mashetani

  1. Robert Heriel Mtibeli

    Mbungwa: Ngoma ya Mashetani na wenye mapepo. Kula Chuma hicho.

    MBUNGWA: NGOMA YA MASHETANI NA WENYE MAPEPO. KULA CHUMA HICHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Narudisha miaka yangu nyuma kidogo. Kumbukumbu zinanichukua na kunipeleka kwa kasi kisha zinapunguza mwendo kwa kasi, polepole naanza kuyaona matukio ya mwaka mpaka mwaka kuanzia miaka ya 1995 mpaka...
  2. R

    Katika vitabu vya dini, sijawahi kusikia shetani anabadilika na kuwa malaika, ila malaika wanabadilka na kuwa mashetani

    Haya ndiyo ya Polepole. Huyu alitesa sana watu wakati wa Magufuli. Leo anataka tuamini kuwa shetani amebadilika kuwa malaika, Awadanganywe wenzake CCM!
  3. Mkwawe

    Gregorian chants; Kiboko dhidi ya mashetani na sonona (depression)

    Wakati mmoja nilikuwa na-scroll reels za Facebook ikatokea clip moja ikionesha watawa wa kikatoliki wakiimba Kwa ala za kuvutia sana (angelic voices). Hiyo clip ilikuwa ikimuonesha msanii wa kimarekani Kai Cenat akishangaa jinsi zile sauti zilivyokuwa zinavutia hata Mimi zikanishangaza sana...
  4. The Burning Spear

    Sisi Mashetani hatutapiga kura, Tumewaachia Malaika

    GT Uchaguzi wa mwaka huu malaika ndo wanashiriki kwa kweli sisi mashetani tumemaua kukaa pembeni na kuwa watazamaji. Muda sahihi wa sisi mashetani ukifika tutapiga kura , Kwa sasa Malaika ndo atawaongoza malaika wadogo. Hatuwezi kushiriki uchaguzi huku nchi ikinuka damu za watu
  5. Mung Chris

    Dini za mashetani ni zipi na tabia za kishetani ni zipi

    Haya mawili huwa yana nichanganya kiasi. Mwenye uelewa anisaidie kujua dini za kishetani zinakuwaje na tabia za kishetani ni zipi.
  6. Dam55

    Kwenu viongozi wa dini: Kwanini mnaendelea kumkaribisha kwenye madhabahu takatifu na shughuli za kidini huku akiwadhihaki na kuwaita mashetani

    Mtaendelea kudhalilika hadi lini? Anathubutuje Kuwaiti watumishi wenzenu mashetani mbele ya madhabahu za Mungu? Msijione mko salama "aliye zoea kula nyama ya mtu hawezi kuacha ataendelea kuila" ipo siku atawageukia na ninyi atawaita vibwengo mbele ya patakatifu na mtalazimika kupiga makofi na...
  7. Determinantor

    Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

    Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM. Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki. Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au...
  8. Blaszczykowski

    Nina maswali mengi juu ya mashetani aliokuwa akipandisha mama yangu mzazi

    Hello wapendwa, kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza apo juu. kipindi nilivyokuwa mdogo miaka 7 niliona kwa macho yangu bi mkubwa akipandisha mashetani na kuongea lugha ambayo nilishindwa kuielewa (kiarabu) alieweza kuongea nae alikuwa mama mkubwa na yeye lazima apandishe mashetani ndio waweze...
  9. K

    Mashetani ndani ya miili ya binadamu

    MASHETANI HUVAA MIILI YAKAWA KAMA BINAADAMU HULA VIAPO NA KISHA HUISHI KINYUME NA VIAPO YAKIWA MAKALI KINYUME NA MAELEKEZO YA MWENYEZI MUNGU KUHUSU UTII NA UNYENYEKEVU HAYO NDIYO MASHETANI Nakumbuka Tarehe 01/06/2021 Dkt Josephat Mathias Gwajima Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Na...
  10. sanalii

    Picha za kipekee zikionesha muonekano wa mashetani, take a look.

    One is responsible for legalizing crime. The other is responsible for financing crime And the last demonic left guy is responsible for committing the crime against humanity and he has an ICC arrest warrant. Ladies and gentlemen, here is how demons looks like.
  11. ELI COHEN

    Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  12. OMOYOGWANE

    Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

    Eeeh wakuu mpo? Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au alichoeahi kukiona Majini ni nini? Majini kiroho ni viumbe hai wanaoweza kuishi ndani ya mwili wa...
  13. Pascal Mayalla

    Compare & Contrast kutekwa kwa Abdul Nondo Vs Mzee Kibao: Watekaji hawa ni Malaika, wale ni mashetani! Tuwashukuru kwa uhai wa Nondo au tuwalaani?

    Wanabodi, Toka kutekwa kwa Adul Nondo,kiukweli nikikumbuka ya Mzee Kibao,nikawa nasali kimya kimya yasitokee kama yale Leo baada ya kusikiliza mahojiano haya,https://youtu.be/KUV7rhRzJZY?si=Q9r--39T3ecHZSXX Ndio nimepata faraja na angalau kuweza kuandika kitu。 Kitu cha kwanza ni kuwashukuru...
  14. Bob Manson

    Mabinti wengi wanaacha shule kwa kisingizio cha kuandamwa na mapepo au mashetani

    Nimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari, wakiona shule imekuwa ngumu wanaanza kujifanya wanapandisha mapepo, ajabu mapepo hayo hupanda siku za shule tu wala sio weekend. Wazazi nao wanaamini kwamba watoto wao wana matatizo, watapeleka kwenye maombi lakini hawaponi, wanaamua heri...
  15. Brain Kingdom

    Wanawake zama hizi kucheza kwa kubinua na kutikisa makalio kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?

    Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress. Nawakariibisha kwa majibu, maoni na mtizamo kuhusu wanawake kubinua na kutikisa makalio hovyo kila pahala, hususani kwenye sherehe, matamasha, kupost video mitandaoni na...
  16. Morning_star

    Siku hizi mashetani na wachawi ndiyo wanaohubiri injili. Injili yao ni kavu haina mvuto

    Zamani ukienda sehemu za injili ya Kristo iletayo wokovu ilipokuwa inahubiriwa palikuwa na mvuto na upako kiasi kwamba ulikuwa unataka uendelee kusikiliza. Shida ilikuwa ni pale walipokuwa wanaita wale waliotayari kuokoka waje mbele ndo vita inaanza ya kukuzuia. Wale waliokuwa wanaishinda ndo...
  17. ndege JOHN

    Wanawake wengi siku hizi ni mashetani

    Mimi nikiri nimewahi kuwa mtuamiaji wa mitandao ya kijamii kama Facebook, live sex broadcasting kama stripchart, telegram n.k aisee niseme wanawake Kwa jinsi wanavyokuja speed kwenye kujidhalilisha hii ni hatari Sana. Yaani wanajitia usugu Balaa Kwa kutumia MA lovense na madidlo mpaka sio poa...
  18. Trainee

    Nyimbo za kwenye vitabu vya siku hizi mbona hatujui zinaimbwaje

    Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana. Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
  19. matunduizi

    Maombi yanayojibiwa na mashetani

    Sio kila unachokiomba, Sio kila kanisa linachokiomba Mungu ndio huwa anajibu. Mengine yanayokiuka kanuni za maombi hujibiwa na mashetani. Mfano: Ile tabia ya kuombea watu wafe, wapigwe visukari,presha, wafirisike, wateseke, wasambaratike na kudhaliliika hata kama wamekukosea vipi, maombi haya...
  20. F

    Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa Majini, je ni mkweli ama ni muongo?

    Habari wadau. Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa majini. Je, ni mkweli ama muongo? https://m.youtube.com/watch?v=jPi5CicFiyk
Back
Top Bottom