maskini

Maskini is a union council of the Lower Dir District in the Khyber Pakhtunkhwa province of Pakistan.
Lower Dir District has 37 union councils with a population of 797,852, according to the 1998 census report. The population growth rate of the Lower Dir District was 3.42% per annum between the 1981 and 1998 censuses.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maskini Dk. Ummy Mwalim amemkosea nini Samia

    Alianza kumuondoa katika Baraza la mawaziri. Licha ya kushika nafasi ya kwaza katika kura za wajumbe pale Tanga mjini jina lake limekatwa huku Halmashauri Kuu ya CCM NEC
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

    Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia kwamba ukila dagaa au bamia wewe ni maskini inatoka wapi?

    Wakuu habari, Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi? Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa maskini na taifa matajiri wanapokuwa karibu sana na watawala

    Nimesthushwa sana humu jukwaani wanaoshabikia michango inayoitwa ya matajiri kukifadhili chama cha mapinduzi. Ukweli ni kwamba tajiri hata mara moja hata kwa bahati mbaya hajawahi kuwa na mapenzi mema kwa maskini Siku zote huwaza namna ya kumtumikisha na kumakuma huyu maskini hadi tone lake...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu unapata wapi ujasiri wa kuzaa mtoto wakati unajua wewe ni fukara, maskini choka mbaya, hohe-hahe?

    Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth. Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty. Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na watoto wake. Zote hizi ni kauli uchwara zinazoendelea kuongeza idadi ya maskini duniani hasa barani...
  6. JamiiForums Tanzania Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo

    Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo UMEELEWA EEH NGOJA TUZIKE KWANZA NTARUDI TENAAAAA
  7. JamiiForums Tanzania Kuna uzuri wa mwanamke ambao mwanaume maskini hafai kuutamani?

    Kwenye maisha ya sasa, kuna wanaume wanajishusha kutokana na hali zao za kifedha – wakiamini kwamba uzuri fulani wa wanawake hauwahusu, yaani zile pisi kali tuwaachie watu flani wenye kipato. Wengine wanasema: “Uzuri ni wa wale wenye uwezo wa kuutunza.” Swali: Kuna uzuri ambao mwanaume maskini...
  8. JamiiForums Tanzania Ogopa kuzoeana na machawa wa maaskofu na wachungaji na manabii utakufa maskini

    Polen sana weathirikaaa Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi Hawa wakishakujua wanataka kukutembelea nyumban wakifika wanarudi na aviola part two Washampanga...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Maskini vyombo vya habari katika mtanziko wote huu hata mijadala hakuna!!

    Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!! Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
  10. JamiiForums Tanzania Maskini hasaidiki, Nuhu mziwanda awatusi wanaman gang na kuwaambia yeye ni zaidi yao wasimbabaishe

    Maskini hasaidiki kwa kweli, yani huyu Nuhu mziwanda alivyokuwa ana jiliza dms za wasanii wenzake mfano Diamond, Alikiba, Marioo, Rayvan,Harmonize nk na wote kumfungia vioo ,Chino akajitokeza kumsaidia. Ila cha ajabu jamaa hata miezi mitatu hana ameshaanza kuwatusi aliowakuta Kwa hali hii...
  11. JamiiForums Tanzania Dar es salaam Vijana wengi ni Maskini!

    Dar es salaam Vijana wengi ni Maskini ila wanamiliki iPhone na wanajua kunyoa na kuvaa vizuri and that's what give them confidence.. If you visit here hangaika na kilichokuleta. Ukishaanza kupunguza tamaa za fashions unakuwa umekuwa sehemu moja muhimu sana. Tufanye kazi hawa viongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa ufupi ni kwamba maskini hana chake hapa Bongo.

    Maskini ajitahidi apeleke watoto wake VETA kama alivyosema PM Majaliwa. Huko kwenye siasa hawana chao, huko kwenye ajira tamu tamu hawana chao. Wameachiwa ajira zile za milango ya fahamu nadhani mnazijua.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umekutwa na nini? Je, taasisi kukopa kwa jina lake ndio inamaanisha hilo sio deni la taifa?

    Rais Samia anasema tunakoelekea kila SHIRIKA la Umma likope mikopo kwa jina lake ili deni lisionekane deni la Taifa namnukuu" Huko tunakoelekea kila shirika litakopa kwa jina lake ili deni lisionekane ni deni Taifa mf. Tpa, Trc nk." akamaliza kwa kusema " Hii ni kuipunguzia mzigo HAZINA" Mimi...
  14. JamiiForums Tanzania Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini kuliko iran,

    Uchambuzi Iran ni nchi maskini ila Tanzania ni nchi maskini zaidi kuliko iran, lakini iran ni nchi yenye jeshi imara lenye uwezo wa kutengeneza mabomu ikiwemo nuclear japo kwa sasa haina silaha hiyo kwa sasa hivyo inajeshi lenye uwezo wa juu kuliko Tanzania na afrika kwa ujumla. lakini iran ni...
  15. JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe aitaka Serikali kutoa Chakula bure kwa Wagonjwa na Wanafunzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni...
  16. JamiiForums Tanzania Geita mkoa uliojaza maskini wengi na kukosa maendeleo lakini ndio wenye dhahabu nyingi na kampuni kubwa ya uchimbaji

    Kama umefika geita na viunga vyake utajionea umaskini uliopo kuanzia miundo mbinu na wananchi wenyewe. Katika mkoa wenye migodi mingi mikubwa ni geita. Shida ya serikali yetu ya CCm tokea kupata uhuru hakuna lolote walilowezesha labda wananchi wajiwezeshe wenyewe. Yani mkoa una rasilimali za...
  17. JamiiForums Tanzania Kuruhusu Binti yako aolewe na kizee ni ishara umedharaulika na wewe ni Maskini wa Kutupa!

    KURUHUSU BINTI YAKO AOLEWE NA KIZEE NI ISHARA UMEDHARAULIKA NA WEWE NI MASKINI WA KUTUPA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unapoambiwa utafute pesa na nguvu, na kujenga Milki, himaya yako watu humaanisha kweli. Na hulenga Mambo mengi Sana Pesa sio ulinzi tuu kwako bali pia ni ulinzi kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ninamsikitikia Sheikh Ponda

    Sii kwa sababu kajiunga na ACT wazalendo, kinachonisikitisha kujiunga na chama cha siasa rasmi. Ijapokuwa ni haki yake lakini hivi ni wazi mashambulizi ya kisiasa dhidi yake yatakuwa dhahiri kama mwanachama rasmi wa siasa. Atafuata slogan za ACT rasmi Hana uwezo tena kujitambulisha kama...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeamini kweli usimuamini binti au mwanamke ambaye ametoka familia maskini kuwa naye kwenye mahusiano its typical Danger

    Tupo mikoa tofauti but Ninazo taarifa na ushahidi tayari kashachomoa mimba tatu za wanaume wengine, nina taarifa zake nyingi kuhusu yanayoendelea kwenye simu yake ila hajui kuwa najua maana kila info naziona vyema na voice call nazisikiliza vizuri tu, Nimejaribu kumfuata chuoni kwake kumhoji...
  20. JamiiForums Tanzania Maskini Wakichagua "viatu kuu-kuu" Mtaa wa Kongo - Kariakoo

    Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!! They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara! Mamlaka zina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…