Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana,
Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
Wadau hamjamboni Mwanasayansi mwingine wa nyuklia aliuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel, afisa wa eneo hilo anasema Mwanasayansi mwingine wa nyuklia wa Iran, Ali Mansour Bakouei, ameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel, gavana mkuu wa jimbo la Mazandaran nchini Iran alitangaza...
Jamani tuendelee kuwaombea wenzetu mashariki ya kati watu wasio na hatia wanateseka.
vita sio vizuri, watoto wanateseka sana, naandika hapa machoz yananitoka. wakati nikiwa secondary nilisoma kazi moja wapo ya UNO, iliyo anzishwa mwaka 1945 nilikariri neno moja tu "To promote peace in the...
Saudi Arabia ni taifa la Waislamu wa Sunni (kabila la Wahhabi) na Iran ni taifa la Waislamu wa Shia, na ndiyo ngome kuu ya Shia duniani.
Syria, chini ya utawala wa Bashar al-Assad, inaongozwa na Alawite — tawi la Shia.
Iraq, baada ya Saddam Hussein (Sunni), sasa ina serikali yenye ushawishi...
Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran
Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran
Usiku wa kuamkia leo Juni 13 Israel imefanya mashambulizi ya anga kwa nchi ya Irani huku ikilenga maeneo muhimu na viongozi katika mji wa Tehran.
Shirika la Habari la Tasnim la Iran...
Wadau hamjamboni nyote? Ni suala muda
Trump baadaye alithibitisha kwamba baadhi ya wafanyakazi wa Marekani wanahamishwa kutoka Mashariki ya Kati "kwa sababu inaweza kuwa mahali hatari." "Tutaona kitakachotokea... Tumetoa notisi... Iran haiwezi kuwa na silaha ya nyuklia," aliwaambia waandishi...
Leo, katikati ya mazungumzo ya nyuklia, Khamenei aliitishia Marekani kihalisi na kuahidi kulifuta Taifa la Israel - huku akiwatetea magaidi wa Hamas huko Gaza
Alisema "Utawala wa Kizayuni ambao ni Saratani hatari na ni saratani ya eneo la Mashariki ya kati lazima bila shaka Itaondolewa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao
Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu
Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
Wakuu,
Donald Trump alisema kwamba Marekani itasitisha mashambulizi dhidi ya Wahouthi nchini Yemen kwa sababu kundi hilo "limejisalimisha", huku Oman ikithibitisha kuwa makubaliano ya "kusitisha mapigano" yamefikiwa na kundi hilo linaloungwa mkono na Iran ili likome kulenga meli katika Bahari...
Kuna taarifa kuwa hakuna utawala wa nchi yoyote ile ya kiarabu na kiislamu ambayo haina kiongozi wa ngazi ya juu ambaye si wakala wa Israel.Baadhi ya nchi zina mpaka kiongozi mkuu ambaye ni mjumbe anayefanya kazi za kiyahudi.
Utafiti huo umekuwa ukitajwa muda mrefu lakini haikujulikana ukweli...
Gaza haikuwa gereza kama wajinga na wapumbavu walivyokuwa wanaaminisha watu. Gaza ilikuwa ni johari. Watu waliishi vizuri zaidi kuliko katika nchi nyingi duniani, Lakini Hamas kwa ujinga wao na uovu wa kutosha walifanya mashambulizi ambayo yalibadilisha kila kitu huko Gaza!!!
Sasa hivi Gaza...
Tunajua Misri na Jordan zina makubaliano yasiyo na faida yoyote kwao.Hata hivyo makubaliano hayo hayahusiani na kuua watu wa Palestina.
Baada ya kuua kwa karibu miaka miwili ni zamu yao kuiambia Israel isiwaue watu wa Gaza kwa kuwazuilia chakula ambacho kinaoza mipakani kwa takriban mwezi wa...
Jeshi la Marekani limepeleka ndege zake za kivita za kisasa zaidi aina ya F-35A Mashariki ya Kati, huku likiendelea kushambulia waasi wa Houthi nchini Yemen — kundi linaloungwa mkono na Iran ambalo limekuwa likishambulia meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu.
F-35A ni ndege ya kisasa ya...
B-1 Ndege-Vita ya Kimkakati kutoka Marekani nayo inaelekea huko Mashariki ya kati ili kuungana na Baba wa madege yote B-52 watakuwa huko Mashariki ya kati kusubiri kupangiwa kazi ya kufanya Katika eneo hilo!!! Safari hii kuna jibu lazima lipigwe!!!!
1. Utangulizi wa Mgogoro wa Mashariki ya Kati
Mgogoro wa Mashariki ya Kati ni mojawapo ya migogoro sugu zaidi duniani, unaohusisha mivutano kati ya Israel na Palestina pamoja na ushawishi wa mataifa makubwa kama Marekani, Urusi, Iran, na mataifa ya Kiarabu. Mgogoro huu unajikita katika masuala...
Kabla ya wengi wa vijana wa kiarabu na kiajemi kurubuniwa ufahamu wao na mindset zao kuwa engineered katika fujo, force na chaos while kutupilia mbali utu na teknolojia, mahala pale palikuwa penye utulivu na intelect ya kutosha.
Pafyumu
Kinu cha kusindika miwa
Incense Burners
Vifaa na elimu ya...
Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.
Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo la mwisho kwa Hamas kuachilia mateka walioko Gaza, akisisitiza kuwa Marekani inaiunga mkono Israel kumaliza suala hilo.
Hii inakuja muda mfupi baada ya Ikulu ya Marekani kuthibitisha kuwa inafanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, kinyume na sera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.