masikio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hospitali ipi naweza kupimwa masikio?

    Wakuu, Shida ni hiyo maana nasumbuliwa na kizunguzungu mno, kila nikigoogle naambiwa Vertigo ambayo ni shida kwenye sikio maana sina balansi kabisa
  2. C

    Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye , hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  3. C

    Manara kumbuka masikio hayazidi kichwa, ona sasa unaula wachuya

    Kweli, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Msemo huu umemkuta Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya kumtokea puani maneno ya hovyo aliyowahi kuyasema siku kadhaa nyuma kuonesha kwamba yeye ni mwamba na hivyo hawezi kufanywa chochote na mtu yeyote ndipo ameamuamua kumuomba...
  4. P

    Ni ujinga kudhani kuwa ili watu watege masikio kwa Rais Samia ni kuviponda vitu alivyofanya Hayati Magufuli

    Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza. Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na...
  5. Hivi Urusi husubiri nini kuivamia jirani Finland ukizingatia kachokozwa na kuchokonolewa kwenye mapua na masikio

    Finland na Urusi wanachangia mpaka wenye urefu zaidi ya kilomita 1,300km Urusi amejiingiza kwenye vita dhidi ya Ukraine akiwa na nia ya kuonyesha makucha yake kwa majirani wote, na kuwaonya wasijiunge NATO na wala wasimsaidie Ukraine, ila huyo Finland amekua akikiuka hiyo amri kwa kumsaidia...
  6. Siwezi kuyaona masikio yangu nikijipiga selfie au Passport size, nifanye nini?

    Kuanzia mwezi wa March nimekuja kugundua nikijipiga picha masikio siyaoni kabisa, ni mpaka nigeukie kamera upande wa sikio, kiukweli napata stress. Baadhi ya watu wanasema nmenenepa ila ni mara chache na mimi huwa najiona kawaida tu, kama ni hivyo nawezaje kutatua hilo tatizo la masikio
  7. Upigaji wa GSM unafanyika kimyakimya Yanga, Wabongo wameamua kuziba masikio

    Kuna michongo inaendelea kimyakimya, ni kama vile Wabongo hawajui kinachoendelea lakini kiuhalisia wachache nao wanaojua wameona bora wakae kimya. Inakera lakini tutafanyaje, ndiyo tumeaachia Wabongo wapige kimyakimya. Huu mchongo wa kuuza jezi na bidhaa nyingine zenye nembo ya klabu...
  8. Tuhuma za Yanga, Simba kununua ubingwa, TFF, Bodi ya Ligi, mnaziba masikio

    Ukifuatilia mitandaoni kwa sasa watu wa soka kuna kelele fulani hivi zimekuwa zikiendelea kwa kasi, ilianza kimya kimya, lakini taratibu zinaenda zinashika kasi. Timu fulani kubebwa au timu hii inatengenezewa mazingira ya ubingwa ni maneno ambayo yanasikika sana mtaani na mitandaoni. Awali...
  9. C

    Sauti kutoka Butiama: Haya ni "kansa" kwa Taifa letu, Mkiziba masikio, tunagota!

    Habari wana JF, Tumeacha njia, tupo ukingoni. Nchi ipo pabaya sana, Kwa viashiria vyote! Hakuna mjadala, wala hakuna mwenye majibu. Si UMOJA wetu, wala.......Si UZALENDO wetu......., vyote vimetikiswa nyang'anyang'a. Kutoka hapa Mwitongo - Butiama, haya mambo ndio "KANSA" zinazolitafuna...
  10. Zuchu nimekusikia vizuri ama?

    Are u telling me what I think ur telling me? Kilaza mmoja ATA comment" Yani wewe mwanaume mzima unafuatilia watoto wa kike" ? Shaabash!!! mwanaume rijali naachaje kufuatilia watoto wa kike?
  11. Je Vijana wa CCM wamejifunza jambo au bado wameziba masikio??

    Hatimae kijana Jasiri, imara kweli kweli amehukumiwa 30yrs nyuma ya nondo, huu ni mzunguko wa kwanza, bado kuna mizunguko miwili nasikia.... Tumekua tukiwasihi hata kwa machozi, vijana wasidanganywe na kutumiwa kuficha maovu au hata kuyatenda! Sasa baada ya songombingo hii ya "From Hero to...
  12. Kuna wakati macho na masikio huwa yanatudanganya

    Kazi ya macho ni kuona, vile vile kazi ya masikio ni kusikia, Lakini sio kila tunachokiona au kukisikia kina ukweli ndani yake, Kuna wakati macho na masilio hutudanganya mfano: unaweza kuona samaki yupo mtoni kwenye kina kifupi cha maji kumbe yupo chini ktk kina kirefu tofauti kabisa na...
  13. J

    Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

    SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA. Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg...
  14. Tusiwazibe midomo wapotoshaji, bali tufunge masikio yetu na kuwapuuza

    "I might disapprove of what you say, but I will defend to the death your right to say it" Siafiki mengi yanayosemwa na wapotoshaji.., lakini sifurahii kuwaziba midomo so called wapotoshaji, sababu kama tukiwaziba midomo leo na kweli wamepotosha uzibaji midomo huo huo unaweza kutumika kesho...
  15. D

    Msaada: Tiba ya masikio kulia kama kengele

    Wakuu habari, Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi. Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
  16. Hii dhana ya kumzibua mtoto masikio ni kweli au maneno tu?

    Nawasalimuni kwa jina la JMT? Kama kichwa kinavyoeleza je ni kweli mtoto akizaliwa kuna kipindi wazazi wake wanatakiwa kukutana kimwili(kufanya ngono) ili kumzibua masikio? Kama hawajakutana je kuna madhara kwa mtoto? Kama ni kweli ni baada ya siku ngapi baada ya kujifungua? Kwa singomaza...
  17. Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  18. Depression inaniathiri, nakaribia kujiua

    Thread closed!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…