Haya ni useless, rubbish, zero service to the people. Yanamilikiwa na watu binafsi. Yapo mengi ongeza
1. TMA
2. TTCL
3. IKULU
4.JWTZ
5. POLISI
6. INEC,
7. Takukuru,
8. ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
9. ccm
ONGEZA
Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema.
Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
Utendaji wa sasa wa wafanyakazi wa Tanesco katika kushughulikia dharura za umeme zinapotokea, kwa kweli zinatufurahisha wateja kwani ni za haraka na za ufanisi mno.Sijajaua nani aliyeleta mwamko huu katika shirika hili la umma amblo mwanzoni zilikuwa haziridhishi. Ila kama ni ujio wa mtendaji...
Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi.
Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
Nimesikia mashirika ya kimataifa yamegundua walioshtakiwa kwa uhaini kwa sababu za kudai mabadiliko kuna watoto pia.
Tulieema ni kesi za uongo wanachochea moto wakifikiri wanauzima na kutafuta vitisho kumbe wanatutia hasira.
Chazo cha mitandao kuzimwa nchi ni kuwa mashirika ya kutetea haki yameikandamiza serikali kuhusu uchaguzi usiohaki.
Kufika kesho mitandao yote iliobaki itazimwaaa kbs.
Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 12 asubuhi !! Hahaha aya huon muda mimi nitakuwa nimelala
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanahitaji mbinu bora za kuwafikia wadau, wafadhili, na jamii kwa ujumla. Moja ya fursa kubwa ambazo mara nyingi hazitumiki vya kutosha ni Google Ad Grant.
Google Ad Grant ni mpango wa Google unaotoa matangazo ya bure ya...
Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board
Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee
Sina nia mbaya...
Tunafahamu baada ya mahakama ya mauaji ya kimbari kumaliza shughuli zao Arusha tunafahamu kuna kitu kikubwa Arusha kilipungua yaani ile Multiplier effects iliyokuwa inatokana na mahakama iliondoka
Kama nchi kuna faida kubwa sana kuwa na ofisi za mashirika makubwa ya dunia kama nilivyosema hapo...
Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri.
Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
Burkina Faso imefuta leseni za mashirika manne ya misaada ya kiutu ya kigeni kuendesha shughuli zao nchini humo, na kusimamisha mashirika mengine mawili.Kwa mujibu wa amri ya serikali, iliyotiwa saini katikati ya mwezi Juni, inamnukuu waziri mmoja wa serikali akisema kuwa hatua dhidi ya...
Below are the best airlines in Africa in 2025:
Rank
Airline
1
Ethiopian Airlines
2
Air Mauritius
3
RwandAir
4
South African Airways
5
Egyptair
6
Royal Air Maroc
7
Kenya Airways
8
FlySafair
9
LIFT
10
Fastjet
Mko salama?
Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu.
Mashirika yenyewe ni haya.
1.Pssf
2.Nssf
3. Msd
4.wcf
5.Tanesco
6.Ewura
7.Latra
8.Tcaa
9.Tcra
10.heslb
11.CAG
Nyakati ambazo misaada kutoka nje inasua-sua na huenda ikazimika kabisa huko tuendako, kilichofanyika leo kinapaswa kupewa uzito zaidi na kutumika vizuri zaidi ili hatimaye kisaidie kama moja kati ya mbinu zitakazo tuwezesha kuondoa kabisa utegemezi wa kibajeti kwenye uchumi wa Taifa letu.
Ni...
Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.