"Kura zingekuwa na maana, masikini asingeruhusiwa kupiga"
Ualimu hauna maana ndio sababu hakuna mtoto wa waziri ni Mwalimu, bodaboda au nesi muosha vidonda.
Benki Kuu yaani B.O.T na hazina kuna ulaji, ndio maana kumejaa watoto wa vigogo kule.
Unga LTD, Daraja Mbili, Mbagala na Tandika hakuna...