Watanzania na mashindano ya shinda

INTROVERT MAN

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
993
1,336
Hatuendelei kwa sababu ya kutaka kila mtu apitie yale magumu wewe ambayo uliyapitia.

Inatokea mmekutana ndugu mfano wa tumbo moja basi mmoja ataanza kujieleza" we me nimepitia maisha magumu nyinyi sahivi mnakulia raha. " Baadae mwingine atasema Baba alikuwa mkali sahv nyinyi anawalegezea. Mwingine atajibu ohh mimj nimekulia shida mara ohhh nk nk. Sikatai sasa mnataka maisha yasiwe marahisi kadri muda unavokwenda??

Mnataka na sisi tuwashe moto kama babu zetu?

Mtu uko shule unasoma unaomba msaada wa pesa ya kujikimu toka kwa kaka ako anakutumia pesa inayolingana na pesa aliyopewa yeye kipindi kile baba yenu ana maisha magumu tena anakuambia dogo komaa ukicheki hali halisi ni kuwa ana uwezo wa kukupa pesa ya kutosha ila basi tu mashindano ya shida!!

Jamani watanzania shida zilikuwepo hatukatai.

Mtu anakunyima connection kisa na yeye alisota kitaa kabla hayatoka kitaa eti ndio akusaidie baada ya yeye kukuweka benchi muda mrefu usote. 🤣🤣

Hatuna tabia ya kushikana mkono kama wenzetu wa rangi nyingine ambao wanazidi kutoboa zaidi sisi tunakuwa hohehahe tu.

Na sisi tukipata maisha tunaanza kuwanyanyasa walio chini yetu eti nao wasote kama ikivyokuwa kwetu.
MASHINDANO YA SHIDA! 🤣🤣

Bongo nyoso sana.
Tukiendelea kutosaidiana na kuinuana basi umasikini utaendelea kuwepo milele na milele. Tutaendelea kuwasema oh wachaga na wanyakyusa wachawi kumbe wanabebana maisha yazidi kuwa rahisi daily.

Tatizo na sisi vijana utakuta kuna watu wana nia ya kutusaidia lakini hatusaidiki. Hatuna nidhamu wala mipango ya pesa. Mtu anakuja anasema una uwezo au wazo gani nikupe mtaji mtu unabakia unatoa macho tu huna hata plan. Inasikitisha kwa kweli.

MASHINDANO YA SHIDA ni kitu kibaya sana.
Kila mtu anatamani kama anapitia magumu yeye basi roho yake anataka ifurahi pia kusikia mwingine nae anapata shida. Shubamit!!! Ni roho ya kimasikini sana. Unakuta mtu mzima Baba Morgan anaanzisha uzi fulani wa kusimuliana shida eti kisa kusikia shida za mwingine ni raha kama zimezidi zako.

MASHINDANO YA SHIDA inajengwa na roho mbaya tu na wivu.
Ngozi nyeusi sisi wenyewe tunajididimiza tu eti oh wazungu wako juu kumbe wenzetu wana plan na kizazi chao mfano ukoo ujikite na uzalishaji au issues zipi.

Kuna koo fulani huko Iringa wanaitwa kina Ng'umbi. Wale watu ni wanabebana. Kama una akili ya masomo basi watakusomesha ndugu yao. Kama unataka kufanya biashara watakupa mitaji na watakushika popote ukianguka.

Hawataki Ng'umbi yoyote awe wa hasara ni kuchafua ukoo wao.

Nataka wajukuu wangu waishi maisha easy zaidi ya wanangu.

MASHINDANO YA SHIDA🚮🚮🚮
 
HII NDIO TANZANIA
 
Back
Top Bottom