Joan Garcia aliekuwa kipa wa Espanyol amepata vitisho kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo, baada ya kukamilisha dili lake la kutimkia Barcelona.
Baadhi ya marafiki zake wa karibu wanamuunga mkono kwa kulamba dili hilo lakini raia wengine hawataki kuambia kitu.
Ikumbukwe Espanyol na Barcelona...
Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
Kiukweli viongozi wa Simba wanatuona mashabiki wao ni wajinga na hawatujali kabisa.
Achana na matukio ya kutupiga viingilio takribani mechi tatu. Ila hili la mechi ya dabi ndio limedhihirisha kuwa wanatudharau sana mashabiki wao.
Juzi walituambia kuwa mechi ya dabi ipo 15 juni na hivyo...
Kwa sasa, baada ya kuliwa pesa za viingilio vya mchezo wao ambao walifanganywa kwamba ungechezwa kwa Mkapa, Mashabiki wa 5imba wametelekezwa na viongozi wao na hawajui wasimamie wapi kuhusu hatma ya mchezo wa derby. Baada ya kutoka barua zaidi ya mbili, moja ikisisitiza mchezo wa tarehe 15 June...
Azam TV walitumia nguvu kubwa Sana kutangaza mechi ya March 8 ila haikupingwa wakala hasara.Ikatangazwa tarehe mpya June 15 akasema isiwe kesi yaliyopita si ndwele tugange yajayo wakaanza promo tena nayo wamekula nyoya.
Kumbuka mashabiki walikata ticket Mechi ya March 8.
Mpka leo tunajua...
Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
Kumbe ndiyo maana Mchezaji wa mwisho kupokea Mshahara mdogo Simba SC Chasambi Ladack anapokea Shilingi Milioni 17 kwa Mwezi huku Wachezaji wengine wote wa Simba SC wanapokea Mishahara ya kati ya Shilingi Milioni 40 hadi Milioni 75 kwa Mwezi.
Kuna Timu (nimeisahau Jina) juzi juzi tu hapa...
Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu.
Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi.
Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga...
Mimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo...
Katika kanuni za TFF, CAF na hadi FIFA, hakuna kipengele kinachosema kuwa mechi inakamilika iwapo tu kutakuwa na mashabiki jukwaani.
Hizi nguvu mnazotumia kusema eti mechi isitangazwe, tiketi zisiuzwe, nk. hazina maana yoyote ile katika taratibu za mechi.
Kwanza mkumbuke tiketi za 08/03 bado...
Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami...
Tuwe Wakwelii...
Luis Enrique ametumia karibu kiasi sawa cha pesa ndani ya miaka miwili pale PSG kama ambavyo Mikel Arteta ametumia katika kipindi cha miaka sita pale Arsenal.
Lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya mazingira yao wawili:
Enrique alirithi kikosi kilichojaa wachezaji nyota...
1.Bodi ya Ligi ni mkosa namba moja kwa kuacha kukemea maovu dhidi ya timu.
2.Namba 2 watakuwa ni viongozi(hususani wasemaji) itajihirisha vita ya Mashabiki na ndipo hapa serikali isipoingilia kati Mkunyugano utahamia kwenye Siasa.
Mark my word.
Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League) ambayo Kwao (hawa Wachezaji wa Kimataifa na wenye Uzoefu) itakuwa ni kama tu kufanya Mazoezi.
Wala...
Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo...
Habari za muda huu wana jamvi
Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani?
Ule utani wa jadi uko wapi?
Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili.
Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.