mashitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cassie amfungulia mashtaka Diddy yakiwemo madai ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia

    Cassie amefungua kesi ya dola milioni 30 dhidi ya Diddy akimtuhumu kwa ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Mwanadada huyo anasema muda mfupi baada ya kukutana na Diddy mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 19, alianza tabia ya kumdhibiti na kumnyanyasa ikiwa ni pamoja na kumlazimisha kutumia dawa...
  2. Trump akutwa na hatia kwenye mashitaka yaliyokuwa yakimkabili

    Republic wakimpitisha huyu kikongwe mhalifu kama mgombea wao wa Urais, watakuwa na kibarua kigumu kushinda. -- A judge has ruled that former United States President Donald Trump committed fraud for years while building the real estate empire that catapulted him to fame. Judge Arthur Engoron...
  3. Niger: Mohamed Bazoum, Rais aliyeondolewa madarakani kushitakiwa kwa Uhaini

    ========== Wanajeshi walionyakua mamlaka nchini Niger katika mapinduzi ya Julai 26 wamesema jana Jumapili jioni kwamba Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum anaweza kufunguliwa mashitaka kwa uhaini. Viongozi hao wa mapinduzi wamemfunga Bazoum na kuvunja serikali iliyochaguliwa, kitendo...
  4. S

    Dkt. Slaa adaiwa kubadilishiwa mashtaka kutoka ya uchochezi na kuwa ya uhaini

    Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter: Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI. Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv...
  5. Upigaji: Vigogo wa Shirika la Bima la Taifa wakabiliwa na mashitaka 365

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samuel Kamanga na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka 365 yakiwemo ya kughushi na kutakatisha fedha. Wakisomewa mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Kisutu...
  6. Lijue Baraza la Sanhedrin lililotengeneza mashitaka ya kumuua Yesu

    LIJUE BARAZA LA SANHEDRIN LILILOTENGENEZA MASHITAKA YA KUMUUA YESU Wote waliokuwepo katika Baraza wakasimama, wakampeleka Yesu kwa Pilato. 2 Wakafungua mashtaka yao kwa kusema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu. Yeye anawaambia watu wasi lipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni...
  7. FIFA kufungua mashitaka ya kinidhamu kwa timu ya Argentina

    Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua ubingwa wa kombe la Dunia mwezi uliopita. Mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez alionyesha...
  8. Australia: Mtoto wa Waziri Mkuu asomewa mashitaka 17 Mahakamani

    Ratu Meli Bainimarama, 36, ambaye ni Mtoto pekee wa Waziri Mkuu wa Fiji, Frank Bainimarama anakabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia alizofanya akiwa Nchini Australia. Ratu amefunguliwa mashitaka 17 ikiwa ni pamoja na kutukana, kushambulia, kukaba koo na kuharibu mali, matukio...
  9. TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

    Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
  10. TFF yamfungulia mashitaka Kocha Azam FC kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi

    Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi. Tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo itapangwa na Kamati ya Maadili ambayo tayari imeshapokea malalamiko hayo.
  11. TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

    Sekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya kamati ya maadili dhidi ya Ofisa wa Klabu ya Yanga Haji Manara, kutokana na vitendo vya ukiukwaji wa maadili. Manara alionekana akijibishana na kiongozi wa juu wa TFF ambaye ni Rais Wallace Karia, jana Julai 2,2022 wakati wa fainali la Kombe la...
  12. Mimi nachoweza kusema aliyeruhusu wanyamapori kuuzwa atenguliwe na afunguliwe mashitaka

    Hawa wanyamapori ni urithi wa Taifa letu. Hivyo ingekua vizuri walioruhusu kuwauza wanyamapori wachukuliwe hatua, watolewe kwenye hizo nafasi wawekwe watu wenye weledi na wanaotambua umuhimu wa wanyapori katika uchumi endelevu kwa taifa. Sii hivyo tu wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi endelevu...
  13. Tumaini Kweka asihusishwe na mashitaka kwa Sabaya

    Watu wanaoongoza kwa kumchukia Sabaya ni wale mabwanyenye wa Hai na wafuasi wao. Watu hao wengi walifurahia kufa Magufuli na ndio waliyomfitini Sabaya kwa Samia na yeye kuafiki kumtimua na kumtupa Sabaya lupango kwa kumpa kesi ya mchongo. Licha ya Mahakama ya Rufaa kumuona Sabaya hana hatia na...
  14. Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Global International School iliyopo Mtaa wa Vijana, Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chacha Magere (26), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kubaka, kuwalawiti na kuwashambulia kwa aibu baadhi ya wanafunzi wake anaowafundisha. Jumla amesomewa...
  15. ‘Panya Road’ wafikishwa Mahakamani, wasomewa mashitaka nane

    Kundi la watuhumiwa wa uhalifu ambao wengi wao ni vijana maarufu kwa jina la ''Panya Road'' wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha (mapanga). Mtuhumiwa wa kwanza Daud Abdallah, 22, Mkazi wa Tungini pamoja na...
  16. Kitabu cha lawama kwenda kwa Mwendazake Kifungwe sasa. Kiongozi yeyote atakayelaumu tena afunguliwe mashitaka

    Wana JF Kumekuwa na lundo la viongozi wakitoa lawama nyingi kuzielekeza kwa mwendambinguni ikiwa ni sehemu ya kukwepea majukumu waliopewa wakashindwa kuyatimiza kwa wakati. Kwa sasa kila kukicha tunapata lawama mpya , jambo baya sana tangu JPM aondoke duniani yapata mwaka na miezi, hawa jamaa...
  17. Waziri Mkuu: Mashitaka Yamekuwa Mengi, Tunaongeza Mahakama Zinazotembea

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ongezeko la mashitaka limekuwa kubwa na kuweka wazi kuwa hiyo inachangia Mahakama zilizopo kutokishi mahitaji ya kutoa huduma kwa wote wenye mahitaji, ndio maana Serikali imeweka mpango wa kuongeza Mahakama zinazotembea (mobile court). Ameyasema hayo wakati...
  18. Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

    Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili tofauti kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo Utakatishaji wa fedha na kuongoza genge la...
  19. Watoto wa Rais wa zamani wa Gabon (Omar Bongo) wafunguliwa mashitaka Ufaransa

    Watoto wanne wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo wamefunguliwa mashitaka Nchini Ufaransa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya mali za makampuni na rushwa. Watoto hao Grace, Betty, Arthur na Hermine Bongo, wote wakiwa na zaidi ya miaka 50 walifunguliwa mashitaka hayo...
  20. Wanasiasa wapiga madili na Mafisadi kama Abdala Bulembo wanaichafua CCM. Wafunguliwe mashitaka kwa kutafuna mali za umma.

    Chama cha mapinduzi kilikuwa na shule nyingi ma mali nyingi tu zilizokuwa chini ya jumuia ya wazazi. Abadala Bulembo na wakora wenzake ndani ya CCM wakazitafuna na kujaza matumbo yao. Leo hii anajinasibu kupiga kelele kuziba wanaopinga ufisadi bila aibu. Ina maana anataka kuaminisha watu kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…