matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Utajiri wa Stellenbosch(Johann Rupert) , Simba(MO Dewji) ni Timu ya Masikini , Huwezi shindana na Matajiri

    Nimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert. Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Matajiri na Watawala Huogopa Mabadiliko?

    Asalaam Aleykum wana JF, Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye hoja. Mara nyingi na kwenye jamii nyingi, matajiri na watawala huogopa mabadiliko kwa sababu yanatishia maslahi yao tofauti na wanyonge ambao wengi wao hawana cha kupoteza zaidi ya kupoteza umaskini na unyonge wao. Haya yaliwahi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hili ni pengo kati ya matajiri na masikini au ni mwanya?

    Huu mtaa wa loresho jijini Nairobi unaonesha kuna pengo kubwa kati ya masikini na matajiri au ni mwanya mkubwa?😁😁😁 Wakenya tunaomba mkija Tanzania kila mkitembea hatua 5 mpige saluti
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachungaji,maaskofu,manabii,mitume,nk wa Kiafrika ktk ukristo ni MATAJIRI na wafuasi wao wa Kiafrika ni MASKINI?

    au Mungu hawajui hao waumini bali wanajipendekeza kwa yesu hawajui hao waumini??
  5. JamiiForums Tanzania Mungu anahusikaje na watu kuwa masikini au matajiri kama invyosemwa kwenye dini?

    Kuna ukweli gani kwamba Mungu ndiye huwafanya baadhi ya watu kuwa matajiri mamilionea, mabilionea hadi matrilionea huku akiwafanya wengine kuwa masikini mafukara wa kutupwa, omba omba na homeless?! Wengine wanasema sijui hizo ndio kudra/kadara za Mnyazi Mungu, wengine wanasema sijui ndio baraka...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Siku makanisa yakijaa waumini matajiri na kuongozwa na nabii mmoja aliye masikini basi yesu atakuwa alikuwepo kweli!!

    Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi. Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
  7. JamiiForums Tanzania Car4Sale INAUZWA Landcruiser V8 inauzwa matajiri, karibuni sana

    LANDCRUISER V8 DJH YEAR 2011 UPGRADE TO 2016 ENGINE SIZE 4.5L ENGINE CODE 1VD-FTV DIESEL ENGINE✅ AUTOMATIC TRANSMISSION LEATHER SEATS✅ OPEN ROOF✅ NEW TYRES✅ PRICE 138M
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini waliofanikiwa au matajiri wanakwambia walipofikia ni hesabu magazijuto

    Katika mambo ambayo huwa sipendi na naelewa sana usiende kuomba msaada kwa nini yeye amefikia hapa. Ni wachache sana watakao kupa ufikie labda sio biashara zinazo fanana. Miaka ya nyuma sana kuna jamaa alikuwa anatuambia kwenda china lazima uwe na milioni 50 ila tulipokuja kugundua sababu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Contradiction, yaani Mungu anawaumba masikini ili matajiri watoe sadaka/wafuturishe ili Matajiri/wafuturishaji wapate thawabu kwa Mungu?

    Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu. Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi wa Matajiri tu. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya

    Matajiri tukutane hapa JF! Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa, mwekezaji, au mtu mwenye mafanikio kifedha, huu ndio uzi wako. Tupeane mawazo ya biashara, mbinu za uwekezaji, na kushare fursa mpya. 1. Unajishughulisha na nini? 2. Siri gani imekufanikisha? 3. Unatoa ushauri gani kwa wanaotaka...
  11. JamiiForums Tanzania Watu maskini wana marafiki wa kweli, huku matajiri wakiwa na marafiki wa uongo wanaopenda pesa na umaarufu pekee

    Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao. Kwa wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania Matajiri na wafanya biashara wakubwa ni maskini na ukitaka kujua kuwa ni maskini ingia kwenye hizo sehemu mbili

    Ushindani wa Tanzania ni kimaskini sana. Yani leo usije kusikia matajiri wanatoa pesa kukusanya mawazo ili ushinde pesa ambzao wazime wazo au kulichukua wazo. Wengi wamekuwa wakifitiniana ili kujilinda na umaskini wao japo mnawaona kuwa kama kichwa cha habari. Wengi wapo kupigana na wewe.
  13. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam matajiri wanapenda ibada kuliko wakristo waliofanikiwa kifedha?

    Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi. Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu

    Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu Hii matajiri hawawezi kukuambia Uzi umeisha
  16. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumeite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  17. JamiiForums Tanzania Wazazi hebu njooni tuongee:- Kwani mnashida gani na mali zenu kwa watoto wenu, Mbona watoto wenu tupo nao huku mtaani wanateseka na nyie ni matajiri?

    Twende Direct kwenye hoja/Topic. Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi... IKO HIVI ...... 1. SCENARIO 01 Tumuite John. John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini. John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
  18. JamiiForums Tanzania Mtumie mama yako pesa, acha kuwapa pesa matajiri wanaoitwa wachungaji, mitume na manabii

    Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee. Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50, laki , millioni ukimtumia anafurahi na ombi lake la sekunde 30 mbele za Mungu juu yako lina nguvu...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

    Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja", Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa 😂😂😂", Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Elon Musk alisema kwamba Donald Trump alikubali kuwa USAID inapaswa kufungwa

    Hili limeniumiza sana Elon Musk amesema kwamba Rais Donald Trump alikubali kuwa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufungwa, kufuatia siku kadhaa za uvumi kuhusu mustakabali wa shirika hilo baada ya ufadhili wake kusitishwa na wafanyakazi wake kadhaa kuwekwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…