Wanawake wamekemea vitendo wanavyofanyiwa vya udhalilishwaji na baadhi ya watu wakiwatukana wanawake wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi.
Akiongea mgombea ubunge viti maalumu kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA),Tekra Johanes kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni.
Hii...
Kiukweli kampeni za mwaka huu zaweza kuwa fundisho kubwa sana kwa dunia, kwamba unaweza kudhibiti watu kwa kutumia polisi na wakakuangalia tu kama mabwege hivi lakini kumbe wamekutega mahali fulani ili unase, CCM kwisha habari yake
UBUNGE TARIME MJINI: NGICHO/WAITARA WAHAMISHIA NGUVU ZAO KWA GERALD MARTIN
Kura za maoni Jimbo la Tarime Mjini zilifanyika tarehe 21 Julai 2020 na Jackson Kangoye akafanikiwa kuongoza kwa idadi ya kura. Inafahamika kwamba Jackson Kangoye na Mwita Waitara walitengeneza muungano ili kusaidiana...
ANAANDIKA MHE. ESTHER MATIKO (MB) AKIFAFANUA KWENYE KUNDI LA WHATSAPP LA TARIME ISHI NA MIMI
Bora ucheke Mdogo wangu..!
Hii nchi ni ya ajabu sana...! Juzi niliandika hapa posho zetu kama Michango nikaweka ( Perdiem 120,000/= n sitting 220,000/=) jumla 340,000/=. Maana hatuingii bungeni tupo...
Hua napenda kuona wanawake waliofanikiwa wakipambana sio kwa kutumia maumbile yao au miili yao bali akili zao.
Tunaishi kwenye ulimwengu wa ajabu ambapo wanawake wengi hawataki kujishughulisha wala kushughulisha akili zao bali hutaka kushughjlisha miili yao ili wafanikiwe, hili sio kwa hao...
Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam leo Alhamisi Machi 7, 2019 inatarajiwa kutoa hukumu kwenye maombi ya rufaa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa (Mb) na Esther Matiko (Mb) wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia dhamana kwenye kesi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.