mashiko

Mashiko (益子町, Mashiko-machi) is a town located in Tochigi Prefecture, Japan. As of 1 August 2020, the town had an estimated population of 21,841 in 7914 households, and a population density of 240 persons per km². The total area of the town is 89.40 square kilometres (34.52 sq mi). Mashiko is known for its pottery, called Mashiko ware (益子焼).

View More On Wikipedia.org
  1. kagoshima

    Aliyetoa hoja na waliokubaliana kuteka na kuua watanganyika kama njia ya kuwanyamazisha aambiwe imeshindwa na haina mashiko

    Kama kuna mtub huko serikalini aliye pendekeza kuwepo project ya kuteka na kuua watanganyika ili kuzima ukosoaji mwambieni project ime fail. Maana sasa output zake sio poa kabisa. 1. Inchi imechafuka kimataifa, 2. Ukosoaji unaongezeka, 3.Serikali inachukiwa na kuwa isolated na wananchi 4...
  2. Yoda

    Kuna mashiko wanawake wa kiislamu Waafrica kuvaa hijabu, niqab au burqa kama stara?

    Amrisho la dini la wanawake wote duniani kuvaa hijabu, niqab au burqa kwa minajili ya stara lina walakini mkubwa sana kwa sababu halizingatii muktadha wa maumbile na tamaduni za jamii tofauti za binadamu. Kwa Waafrika weusi kiasilia wanawake wengi wana miili mikubwa sana(mawowo) na wanaume...
  3. Nyankurungu2020

    Mbunge Musukuma uwe unatumia akili, sio kutaka sifa zisizo na mashiko. Wewe umesoma na una PhD

    Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria. Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract. Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba...
  4. ELI COHEN

    At least naonaga posts za wazungu huko X hata kama ni consipracy ila ina mashiko, ila humu mtu ana post vitu kuntu ukimchallenge kidg anaishia kukutus

    Ukiwa challenged haimanishi mtu amedharau tafakuri yako, lakini namna unavyo react ndivyo inavyo prove ukomavu wa fikra yako. FACTS NO FEELINGS
  5. Genius Man

    Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji ya raia 1000 na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania hayana mashiko

    Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe? Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
  6. sanalii

    Suluhu hana suluhisho, ubabe wake umefikia mwisho, jukwaani anatoa mipasho, hoja zake hazina mashiko.

    Yule fedhuli mwenye roho ya korosho, Mwenye hoja zisizo mashiko, Anadhani katiba ni hadithi za esopo, Kila mara hutoa boko, Kwasasa amekosa soko, Kila kona mi miwasho, Mikali zaidi ya ile ya uamsho, Ataipata ya joto, Kiti kitawaka moto. Wahuni wenye mikoko, Wanaotegemea pisto...
  7. Mama Ametufikia

    Hoja za Bawacha dhidi ya Polepoke zina mashiko sana

    Nimependa Sana hawa wanawake wa Chadema wapo na hoja nzito Sana. Pole pole aje atuambie aliyempiga risasi Lissu ni nani.
  8. DuaZaMama

    SI KWELI PreGE2025 LHRC yalaani kauli zisizo na mashiko za Maria Sarungi zenye mashiko ya uchochezi na uvunjifu wa amani

    Wakuu ===== Ni kweli LHRC imelaani kauli zisizo na mashiko za Maria Sarungi zenye mashiko ya uchochezi na uvunjifu wa amani? mwenye ukweli wa taarifa atupe ukweli.
  9. FYATU

    Wachambuzi mnaoshadadia Simba na Yanga nazo zicheze saa nane hoja zenu hazina mashiko.

    Kwamba ndio italeta usawa kwenye ligi,hapana nakataa. Yapo mengi tu ya kurekebisha yanayokiukwa kuleta usawa badala ya kulazimisha wenzenu wakaungua na jua eti huo ndio usawa.Huo usawa roho mbaya?. Mmekuwa kama chongo anayetamani Mwingine naye apoteze jicho ndio aone wapo sawa.Kama kucheza...
  10. Papillon 1906

    Huu msemo wa mjumbe auwawi hauna mashiko

    Mbona wajumbe wengi waliuliwa kikatili?
  11. Yoda

    PreGE2025 Watetezi wa utekaji, mauaji na watu kupotea jipangeni angalau kwa hoja zenye akili na mashiko

    Nikirejea utetezi wa matendo haya wa Jerry Muro kama mfano wa jumla wa watetezi na watu wanaoamini hivi vitendo kwa sasa vimewahi kuwepo huko nyuma pia, ni vya kawaida tu na sio vya kuchukuliwa kwa uzito na utofauti kwa sasa. Kwanza, hata kama vimewahi kuwepo huko nyuma ila watu hawakupiga...
  12. Braza Kede

    1 Timotheo 2:12 una maana gani? Je kwa leo hii bado mstari huu una mashiko?

    Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia. 1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent." Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
  13. K

    Tusome tujenge hoja zenye mashiko

    TUJISOMEE, TUJUWE MIFUMO ILI TUNAPOJENGA HOJA ZIWE NI HOJA ZENYE MASHIKO Ninakumbuka Tarehe 31/03/2025, Profesa Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana, Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania, Akiwa anaongea mbele ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alisema: Mwisho wa kunukuu. Tukisoma...
  14. Trainee

    NHIF wananyima watu haki za msingi kwa sababu zisizo na mashiko

    Naomba niaze na maswali chokozi haya yafuatayo kabla ya kwenda kwenye hoja yangu; 1. Hivi mtu anaweza akafoji mzazi, mtoto, mwenza, mkwe nk 2. Ikiwa ni kweli mtu anaweza akafoji hao watu, je kwenye mfuko wa bima ya afya kunakuwa na hasara gani? 3. Hivi mtu anaweza kusajiliwa mara mbili kwenye...
  15. ELI COHEN

    Tofauti na uzinzi na kujimwambafai, hakuna motivation yenye mashiko ya kuongeza mke zaidi ya mmoja

    Unakuta mwamba ana wake wawili watatu ila kila siku unakutana nae kwa wakina fatuma ndala ndefu na jesca utelezi. Polygamy haijawahi kua dawa ya kushinda uzinzi wa mwanaume. Polygamy ni mwendelezo wa old fashioned masculinity ya enzi na enzi, kwamba kidume naweza, kidume mimi ni mashine...
  16. Lord Denning

    Kwa namna hoja ya No Reform No Election ilivyo na mashiko, Tutarajie kuwaona vibaraka wote wakiji-expose

    Kati ya jambo ambalo Wapinzani wa nchi hii hawakuwahi kulijua huko nyuma ni kwamba sehemu pekee ya kushikilia kwenye nchi hii ili tupate mabadiliko ya kweli kwa maslahi mapana ya Taifa ni KATIBA MPYA. Uzoefu wangu katika kuwa mwanachama hai wa CCM kwa takriban Miaka 30 umenionesha vizuri sana...
  17. Damaso

    Majadiliano ya Dini yanayokuja Tanzania hayana mashiko.

    Majadiliano ya kidini baina ya wafuasi wa dini mbalimbali yamekuwa yakijadiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Wengine wanaamini kuwa haya majadiliano ni muhimu kwa kukuza uelewa, uvumilivu na amani kati ya watu wa dini tofauti. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa majadiliano haya yanaweza...
  18. T

    Hoja ya ratiba kubana haina mashiko! Basi hakuna haja ya kusajili wa

    Ebu tuingie Kwa undani Kuhusu malalamiko ya timu kulalamika kuwa ratiba inabana Kwa kucheza Michezo baada ya siku 3. Kila Timu inatakiwa KUSAJILI wachezaji 30. Wenye mpira Wao sio wapumbavu kwa kutaka kila Timu isajili hiyo idadi ya wachezaji. Inapotokea Timu KUSAJILI idadi ya wachezaji chini...
  19. Roving Journalist

    ACT: Wagombea wetu hawajateuliwa kwa sababu zisizo na mashiko, tunamtaka Waziri wa TAMISEMI awarejeshe

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kupokea taarifa zinazoonesha wagombea wetu mbalimbali Nchini hawajateuliwa kwa sababu zisizo na mashiko kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi. Mchakato huu wa kuwatengua wagombea unakwenda kinyume na misingi ya haki, uwazi na usawa wa kidemokrasia...
  20. matunduizi

    Kwanini naamini Iran Ilikirupuka kuishambulia Israel kwa sababu lemavu?

    Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni 1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael. 2: Kuuwawa kwa kiongozi wa Hesbullah huko Lebanoni. Ukiangalia sababu hizo zote hazina mashiko ukilinganisha sababu za mashambulizi...
Back
Top Bottom