"aah wapi, hayo mapiza na mabaga wanayokula na mimi ninae kula matembele vyote vitaishia kuwa mavi tumboni"
"usione mtu amekuwa tajiri kiasi hicho wewe, watu wanalala na nyoka kitandani, wewe unaweza?"
"usione dar hii watu wengi hali ngumu, lile sanamu la askari pale posta ndilo linalonyonya...
Unapopanga jambo lako mfano haruc , birthday au sherehe yeyote ile tambua ya kwamba ratiba yako wewe sio sawa na ya mtu mwengine . Usichukie mtu kwasababu hajatokea kwenye jambo lako hauwezi jua ratiba yake / hali yake ikoje , punguza matarajio ya kwamba fulani atakuwepo
"Dira 2050 imeweka matarajio mahsusi pia: kuwa na sera, sheria na kanuni wezeshi zinazopunguza udhibiti uliokithiri na zinazochochea ukuaji wa biashara za ndani pamoja na kuvutia uwekezaji wa ndani na nje; kuwa na mfumo imara wa kidijitali unaoendeleza biashara zinazochipukia kupitia sera...
Tuwatathimini outputs zao katika utendaji wao! Je kuna tofauti na wanaume au wote ni hao hao BORA LIENDE
1. Samia Suluhu Hassan- Tanzania
2. Netumbo Nandi-Ndaitwah-current- Namibia,
3. Ellen Johnson Sirleaf -Liberia
4. Joyce Banda- Malawi
Kwa kweli hili jambo limewaumiza sana wafadhiri na mwandishi mwenyewe. Kimekuwa kama kitabu cha mchanganyiko wa stories za mtaani kuhusiana na Jambazi mmoja maarufu au mtu mmoja mashuhuri.
Ni mkusanyiko wa nliambiwa, nlisikia na watu wanasema. Hakuna ushahidi uliowekwa wazi. Najiuliza ina...
Wasalam. Wakuu naomba tuwekane sawa katika hili
Ukijaribu kuangalia utagundua kuwa kitu Kinachotuumiza si kile tunachokutana nacho Bali ni matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu
Ukiwa na matarajio makubwa na kitu Fulani ndo utaanza kutumia nguvu nyingi kuwekeza akili yako pesa yako na hata...
Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR na Lowassa kuhamia CHADEMA. Hawa walipohama walihama na wanachama wa CCM na viongozi wao na jamii...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa "kuna fursa" ya kukutana na viongozi wa Urusi na Ukraine, kufuatia kile alichokitaja kuwa "mazungumzo yenye tija" kati ya mjumbe wake na Vladimir Putin.
Alipoulizwa katika Ikulu ya White House ikiwa viongozi hao wawili wamekubaliana kuwa na mkutano kama...
Morning.
Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years .
By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma.
Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC.
Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu...
"Kila mwendo unaoulazimisha hubeba mizigo ya wengine, si ndoto yako. Epuka kuishi kwa kasi ya matarajio ya watu, ukasahau mwito wa dhamira ya akili yako." — Alloyce, P.R.
Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga jumla ya wodi 165 za kuhudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) katika hospitali mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha huduma za afya kwa watoto wachanga.
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa taarifa hiyo...
Ndugu zangu naandika huku natememeka, kulia nataka kucheka nataka yaani kiufupi sijielewi,
Nilikua nikisikia sana watu wakisema usiseme mipango yako, usiamini watu hata akiwa mzazi wako, watu wanatia nuksi, vijicho, husda kiukweli hiyo misamiati kwangu ilikua haipo kabisaaaaaaaa ila sasa...
Habarini,
Mda mwingine kwenye utongozaji, mwanaume unajitoa ufahamu unaamua kusaliti chama cha uwabata kwa muda. Unaamua kufata dating advice ya wadada wa humu jf, ya ukiwa na mwanamke unaemtaka mpe hela kabla hata hajakuomba 😁
Unamuona mdada, unasema ngoja huyu nimuoneshe upendo kwa kumpa...
1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC
2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM
3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI!
4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA...
Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili,
Utakapo pata nafasi ya kuingia kwenye ajira, Moja Kwa Moja na utakutana na watu uko kazini wakiwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu mpya wa Chadema atatangazwa mchana huu
Bado haijajulikana ni nani hasa, japo kuna Majina kadhaa yanatajwa.
Juhudi zangu za kulazimisha kuvujishiwa jina kwa manufaa ya JF zinaendelea, Nzi wangu akiweza tu kunusa basi haraka sana kwa chap...
Mkutano wa 19 wa Viongozi wa kundi la nchi 20 (G20) umefanyika nchini Brazil, ambapo Umoja wa Afrika umeshiriki kwa mara ya kwanza kama mwanachama rasmi, na kuwa shirika la pili la kikanda baada ya Umoja wa Ulaya. Katika miaka ya hivi karibuni, nguvu ya dunia ya kusini inayowakilishwa na nchi...
Kuna msukumo mkubwa wa Wazanzibari ukichagizwa na uislam kwa Rais Samia na Rais Mwinyi kutaka Serikali ya Zanzibar kujiunga na OIC ili vijana wa Zanzibar wapate ajira na ujenzi wa bandari kubwa kisiwani Unguja.
Hilo ni jambo jema kwa maendeleo kama yatapatikana kweli. Changamoto iliyopo ni...
UTANGULIZI
Kwa hakika, tasnia ya sanaa na burudani inakabiliwa na mabadiliko makubwa katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Mabadiliko haya yatachochewa na maendeleo katika teknolojia, mabadiliko ya kijamii, na mienendo ya kiuchumi. Hapa chini ni muhtasari wa mabadiliko hayo:
Teknolojia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.