wa kwanza Kupitia Chama cha Mapinduzi baada ya kutangazwa leo na CPA Amos Makalla Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi Esther Matiko ni miongoni mwa...
  7. Waufukweni

    Mbunge ambana Waziri Dabi ya Kariakoo Bungeni

    "...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
  8. G Sam

    Esther Matiko hivi ukiangalia hii video bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana bungeni?

    Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe sasa. Hii video watakuja kuiona wanao wakiwa watu wazima kisha wataangalia ulizungimza nini!
  9. Lady Whistledown

    Mbunge Esther Matiko apendekeza Gen-Z wa Kenya Wakamatwe

    "Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko...
  10. Escrowseal1

    Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Preamble : jamaa mmoja ughaibuni alikamatwa na polisi akisingiziwa na mkewe kuwa kampiga. Pamoja na kusingiziwa polisi na mwendesha mashtaka walihakikisha anapelekwa mahakamani japo hakuna ushahidi. Wakati aki deal na polisi kuhusu kesi walimwambia kuwa hata kama hakuna ushahidi ni lazima...
  11. Greatest Of All Time

    Esther Matiko ahoji tofauti ya mishahara kwa askari magereza na askari polisi licha ya kuwa wote wapo wizara moja

    "Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba...
  12. JanguKamaJangu

    Kina Halima Mdee na wenzake waangukia mikononi mwa mawakili wa CHADEMA

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa ruhusa ya Nusrati Hanje, Halima Mdee, Esther Matiko, Ester Bulaya, Jesca Kishoa na wenzao wawili kufika mahakamani na kuhojiwa na mawakili wa upande wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mawakili wa upande wa CHADEMA wakiongozwa na Wakili...
  13. Magazetini

    Esther Matiko: Wanaobaka wahasiwe

    Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko akichangia leo bungeni mjini Dodoma amesema kutokana na kuibuka kwa matukio mengi ya ukatili wa watoto anafikiria kuwa wanaobainika kufanya hivyo wahasiwe ili kuifanya jamii ya kitanzania kuwa salama. ======= Esther Matiko: Kumekuwa na matukio ya kikatili...
  14. Replica

    Esther Matiko: Umeme Tanzania ni Ghali sana, Kagera elfu 10 unapata unit 80 kutoka Uganda badala ya 28

    Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia 10,000 na kupata unit 80 ilihali kwa fedha hiyo Tanzania inanunua unit 28 pekee.
  15. Analogia Malenga

    Waliowasindikiza Esther Matiko na Bulaya bungeni wafutwa uanachama wa CHADEMA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) mkoa wa Mara kimewavua uongozi na kuwafuta uanachama wanachama wake nane akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Wilaya ya Tarime kwa kosa la kuwasindikiza waliokuwa viongozi na wanachama wa chama hicho Ester Bulaya na Esther Matiko bungeni...
  16. J

    Kila nikikumbuka CHADEMA walivyowapigania Halima, Bulaya na Matiko kuwatoa jela nauona Upinzani ni Ubatili mtupu!

    Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama. Lakini nilivutiwa zaidi na busara ya CHADEMA kwamba tuwatoe kwanza hawa akina mama wa Bawacha halafu Mbowe na wanaume wengine wafuate. Tena Mbowe akasema yeye...
  17. J

    CHADEMA mkoa wa Mara waunga mkono Esther Matiko na Esther Bulaya kuvuliwa uanachama

    Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko. Chanzo: Ayo tv Maendeleo hayana vyama!
  18. Replica

    Ester Matiko: Kama Chama kikiona kuna mwingine anafaa zaidi ya Ester Matiko, niko tayari

    Baada ya jana wabunge wa viti maalum kuapishwa, waandishi wa habari walifanikiwa kufanya mahojiano madogo na mbunge mmojawapo, Ester Matiko huku wengine wakigoma. Yafuatayo ni maswali kutoka kwa waandishi na majibu kutoka kwa Ester Matiko. MWANDISHI: Mmepata baraka za Chama? MATIKO: Nadhani...
  19. Miss Zomboko

    GE2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Wabunge Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameanza mchakato wa kusajiliwa Jijini Dodoma. Majina yao yamewasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA ORODHA YA WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA 2020: 1. Halima Mdee 2. Grace Tendega 3. Ester Matiko 4. Cecilia Pareso 5. Ester...
  20. D

    GE2020 Esther Matiko asuswa na viongozi wa CHADEMA wilaya na mkoa

    ESTHER MATIKO ASUSWA NA VIONGOZI CHADEMA MKOA NA WILAYA Ni Lucas Ngoto Mwenyekiti Mkoa, na Hamisi Nyanswi Mwenyekiti Wilaya. Sababu kubwa ni dharau, kiburi na malingo. Pia wanajiepusha na lawama ya kushindwa sababu hali yao ni tete. Kushindwa kwake kutekeleza ahadi zake kwawa mwiba mkubwa...
Back
Top Bottom