mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hasira za Mashabiki; Mangungu aokolewa na Polisi

    https://youtube.com/shorts/tOJxCv3CcT0?si=xSS3Qrohs5htvSKG Japo Kwenye mechi ya leo Mangungu hana kosa lolote, ila polisi wangeacha kidogo ale mitama
  2. JamiiForums Tanzania Naendelea kuilaumu TFF na mashabiki wapuuzi wa Tanzania kisa Al Hilal FC

    Saudi arabia anahangaika kulipa mabilioni ili Barcelona na real Madrid wakacheze kwenye ardhi yao, nasikia alitaka kuwalipa england pesa mechi za mzunguko WA pili WA EPL zikachezwe saudia SIJUI walifikia wapi. Kuna kisiwa cha amani kinajiita HIVO mawazir wake huvaa miwani MIKUBWA utasema yes we...
  3. JamiiForums Tanzania Hatimaye tumeletewa Shumileta Part 3, Kiu ya mashabiki inaenda kukatika

    Kwa upande wa filamu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania,basi kwenye hiyo listi Shumileta haiwezi kukosa hata iweje. Stori ya filamu inasisimua sana na iliishia sehemu ya pili, na baada ya mashabiki kuomba muendelezo wake hatimaye gwiji Mussa Banzi anachia rasmi sehemu ya 3 ya filamu hii na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Jux: Siyo vizuri Mashabiki kuwa na chuki na sisi wasanii wao

    Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini CAF haiwazuii mashabiki wa timu za Africa kaskazini kumulika wachezaji kwa lasers?

    Huu ujinga ni aibu sana kwa watu waliostaarabika. Wanawaogopa au ni nini?
  6. JamiiForums Tanzania VIDEO ikionesha mashabiki wawili weusi wakifanyiwa masimango na mashabiki wa Morocco waliowazunguka

  7. Z

    JamiiForums Tanzania Acheni kusingizia mabeberu Tanzania

    Inachosha kusikia kila siku "Mabeberu ndio wanatuvuruga," "Mabeberu ndio chanzo cha vita Afrika na Asia." Hivi hamchoki na huu upuuzi? Hamuoni aibu? Hebu tumia akili yako kidogo (kama unayo): 1️⃣ KWANINI MABEBERU WANALINDA NCHI ZAO? 🛡️ Kama mabeberu ni wabaya sana, mbona kwao hakuna vita...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi Timu inapokea kipigo cha sita mfululizo viongozi wanachukulia poa tu Timu inaendeshwa kwa email badala ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hapa mashabiki wa kongo walimtendea haki patrice lumumba. HONGERA SANA BANA CONGOO!

  10. JamiiForums Tanzania Msanii Marioo awashukuru mashabiki 'Mmeamua nisife njaa'

    Msanii Marioo ameonyesha shukrani za dhati kwa mashabiki wake kufuatia mapokezi makubwa ya wimbo wake mpya “OLUWA.” Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye Instagram, Marioo alieleza kuwa upendo anaoupata si wa kawaida, akisema wazi kuwa mashabiki wake wameamua asife njaa, kauli iliyojaa unyenyekevu...
  11. JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga za Champions League zaibua Taharuki Mashabiki wapanga kuandamana

    Mashabiki wa Yanga wamepigwa na Ubaridi mara baada ya Club hiyo Kongwe nchini Tanzania Kuzindua Jezi zinazofanana na matambala matambala Ikumbukwe msimu huu hawakutoa Jezi nzuri hivyo wananachama na mashabiki walikua na imani kuwa huenda za kuchezea club bingwa zikawa na unafuu lakini wapi...
  12. JamiiForums Tanzania Mapato ya tickets mechi ya jana ya simba ni shilingi 3000/..! Kweli mashabiki wa simba wanaipenda sana team yao

    Wakuu I salute you kinsmen Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa ticket zimeshauzwa ni full house. Lakini jana kilichotokea ni bora wangefanya watu waingie bure tu...
  13. JamiiForums Tanzania CAF yaitoza Simba SC faini nyingine, kuchangisha mashabiki

    Klabu ya Simba Sports Club imekumbana na adhabu mpya kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikijiandaa kucheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United Jumapili, Septemba 28, 2025, bila mashabiki na faini ya Dola 50,000 (takriban Sh123 milioni)...
  14. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa livakuku wanaichukiaga sana hii picha

  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba imetoa taarifa kwa umma kuomba radhi mashabiki wake kushindwa kuvumilia utani wa Yanga SC

  16. JamiiForums Tanzania Simba Sc imefungiwa kuingiza mashabiki kwenye mechi moja ya nyumbani ya CAF CL

    Maamuzi ya CAF yametokana na mashabiki kuvunja utaratibu kwenye mechi ya CAF CC dhidi ya Al Masry. Mechi dhidi ya Gaborone Utd ya Sept. 28 haitakuwa na mashabiki
  17. JamiiForums Tanzania Ni zamu ya Mnyama Simba kutesa, maumivu yameshapita

    Soma pia: Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup... Shabiki wa Klabu ya Simba aliyejitokeza hapa kwa mkapa anasema maumivu ya kukosa ubingwa na ushindi mbele ya Yanga yamepita na ameshayasahau huku akiahidi msimu huu ni msimu wa mnyama. Anasema...
  18. JamiiForums Tanzania Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

    Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
  20. JamiiForums Tanzania Dj Khaled apewa haki yake na mashabiki

    Ni wazi kuwa katika miaka ya hivi karibu mivutano baina ya Israel na Palestina imekuwa mikubwa huku watu wengi wakipoteza maisha katika mashambulio kadha wa kadha haswa ukanda wa Gaza. Dj Khaled akiwa kama anafahamika kwa majina ya Khaled Mohammed Khaled ni mtoto wa wazazi waliokimbia Palestina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…