Salaam wakuu.
Mimi ni kijana umri wangu 28 nipo Mtwara nahitaji mabosi wa kuwanunulia korosho ambazo kwa huku tunaita za kuoka ambazo kwa huku zinanunuliwa kwa Kg 1 Tsh 14000- 16000 malipo juu ya kazi tutaelewana .
Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu.
Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
Heshima yenu Wakuu
Niruke moja kwa moja kwenye mada
Humu kuna maCEO, MaHR, watu wana mabiashara yao makubwa wengine wana maconnection mbona hamtangazi hizo nafasi wadau tuingie mzigoni?
Mnaenda kutafuta wafanyakazi kwenye platforms nyingine za ovyo mnaacha kuchukua vijana machachari wa JF...
Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika.
Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300.
kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke!
Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie.
Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki...
Haijalishi una utajiri kiasi gani binafsi kama Mnigeria, sote kwa pamoja ni maskini. Maskini sana.
Hili unalielewa tu wakati wa dharura. Moto unazuka lakini hakuna huduma ya zimamoto. Ajali inatokea lakini hakuna huduma ya kwanza, hakuna gari la wagonjwa, hakuna mfumo.
Leo, bingwa wa ndondi wa...
Mvutano kati ya bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote dhidi ya Boss wa mamlaka ya usimamizi wa bidhaa za petrol Nigeria bwana Farouk ndio mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wiki hii.
Kwakifupi sana, Dangote anamshutumu Farouk kuhujumu sera za nchi ya Nigeria kukuza uzalishaji wa...
Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo...
Kama Enzo Ferrari akifufuka leo, atalia kilio cha mbwa. Ferrari ni maarufu kwa v12 ila sasa it’s officially, wanakuja full EV.
Jana, Ferrari wametangaza power terrain, battery na specs za EV yao ya kwanza wanayoiita “Ferrari Elettrica“!
Itakuja na jumla ya motors nne, mbili mbele na mbili...
Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya
Wanaongoza kutia huruma na kujiona wanateswa na kutendwa vibaya na kila mtu aliyeko mbele yao kwao ni mbaya
Wanaongoza kukesha kwa Waganga...
Kabla ya yote, kwanza pita katika Thread 'Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika' kisha ndo tukae kujadili title ya uzi huu hapo juu “Nikwanini Matajiri (Watu waliofanikiwa) Hudhani Masikini ni Wavivu?”
Si Nasibu na Omari pekee ndio wamekuwa wakwanza...
VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI
Kwa sasa bidhaa adhimu katika sekta ya teknolojia ni Akili Unde (AI) ambayo ukiitazama kwa umakini utaona kua dunia ijayo ni dunia itakayoendeshwa kwa Akili Unde karibu kila nyanja ya maisha ya binadamu. Hii ni fursa na ni changamoto mpya...
📊 TAFITI ZINAONESHA!
✅ 75% ni Wajasiriamali
✅ 15% ni Wawekezaji
✅ 7% ni Wanamichezo
✅ 3% ni Wasanii
❌ 0% ni Wafanyakazi wa Mshahara tu
👉 Kama unategemea mshahara tu, jiulize: je, uko kwenye njia sahihi ya kuelekea kwenye utajiri?
Ni wakati wa kuanza kuwekeza, kuanzisha biashara, au kuongeza...
MTOTO WA MO AKIJIANDA KUENDESHA MALI ZA FAMILIA ZILIZO TAFUTWA TANGU ENZI ZA MABABU ZAKE HUKU MIMI NIKIJIANDAA KURITHI JINA NA UKOO NA LAANA WANAZO NIPA NDUGU AMBAO SIWAPIGII SIMU.
Kitu kipekee Masikini anachorithi wazazi wakiwa hai ni Uchawi na Matatizo na wala sio mali
Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu?
My friends, ladies and gentleman,
Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
Bila shaka kibwagizo cha wimbo tuliipenda wenyewe, kinaendelea kujidhihirisha kwa kasi ya 5G.
Mungu atupatie uhai tushuhudie yatakayotokea nchini.
HIVI NINI MAANA YA STATE CAPTURE?
Ukweli ni kwamba Polepole ameanza kunikumbusha enzi za Nyerere katika misimamo yake na kuonyesha anasimamia sheria na taratbu na miiko na maadili (integrity) katika uongozi.
Sasa anazidi kujionyesha kuwa tofauti sana na genge la wahuni walioishika serikali na nchi kwa ujumla, na ni wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.