matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shabiki maarufu ‘Lumumba Vea’ akwama kusafiri kuiashangilia DRC kwa matatizo ya visa

    Shabiki wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Michel Kuka Mboladinga, anayejulikana sana kama Lumumba Vea, amewaambia wafuasi wake kuwa hataweza kusafiri kwenda Mexico kuiunga mkono timu ya taifa, baada ya kunyimwa viza. Shabiki huyo mwenye umri wa miaka 53 alijitokeza hadharani kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM tuna matatizo ya kupata mbadala

    Wakuu, Akizungumza leo kwenye tukio la kuaga mwili wa William Lukuvi Stephen Wasira alisema kwamba tatizo kubwa linaloikumbwa CCM ni kwamba haina viongozi mbadala "CCM tuna matatizo kweli ya kumpata mbadala. Kwa sababu kupata mbadala wa mtu ambaye ameandaliwa na ameongoza kwa miaka zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mtu yupo chuo kikuu lakini bado analalamika mitandaoni, sasa hiyo elimu inakusaidia nini kama huwezi kutatua matatizo kisomi

    Watanzania elimu ni tiba ya kutatua matatizo siyo kusoma tu kama unasoma gazeti. Inakuwaje mwanachuo ulalamike mitandaoni na upo na utawala hapo hapo ,na Kuna suggestion boxes kibao, na umesoma research writing huoni kama unakidhalilisha chuo? Andikeni maandiko, fanyeni mini research watu waone...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  5. JamiiForums Tanzania CCM wameanza kusuluhisha matatizo ya ndoa

    Hatimaye chama kikongwe, sikivu na kinachotatua matatizo ya wananchi kwa wakati, wameanza kutoa huduma ya kutatua matatizo ya ndoa. Kama mke wako anakunyima unyumba, mchumba wako anakunyanyasa, hujaolewa au umeachika, usikate tamaa....CCM watakusaidia tatizo lako ndani ya muda mfupi...
  6. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Katika miaka michache iliyopita kumekuwa na matatizo ya kuporomoka kwa maadili katika nchi yetu

    Wakuu, Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati Kardinali Pengo alikuwa ni mtu anayekumbusha umuhimu wa maadili
  7. JamiiForums Tanzania Watoto 10,000 huzaliwa na matatizo ya moyo Tanzania, gharama ya matibabu hadi Sh16 milioni

    Takribani watoto 10,000 huzaliw ana matatizo ya moyo Tanzania na kati yao watoto 4,000 huhitaji upasuaji wa haraka ili waweze kuishi na gharama a matibabu ya moyo ni kati ya Sh8 milioni hadi Sh16 milioni. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Meritech Ltd, Esther Christopher katika...
  8. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

    Habari wakuu ..! Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao. Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 The economist: Samia Suluhu Hassan ameisababishia matatizo makubwa Tanzania, toka nchi ipate uhuru

    Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru. The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War. Chini ya Samia kumeshuhudiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anauziwa kiwanja/ nyumba bondeni ambako hata bajaji haiingii. Ni matatizo ya akili?

    Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari . Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii. Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli? Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache shobo kwenye matatizo ya nchi za nje, sisi tukipatwa na shida tunapuuzwa kama takataka

    Kumekuwepo na machafuko na matatizo mengi sana hapa Afrika lakini nchi nyingi na hata vyombo vya habari vya kimataifa havitupi attention tunayostahili kwa scale ya matatizo tuliyonayo. Lakini waafrika tumekuwa na shobo sana kwa matatizo yanayotokea ncho za nje, Kinachoendelea Uganda muda huu...
  12. JamiiForums Tanzania Responded Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya, Watendaji wawajibike

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia yao ni mbaya ila anachukulia hiyo ni njia ya Utoaji wa taarifa ili ifanyiwe Prof. Mkenda ameyasema...
  13. JamiiForums Tanzania Rais ni mwanasiasa sio Mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya Rais ni kichocheo cha matatizo

    Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni mizania sawa ili kuwepo na uwajibikaji rais atumike na sio atumikiwe. Mfano uchaguzi wa oct 29 kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwambieni Robert Hariel Mtibeli kusema kwamba malezi mabovu ndiyo chanzo cha matatizo yetu na siyo CCM ni tusi kwa Watanzania

    Kiufupi,mwenye ID Robert Hariel Mtibeli kasema ni propaganda kusema kwamba matatizo tuliyonayo Tanzania hayatokani na CCM bali yanatokana na malezi na ukoloni mambo leo. Kusema kwake huko ni jaribio la wazi la kuitengenezea CCM kivuli cha kujificha kwa kukosa kuwajibika kwa wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania Nyerere hakutaka jambo lolote aliloanzisha libadilishwe, Rais aliyetaka kubadilisha alijiingiza kwenye matatizo makubwa

    Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere hakutaka kuona yakibadilishwa Raisi yeyote yule aliyemfuata na akajaribu kubadilisha basi alijikuta...
  16. JamiiForums Tanzania Kuifuta CCM sio kuondoa matatizo ya taifa hili. Hiyo ni propaganda yenye uongo Mkubwa

    KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa chama cha mapinduzi( CCM ). Huo ni uongo mkubwa. 2. Wengine wanausema uongo huo kwa makusudi wakijua...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ili Tuweze Kutatua Matatizo Yetu Kama Taifa, Tunatakiwa Kujenga Utamaduni wa Kusema Ukweli

    Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
  18. JamiiForums Tanzania Masheikh wanaokataza waumini wao Waislamu kusherehekea Christmas katika nchi kama Tanzania hawafikiri vyema na wana matatizo.

    Sikukuu ya Christmas mwaka huu imekuja na jambo la ajabu na la hovyo sana la masheikh wengi kuharamisha katika umma kupitia vyombo vya habari kwa ukubwa sana waumini wa Kiislamu kutoshiriki Christmas na Wakristo, hawa masheikh kwa vyovyote vile sidhani kama wanaelewa wanachokifanya na kwa hakika...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyojali matatizo ya wananchi wake, isitegemee kulipwa Uzalendo. Hiyo ni principle asili ya maisha

    Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini. OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
  20. JamiiForums Tanzania Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

    Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu tutamuamgalia katika upande mwingine. Kwakifupi mtu huyu ni overrated * Aliruhusu mfumo wa vyama vingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…