TAARIFA KWA UMMA
TRENI YA ABIRIA KUTOKA KIGOMA YAPATA AJALI TABORA
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linautaarifu umma kuwa Treni ya abiria namba Y14 yenye injini namba 9019, iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam, imepata ajali majira ya saa 5:00 asubuhi eneo la Malolo...
Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu.
Hakuna mtu anayekemea, viongozi wapo kimya tu. Kwanini haya mambo hayakemewi!?
Kuna mambo ambayo nakubaliana na hayati Magufuli khasa katika utekelezaji wa sera za CCM hususani dira ya maendeleo ya 2015-2025.
Hayati Magufuli alitaka kila mradi khasa ile miradi mikubwa ikamilike kabla ya 2020.
Moja ya miradi ambayo hata hivyo alitaka ikamilike mwaka huu ni ujenzi wa mji...
Leo juma3 ila mood yangu haiko sawa.
Takribani miezi 8 nyuma nilifahamiana na kadada kamoja kamodo kazuri keupe ila takoless nikarusha nyavu baada ya kama wiki kakajaa. Baada ya kufahamiana sana ndo nikajua kalisoma IFM na ni yupo tu amepanga anafukuzia kazi mjini hapa. Inshort alikuwa kama...
Brother Mako
Najua wewe ni mtu wa masihara na utani utani mwiiingi. Utani hoye!
Najua wewe ndivyo ulivyo toka long time kitambo.
Ila nataka nikueleze kitu, Kuwa makini sana na utani wako usifikie hatua ya kuharibu haiba na taswira ya taasisi ya Urais au rais mwenyewe!. Namaanisha ukimtaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.