Kukenán, also known as Matawi or Cuquenán, is a tepui in Bolívar State, Guayana Region, Venezuela. It has an estimated surface area of 2185 hectares (equivalent to 21.85 square kilometres). It is 2,680 metres (8,790 ft) high and about 3 km (1.9 mi) long. Kukenan Falls, which is 674 m (2,211 ft) high, is located at the south end of the tepui.Kukenán is located in Canaima National Park. Next to Kukenán, to the southeast, is Mount Roraima, a better known tepui. Kukenán is more difficult to climb, so it is ascended much less frequently than Mount Roraima.Canaima National Park is also home to the highest waterfall in the world, which is located in Auyán Tepui.Scenery on top of Kukenán provided inspiration for the 2009 film Up.
Imeamriwa kuwa watu wapewe jersey bure na pia kiingilio kiwe bure na au mchango mdogo. Tunashukuru sana Viongozi kwa upendo wao kwa wanayanga..
Soup tu ndo naona kama imecheleweshwa. Tungepata na supu chapati kwa wanayanga ingewatia moyo na mori wa kuelekea uwanjani. Naomba hili lifanyiwe kazi...
Three suitors one husband
Atino
Things fall apart
Hawa the bus drive
Mabala the farm
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe
Hayo yote hayawezi kukupa vitu hii
Roll royce
Aston martin
hapa ata uajiriwe mpaka unakupa huwezi pata vitu kama hivi
Bugatti
Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu.
Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa.
Kwa mujibu wa taarifa...
Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini?
Karibu gardeners
Katikati ya mji mita mia moja kutoka halmashauri ya manispaa ya Morogoro uelekeo wa kituo kikuu cha polisi ,kwenye daraja maarufu " daraja la shani".
Kuna miti ya mianzi ambayo imekuwa na faida ya kuzuia mmomonyoko wa ardhi mara mto unapofurika.
Lakini sasa matawi yake yamekuwa na kufanya eneo...
Kucheza mechi maana yake ni kumpa mganga hela aroge mechi timu yako ishinde. Watu walivyo kuwa na akili duni wanatoa kabisa hela zao yani.
Waache kuroga mechi wachezaji ambao Simba na Yanga zinawalipa mamilioni uende ukaroge wewe ambae hupati chochote kutoka timu hizo? Hiyo ni akili ama...
Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa.
Najiuliza
Watu wamehamia kwenye burudani...
Katika kuufunga mwaka 2024 kwa huduma bora, Benki ya CRDB imefungua matawi mapya mawili mkoani Mara yaliyopo Mugango katika Wilaya ya Musoma Vijijini na Sirari wilayani Tarime.
Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema uzinduzi wa matawi hayo ni sehemu ya jitihada za Benki...
Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja
Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi.
Mwamba mmoja miongoni mwao alifariki na hana ndugu huku.
Simba waliubeba msiba kama wao hakuna kitu...
Kwa maoni yangu hivi hapa ni vyama mamluki ambayo ni matawi ya CCM
ADA TADEA
CCK
NLD
Demokrasia Makini
NCCR- MAGEUZI
TLP
UPDP
SAU
UMD
NRA
ACT
CUF
Pamioja na Chama cha DP
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike zaidi.
sikumbuki vizuri kilichotokea lakini fastjet waliondoka akabaki air Tanzania peke yake kama...
Mitende ni miti mikubwa ya jenasi Phoenix katika familia Arecaceae. Matunda huitwa matende.
Mitende ni maarufu katika utamaduni wa Waisraeli na Waarabu. Yoh. 12:12-19 inataja matawi ya miti hiyo kwamba yalitumika kumshangilia Yesu alipoingia Yerusalemu kwa mara ya mwisho. Ndiyo sababu hadi leo...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE AITAKA DMI KUFUNGUA MATAWI YA CHUO MIKOANI
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameutaka uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kuhakikisha wanafungua matawi mikoani ili waweze kutoa fursa kwa Watanzania wengi kupata elimu hiyo.
Kihenzile ameyasema hayo...
Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa.
Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
Nimeshajionea mara kadhaa hasa hizi pisi za chini ya miaka 26 huwa wanajiona dunia ni yao na wa kupanga vigezo ni wao.
Kuwa approach mabinti wa umri huu wengi mkizinguana kidogo tu hawaoni shida ku break up, usipokuwa na gari ama vimali ni ngumu kumpata, n.k.
wafika 30 sasa ndio utaanza kuona...
Mwaka 1990 mwandishi Ralph Epperson alichapisha kitabu kinachoitwa “The New World Order.” Katika ukurasa wa 10 wa kitabu hicho kuna maandiko yanayosomeka:
“New World Order inajuimisha mabadiliko katika:
Ndoa za jinsia moja zitahalalishwa; wazazi hawatoruhusiwa kulea watoto wao (litakua jukumu...
Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma...
Huko Hai Kilimanjaro, Katibu wa CCM wilaya ametengeneza kituko cha mwaka ndani ya chama Tawala ccm kwa kuunda Kamati ya muda ya siasa ya ccm wilaya inayotokana na Makatibu wa matawi wa ccm ili kujadili wagombea wa ccm waliochukua fomu kugombea nafasi mbali mbali ndani ya chama.
Swali la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.