matarajio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Theb

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "Stories of Change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu wa vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali imekua tofauti na matarajio yao. Mwanzo, nitaelezea maisha ya mtaani, changamoto zinazo wakabili...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Unaumizwa na matarajio yasipotimia? Jiulize maswali yafuatayo

    Hicho ulichokikosa kitakuwa na maana ndani ya miaka 10 ijayo? Kitu hicho kina umuhimu gani ukilinganisha na vitu vingine kwenye maisha yako? Ni funzo gani umepata kutokana na kuumizwa? Utagundua kuna vitu vingi vya kukupa furaha ukivitumia ipasavyo hivyo maisha ni lazima yaendelee...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Matarajio yanayoweza kupelekea ukapata Msongo wa mawazo

  4. J

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na matarajio makubwa kisha ukaumizwa?

    Matarajio yaliyokithiri juu ya jambo au mtu fulani huweza kupelekea msongo wa mawazo kwakuwa yasipotimia unaweza kuumia sana Hivyo usitegemee kupewa furaha na wengine, tafuta njia zako binafsi za kujifurahisha
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na hotuba ya matarajio kwa Watanzania

    RAIS Samia Suluhu Hassan, amezidi kuonyesha ni kiongozi mwanamageuzi, mtu bora na sahihi aliyeandaliwa kuwa kiongozi madhubuti kwa namna anavyowasilisha hotuba zake, ambazo zimekuwa zikivutiwa watu na kutoa mwelekeo thabiti wa Tanzania bora, ambayo inakwenda kufanikiwa chini yake. Hii...
  6. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Audio: Mahojiano yangu ya Radio Inland, Dunia yetu, Matarajio ya hotuba ya Rais kesho

    Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
  7. R

    JamiiForums Tanzania Matarajio ya watanzania kwa Mhe. Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni makubwa

    MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na uapishwaji wa Makamu wa Rais. Katika kuendelea kuhakikisha matarajio aliyonayo ameendelea kupanga...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na mwanamke/mwanaume mtandaoni akaku-prove wrong kinyume na matarajio kabla ya kuonana live?

    Baada ya kujikita kusoma sana nyuzi za watu na mimi leo naandika uzi wangu. Miaka mitano huko nyuma nilikuwa na tabia ya kutumia ukurasa wangu wa facebook kushare mambo yanayohusiana na utaalamu wa fani yangu, na watu wengi wakawa wanachangia maoni Siku moja nikapokea text messenger kutoka kwa...
Back
Top Bottom