masuala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

    Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ). ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God...
  2. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe, yupo Ethiopia

    Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Bw. Joel Spicer pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kutoka Afrika; Mheshimiwa Joyce Banda Rais Mstaafu...
  3. Haya masuala mawili naomba jibu, Mwalimu kamaliza kazi yake, sisi tukoje?

    Mwalimu ndiye alianzisha mbio za Mwenge nchini, nia ikiwa kuenneza upendo na umoja kati ya Mwatanzania. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 1958 wakati akihutubia kikao cha 35 cha Umoja wa Mataifa na kuyarudia tarehe 22 Oktoba, 1959 wakati akihutubia Baraza la Kutunga Sheria la Tanganyika (LEGCO)...
  4. Haya masuala nayahusisha na ukosefu wa Utawala Bora

    Hivi karibuni, na hadi sasa, kuna mijadala ya kisiasa ambayo kimsingi chimbuko lake ni utawala bora. Baadhi ya mijadala ni pamoja na: [emoji830]︎ Madai ya Katiba mpya; [emoji830]︎ Utawala wa sheria; [emoji830]︎ Tozo; [emoji830]︎ Wasiojulikana; [emoji830]︎ Mashtaka ya kisiasa; [emoji830]︎...
  5. Wataalamu na masuala ya teknolojia naombeni msaada wenu

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...
  6. Rais wa Poland aionya Afrika dhidi ya jaribio jipya la ukoloni wa Urusi kupitia masuala ya Usalama na Nishati

    Rais wa Poland Andrzej Duda ameonya mataifa ya Afrika kuwa makini na kile alichokiita sera ya kifalme ya Urusi kutokana na kuongezeka kwa ushawishi wake katika masuala ya usalama na nishati Amedai kuwa Urusi ilikuwa ikitumia Kundi la Wagner (kampuni ya usalama ya kibinafsi) kama "chombo chake...
  7. Mjadala: Upinzani utaanzaje kujipanga kwa uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na hatimae uchaguzi mkuu wa uraisi wa 2025 ndani ya mazingira magumu?

    Lengo la mada hii ni kuona wale wapenda demokrasia na siasa za kweli wakijongea hapa na kushusha nondo na madini mbalimbali katika kufanya kitu chitwa "brain storming". Katika muktadha huo basi, tutaweza kuangalia sera za chama cha CCM ambacho ndicho chaongoza serikali ya Tanzania kwa sasa na...
  8. D

    Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

    Wakuu humu ndan nna swali langu. Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote...
  9. Idugunde nimekuwa very wise. Muda wote convern yangu ni juu ya mustakabali wa taifa langu. Masuala ya mpira wa Ulaya hata Bongo sifuatilii

    Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo. Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal. Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa...
  10. Wajuzi wa masuala ya ujenzi naombeni ushauri wenu

    Wakubwa shikamooni, madogo mambo vipi, poleni wote na makali ya tozo. Mimi ni kijana wa kiume miaka 30 makazi yangu kwa sasa yapo Iringa Twende moja kwa moja kwenye point., katika kuchanganyika vizuri na watu kuna jamaa kanisaidia kunipa msaada wa molds za kutengeneza maua na mikanda ya gypsum...
  11. C

    Kuwe na Uhuru wa Mahakama katika masuala ya Kidemokrasia

    Kama wote tutakuwa sawa chini ya sheria na hakuna hata mmoja atakayekuwa juu ya sheria hiyo ndiyo itakapokuwa nchi yenye misingi ya kisheria. Sheria inatakiwa imuhusishe kila mtu ndani yake ukiingiza na serikali ndani yake kwani serikali pia imebeba watu inaowatumikia katika kufanya kazi katika...
  12. 'PROPAGANDA' ni kitabu kizuri kwa wale wafuatiliji wa Masuala ya Siasa

    Kitabu hiki kinaitwa PROPAGANDA kiliandikwa 1928 na Edward Bernays Baba wa masuala ya Kijamii na Propaganda. Kwa kifupi propaganda ni Taarifa ya kiupendeleo au taarifa yenye lengo la kupotosha jamii juu ya jambo au mtu/watu fulani. Lengo kuu la mwandishi kwenye hiki kitabu lilikuwa ni kuelezea...
  13. Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

    Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo. Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza...
  14. N

    Watanzania uwezo wao ni kuzungumza watu sio masuala muhimu, tatizo ni nini?

    Ukifuatilia kwa makini mijadala ya vijana wengi kwenye majukwaa makubwa hasa siasa utagundua kuna kitu hakipo sawa ( something amiss ). Katika hali isiyo ya kawaida maoni mengi yamejikita sana kuzungumzia watu badala ya masuala muhimu yanayopaswa kuwekwa wazi. Tatizo hili limezaa machawa...
  15. Suluhisho la matatizo ya bandarini: Iundwe Wizara itakayodeal na masuala ya Bandari tu

    Nimewaza hapa na kujiuliza , je, ningekuwa kiongozi ningetatua vipi kadhia za Bandari ya Dar es Salaam na Bandari zingine kwa manufaa ya taifa? Suluhisho nambari moja ni kuunda wizara maalumu itakayodeal na masuala ya Bandari tu. Bandari ya Dar es Salaam pekee inaingiza fedha nyingi zaidi ya...
  16. M

    Hoja: Kwanini vijana wa Kiume ndio mstari wa mbele kwenye masuala ya kubeti?

    Thread was deleted
  17. Siasa za Tanzania kuzielewa ni vigumu sana hasa ktk masuala ya kitaalam

    Tunapozungumzia siasa, tunajumuisha mambo mengi sana. Kijamii, kiuchumi, utamaduni nk. Kwenye suala la uchumi yapo mambo mengine yanaweza kuleta athari kiafya. Kwa mfano wapo wanaosisitiza ufugaji wa kisasa kwa kutumia vyakula vyenye kemikali za ukuzaji. Au kilimo cha kutumia kemikali. Swali...
  18. Uongozi: Mambo ya Kibajeti na yasiyo ya kibajeti kiutendaji

    Habari za leo wana JF Naomba sana usome bila kuchoka tafadhari ni ombi. Naomba tushirikiane kwa elimu,kukumbushana na umuhimu wa hadidu za rejea kwa wenye dhamana za mamlaka za uteuzi au wateule wenyewe, na pia umuhimu wa mamlaka za uteuzi kuainisha na kuzingatia vigezo msingi katika uteuzi...
  19. Q

    John Mnyika: Mambo CHADEMA tuliyozungumza na wenzetu wa CCM

    Mkutano ule wa Mei 20,2022 ,ni mwanzo wa mazungumzo ya timu mbili. Upande wetu CHADEMA tuliwasilisha ajenda mbili ya kwanza ni kurejeshwa kwa mchakato wa katiba ya nchi yetu na ya pili ni kujadili madhara ya miaka sita iliyogubikwa na ukiukwaji wa haki Itakumbukwa Aprili 07, 2021 Mwenyekiti...
  20. Navutiwa kujiunga CHADEMA. Nahitaji kujua MSIMAMO wa CHAMA kuhusu Masuala muhimu yafuatayo.

    1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano? 4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…