mashehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Nawapongeza mashehe na waislam (sio BAKWATA) Kwa kupinga upuuzi wa Ramadan Cup

    Mashehe wenye ilimu na Imani ya kweli wasio wanafiki walitoka hadharani kupinga upuuzi wa Ramadan Cup Mashehe hao waliona sio sawa matukio ya kiheshima kama mwezi mtukufu kuwa kama platform ya kisiasa, Haya ndo mambo sisi wakatoliki tunapenda na hakika msimamo huu wa mashehe unaenda kurudisha...
  2. The Father of All

    Nitaandamana 'milele' kuipinga TEC na kuunga mkono mashehe

    Jina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi. Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud aliyejiita Martin, Yahya aliyejiita Yohana na wengine wengi. Kama 'wakatoliki' tuliandamana kupinga namna...
  3. wa stendi

    Kumbe hata "mashehe' wako kwenye biblia

    Nehemia 4:14 Nikatazama, nikaondoka, nikawaambia wakuu, na mashehe, na watu wengine waliobaki, Msiwaogope; mkumbukeni Bwana, aliye mkuu mwenye kuogofya, mkawapiganie ndugu zenu, na wana wenu, na binti zenu, na wake zenu, na nyumba zenu.
  4. jiwe angavu

    Ni wakati muafaka Mashehe kuwajibu Nchi wa Hisani

    Baada ya matamko ya nchi wahisahi kuhusiana na matukio ya liyotokea kabla na baada ya uchaguzi(feki) uliofanyika Tanzania. Kama ilivyo ada mashehe wetu wasiwasite kutoka na kuitetea Serikali kama wa fanyavyo dhidi ya Matamko ya TEC. Kwa kutoa matamko makali dhidi ya hawa mabeberu wanayoiandama...
  5. mirindimo

    PostGE2025 Masheikh mko wapi? Kuna tamko la nchi za Ulaya, inatakiwa mkawajibu

    Balozi 17 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa Pia soma > PostGE2025 - Balozi 17 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa
  6. technically

    Waandishi acheni kuwapa airtime Mashekhe ni wazi wananunuliwa

    Mange Kimambi anampiga Rais haramu, je Mange Ni TEC? Ally Kibao aliuawa kihuni, je alikuwa TEC Nifa kakaa mahabusu mwezi, je alikuwa TEC? Shehe ponda kaongea, je yeye ni TEC? Zitto Kabwe kaibiwa uchaguzi halafu kawekwa ndani siku 6, yeye ni TEC? Waliokamatwa na makesi ya uhaini kwenye...
  7. H

    Maneno yanayotamkwa na mashehe yanahamasisha machafuko nchini lakini hawachukuliwi hatua kwasababu tu wanawatetea CCM

    Kama Taifa tumefikia hatua mbaya ni Kama vile hatuna kiongozi kwa huyo kila mtu anajikuta kambale wanaongea chochote wanachojisikia. Hawa wanajiita waadhiri wa kiislamu kwa kweli kauli walizotoa si za kiungwana zinahamasisha machafuko ya kidini na mgawanyo wa kijamii lakini hakuna hatua...
  8. The Father of All

    PostGE2025 Kwanini mashehe wengi wamekubali kugeuzwa machawa na waimba pambio?

    Kuna kitu kinanishangaza. Natamani nijue sababu. Tangu aingie bi mkubwa, mashehe wengi wamejitokeza kuwa machawa na waimba kwaya kama wasanii walio wengi. Je, tatizo ni njaa au uhaba wa maarifa? Je, ni kwa vile rais ni mwenzao? Je, huu siyo udini wa wazi kabisa? Ina maana mashehe huwa...
  9. SSH2025_2030

    Tume ya Maridhiano isikose Mashehe!

    Mashehe wasikose kwenye hiyo tume maana Taifa linahitaji uzoefu, utaalamu na Hikma yao. Asanteni
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    Kijana wa Kiislamu Amlipua Rais Samia na Mashehe Ubwaba

    Sikiliza mazungumzo ya dakika 18 makini za Muislamu wakweli https://youtu.be/-lGWIQBFbc0?si=L0igqkSoczC5wpR2
  11. U

    Kwanini baadhi ya wakristo huacha kuombewa na wachungaji na kwenda kwa kuombewa dua kwa Mashehe na wanafanikiwa kuondoa shida zao?

    Ni utafiti usiopingika sababu ni nini hasa? Uhaba kiimani au matokeo ya haraka?
  12. K

    Mwamposa na Mashehe sijui wanasemaje kuhusu mama?

    Naona ili anguko linaenda kuwaangukia watu, maombi ya Mwamposa hayakufanya kazi? Wako wapi mashehe watoa mapovu? Je kanisa nalo limefanya vitu vyake?
  13. ngara23

    Taasisi za kiislamu tokeni hadharani mkemee kauli tata za mashehe

    Hapa naziita taasisi zote za kiislamu kuanzia Bakwata, Sunni jamaat,shia n.k Uislamu ni dini iliyojipambanua kama dininya haki na misimamo ya haki, kujali utu na heshima Kwa watu wote Kumekuwepo mashehe wanaotoa matamko tata kuhusu masuala ya utawala Bora hapa nchi Mfano Leo shehe Mawinda...
  14. J

    Shekhe Mziwanda, na Shekhe Jongo, wanakosea kumuombea mabaya Tundu Lissu, huku wakisahau jinsi Lissu alivyotetea Mashehe wa Uamsho, na Answar Sunna

    Huu ni ushahidi ufike kwa Shekhe Mziwanda, na Shekhe Jongo. Msikilizeni Tundu Lissu akitetea Mashekhe wa Uamsho, na Answar Sunna. Je, ni uungwana Mziwanda, Jongo, na Mwaipopo, kumshambulia Tundu Lissu? https://www.youtube.com/watch?v=WcWTRjKreWc https://www.youtube.com/watch?v=0WazpC_VdZE
  15. MKATA KIU

    Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Habari wadau. Binafsi naishi karibu na imamu wa msikiti mmoja mkubwa tu Temeke. hali yake ya maisha inasikitisha . Nyumba anayoishi na hali yake kiuchumi haiendani na huduma yake anayoitoa msikitini. Waislamu msiwasahau viongozi wenu wa dini. Wakristo wanapojenga kanisa huwa wanajenga na...
  16. G

    Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

    Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo. Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa, ni kweli makanisa...
  17. Execute

    Matukio ya kulipua mabomu kule Arusha yaliisha baada ya hawa mashehe wanaohukumiwa sasa kukamatwa

    Naipongeza mahakama kwa kuwatia hatiani hawa wapuuzi walioua na kujeruhi wengine kwasababu ya itikadi za kipumbavu. Mtu yeyote atakayefundisha kama yule marehemu ilunga anapaswa kushughulikiwa mapema kabla hayajatokea maafa kama yale ya arusha na zanzibar.
  18. matunduizi

    Kama haufanyi hivi Biblia bado haikusaidii kiroho kushinda wachawi na majini.

    Kuna makosa mengi watu wanafanya. 1: Kutumia kitabu cha biblia kama ulinzi dhidi ya wachawi au majini ni kuifanya kama irizi. 2: Kukariri mafungu alafu uyatumie kutetea dini, kubishania au kuonyeshq umwamba wako wa kukariri haisaidii. UFANYE NINI SASA Soma biblia, weka kwenye kumbukumbu...
  19. Nkobe

    Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
  20. Kiranja Mkuu

    Tunaonywea pombe nyumbani kwasababu mbalimbali ikiwèmo kuficha tabia yetu ya ulevi tuonane hapa

    Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali. Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia...
Back
Top Bottom