mashariki ya kati

Mashariki ya Kati
Mashariki ya Kati ni eneo la kijiografia linalojumuisha nchi kama Saudi Arabia, Iran, Iraq, Israel, Jordan, Syria, Lebanon, United Arab Emirates, Qatar na nyinginezo
  1. R

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo vilivyotokea Mashariki ya Kati Vita vya Israel na Marekani dhidi ya Iran

    Mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran yaliyoaanza Februari 28, 2026 yaliyomuondoa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Alli Khamenei yanaendelea hadi sasa huku vifo na majeruhi vikiongezeka katika maeneo tofauti Mashariki ya Kati Shirika la Habari la kimataifa la Al Jazeera imetoa idadi...
  2. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Suala la Iran limeshakuwa gumu? Trump anadai kuna nchi hazina shauku ya kuisadia Marekani

    Suala Iran linaonekana limeanza kuwa gumu kwa Marekani, Trump leo ametema Nyongo na kuzishutumu baadhi ya nchi kutokuwa na shauku za kuisaidia Marekani kutatua changamoto ya mfereji wa Hormuz, licha ya kuwa nchi hizo zilikuwa zinaitegemea Marekani kiulinzi kwa zaidi ya miaka 40. Trump anadai...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yatupa makombora 10 ya "Ballistic" kujipima uwezo wakati huu wa vita ya Mashariki ya Kati

    Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters. Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yanayawakuta waarabu wa mashariki ya kati ni kutokana na haya

    Al-Ma'idah (5:51). Aya (tafsiri ya Kiswahili): “Enyi mlioamini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa walinzi (au washirika wa karibu wa ulinzi); wao ni walinzi wao kwa wao. Na yeyote miongoni mwenu atakayewafanya kuwa walinzi wake basi huyo ni miongoni mwao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu...
  5. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Ipi nafasi ya Rais Samia katika kumaliza mgogoro wa Mashariki ya Kati?

    Inasemekana mama Samia, akiamua hashindwi na lolote aamualo akilivalia njuga. Sasa unadhani ananafasi gani ya kutuliza mgogoro wa pale mashari ya kati, maana tunaambiwa yeye si haba katika kuamua masuala kama haya. Nawaalika wachambuzi vijana na machachari wa masuala ya siasa. Watakuwepo...
  6. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Baadaya kukataa kambi zake zisitumike kuishambulia Iran, Trump amejibu kwa kusitisha shughuli zote za Kibiashara na Uhispania

    Leo tarehe 3 Machi, 2026, wakati ulimwengu unatikiswa na vita inayoyoelendela mashariki ya kati, kwa upande wa Ulaya na washirika wa NATO wamejikuta na mtikisiko mwengine, hii ni baada ya uamuzi mzito kutoka Ikulu ya Marekani (White House). Rais Donald Trump ametangaza rasmi kusitisha mahusiano...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania walioko Mashariki ya Kati wahimizwa na Mamlaka kuchukua tahadhari na kufuata maelekezo husika

    TAARIFA KWA UMMA USHAURI WA HALI YA USALAMA NA USAFIRI KWA RAIA WA TANZANIA WANAOISHI AU KUSAFIRI MASHARIKI YA KΑΤΙ Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafuatilia kwa karibu hali ya usalama inayoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati. Kutokana na mazingira ya kiusalama yanayoendelea...
  8. Fascinating

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Hali ya Usalama Mashariki ya Kati na Mwongozo kwa Watanzania

    Wakuu, Nimeona ni vyema tushirikishane taarifa muhimu iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (ya tarehe 02 Februari 2026) kuhusu usalama wa ndugu zetu waliopo au wanaopanga kusafiri kuelekea nchi za Mashariki ya Kati. Kutokana na hali ya usalama inayoendelea...
  9. Nguruvi3

    JamiiForums Tanzania Vita Mashariki ya Kati. US-Israel-Washirika dhidi ya Waajemi (Iran)

    Mashariki ya Kati yawaka moto Tulijadili suala la vita mashariki katika nyuzi tofauti. Kwa umuhimu wa tukio linaloendelea uzi huu utajadili kwa kina nini kimetokea, kinatokea na kitakachotokea siku za usoni Upo upotoshaji katika mitandao ya kijamii kwa makusudi au kutoelewa au kuelewa nusu...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Dini ndio chanzo cha unafiki Mashariki ya kati?

    There is something wrong somewhere! Watu wengi huangalia juu juu tuu. Shida kubwa duniani ni UNAFKI. Haswa unaotokana na imani. Imani ni kama kutu, inakula tuu! Kuna vitu vilipaswa kuisha. Kama fujo za Palestine na Israel. Lakini, dini na watu wa dini ndio fujo.. Palestine ISSUE" Fatah ndio...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania WanaJF tafadhali nipeni muda nikusanye facts kabla sijatoa msimamo wangu kwa kinachoendelea mashariki ya kati

    PM imejaa messages kuniomba nitoe msimamo wangu kuhusu hii vita ya Iran, USA na Israel. Hii ni kwa sababu mara nyingi msimamo wangu ndo huwa msimamo wa JF. WanaJF mko sahihi kabisa kuja kwa wingi PM kunisihi niseme kitu. Nipeni muda nikusanye facts za kutosha kabla sijatoa TAMKO.
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto alaani mashambulizi yanayoendelea Mashariki ya Kati adai ni tishio kwa amani na usalama Kimataifa

    Rais wa Kenya, William Ruto, amesema Kenya inalaani vikali mashambulizi yaliyofanyika dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Qatar, Saudi Arabia, Iraq, Oman, Kuwait, Jordan na Bahrain katika mzozo unaoendelea kuongezeka Mashariki ya Kati. Amesema ni wazi kuwa kuenea kwa mzozo huo katika...
  13. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Marekani ipo harakati ya kuitengeneza Libya Nyengine Mashariki ya Kati.

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni Operation ya Marekani dhidi ya Iran katika harakati za kuondosha serikali inayoita ya Mkono wa Chuma,ambapo kwa taarifa imesema kuwa imefanikiwa pakubwa kwa wauwa viongozi wa juu(Maamuzi). Lakini binafsi naona hakutakuwa na Mshikamano ndani ya Irani endapo Wairani...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania ATCL yasitisha safari za Dubai mpaka watakapotangaza tena kutokana na kinachoendelea Mashariki ya Kati

    Wakuu, Baada ya hali ya hewa kuchafuka mashariki ya kati ATCL imetangaza kusimamisha safari zake za kwenda na kurudi kutoka Dubai kwa muda mpaka pale watakapotangaza tena huku ikiendelea kufuatilia hali hiyo kwa ukaribu.
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania OPERATION EPIC FURY: Waajemi waliwaokoa Wayahudi utumwani miaka ming iliopita, leo israel anarudisha favour kwa kuwaokoa waajemi dhidi ya itikadi kali

  16. K

    JamiiForums Tanzania Vita mpya mashariki ya kati

    Mnamo tarehe 28 Februari 2026 saa tatu asubuhi Israel imeshambulia Iran mjini Tehran wakiita ni shambulio la "pre emptive strike". Shambulio limepewa jina la "Operation Judah". Maeneo yaliyoshambuliwa ni makazi ya Rais wa Iran Masoud Pezeshkian na kiongozi wa dini na kiongozi mkuu wa Iran...
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kuuombea amani ulimwengu hasa wakristo na mashariki ya kati

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu Lakini pia tuwaombee watu...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nchi za Mashariki ya kati huwenda zisisimame Milele wakimruhusu Marekani kutumia Anga zao

    Marekani siku zote inalinda Maslahi yake kwa nguvu Kubwa katika kujilinda huku ameigawanya Dunia katika angle za kijographia ili kuhisisha mawasiliano na kuendelea kumiliki uchumi wa Dunia na kuendelea kujitanua pitia ardhi za wengine Kupitia sera za kimataifa. Katika ugawaji huu wa Maeneo...
Back
Top Bottom