Nchini Mozambique, mwanasiasa wa upinzani Venancio Mondlane amefunguliwa mashtaka matano ya jinai, likiwemo la uchochezi wa ugaidi, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi wa mwaka 2024. Mondlane, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa chama tawala cha FRELIMO, anadai kuwa anashtakiwa kwa sababu...