Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Shikamoo Baba yangu. Habari za uzima. Naamini Mungu ametuwezesha kuamka salama ili tuweze kuwatumikia wananchi wetu.
Baba yetu, Mzee wetu โ leo nimeona nikujuze tu kuhusu yanayoendelea kwenye mahakama za mwanzo.
Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Mahakimu wa mahakama za mwanzo...