mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kali linux

    JamiiForums Tanzania Basketbal fans: Hivi kwa nini ni ngumu kwa mashabiki wa Kobe Bryant kumkubali Lebron James

    Hello bosses amd roses.. Hii kitu naiona sana hata kwenye media. Ukiachilia mbali hali ya urafiki/kuelewana iliokuwepo kati ya Lebron James na Marehemu Kobe Bryant (RIP) bado fans wengi wa Kobe wanapata ugumu sana kumkubali Lebron James, fans wengi wa Kobe wanaomkubali pia Lebron utakuta ni die...
  2. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Mpira ndiyo watu wenye uzalendo zaidi, huu ndo ukweli

    Toka nianze kujua maisha ni Nini nachoamini binafsi Hilo kundi Ndo yawezakuwa Ndo wazalendo zaidi ata kuliko wale mashabiki wa siasa maana wao huwa hawaendi na upepo kama ilivyo siasa. Ni ngumu sana kusikia kahama sehemu yake ya ushabiki. Na hii nahisi ni duniani kote. Yawezakuwa pia wana...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

    Kila wakati Takwimu huwa zinasema tofauti na wana- Yanga wanavyoaminishwa na watu wao wanaowaamini. Juzi Kati hapa almanusra Manara awadanganye Yanga kwamba haijawahi kutokea Timu ya Tanzania kuongoza kundi kwenye mashindano ya CAF ikiwa na Pointi 13. Alipokumbushwa kwamba simba iliwahi...
  4. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wakati manara anatutukana mashabiki wa Yanga akujua vice president wakati huo ni shabiki wa yanga

    Haji manara wakati yupo Simba aliwahi kusema pale Yanga mashabiki wenye akiri ni baba yake na mzee kikwete. Wakati anasema hayo nadhani hakufikiria ya mbele au ndo mropokaji,raisi wa Tanzania mama yetu ni shabiki wa yanga je na yeye Ile kauli inamuhusu. Haji manara inabidi utuombee samahani...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Elimu muhimu kwa mashabiki na wapenda wa mpira

    Mpira ni ajira na burudani kama burudani nyingine. Mpira ni ajira kwa kuwa Kuna watu wanapata pesa kutokana na mpira kama mishahara ya moja kwa moja na wengine hupata pesa kwa kuwauzia bidhaa (jezi, vuvuzela, maji, pombe, juice, vyakula, tiketi, usafirishaji wa wanaoenda na kutoka kwenye mpira...
  6. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Leo ni sikukuu ya mashabiki wa Simba

    Wanaadhimisha kila tarehe 1 April, ila mwisho saa nne asubuhi Aliyeelewa kaelewa
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Historia yawekwa: Mashabiki wa Yanga wakesha usiku mzima wakiangalia mechi ya kirafiki ya Simba

    Mechi ya marudiano ya Simba vs Raja AC iliyochezwa jana mjini Casablanca ilitegemewa kuwa ni mechi yenye ushindani mkubwa pamoja na kwamba ilikuwa ni mechi ya kirafiki ya kukamilisha ratiba. Pamoja na kwamba timu zote mbili zilicheza kwa tahadhari na kujaribu kutafuta ushindi lakini ile hali ya...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba acheni uvivu nendeni mpige kura kwa Chama muda umebaki mfupi

    Upigaji kura wa mchezaji wa wiki bado unaendelea na yamebaki masaa kama 6 hivi. Mwisho wa kupiga kura ni saa 12 jioni. Gap kati ya Chama na Kahraba ni asilimia 4 tu sasa. Kupiga kura ni rahisi sana usisubiri wala kutegea wengine wafanye. Download App ya Twitter kama hauna. Jisajili Twitter kama...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni kujidanganya kwa mashabiki wa Yanga na Simba kuwaza kuchukua kombe la Club Bingwa badala ya kombe la Shirikisho

    Sisemi mengi: Kwa uwekezaji tunaofanya kwa vilabu vyetu vya Yanga na Simba kulinganisha na miamba ya soka Afrika kwa upande wa vilabu, ni kujidanganga kuwaza kuchukua kombe la club bingwa barani Afrika badala ya kuwaza kwanza kuchukua kombe la shirikisho. Hata kuvuka hatua ya robo fainali kwa...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hivi Mashabiki wa mpira wanafanana sifa zao kote Duniani?

    Habari wanajukwaa kabla sijaja na Uzi wa kutoa kero zangu na kuuelimisha Umma wa wapenda soka Nchini naomba nipate mawazo tu kwa unavyotambua wewe hapo ni kweli mashabiki wa mpira wanafanana kote Duniani, yaani I mean ushabiki wanaokua nao? Na sifa zingine naomba reference ichukuliwe Tanzania...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani tumewahonga Mtibwa Sugar FC tushinde nyingi ili Mashabiki wajae Mechi na Horoya FC tupige Pesa?

    Hovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa za Maumivu za Panadol? Nitarudi hapa baadae Saa 4 Kamili na mengineyo.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Simba tumepoteana kuanzia kwa MO mpaka Mashabiki

    Kauli ya MO jana kuwa “JUZI TUMEFUNGWA JANA TUKAFUNGWA MDOMO” hii imetuvuruga wana simba. Kila mwana simba anatapatapa. Simba inahtaj kiongozi kama hanspope ambaye anaweza kutuliza hii hali ya hewa mbaya. Kesho tuna Azamni hatari kwa simba. Kupoteza na Azam ni upepo mubaya utakuja. Simba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mashabiki wanaanza Kuhesabu Vidole na Kuombea Timu fulani ifungwe ili Wafuzu jua imeshapotea

    Kama Wewe unazitaka kwa Udi na Uvumba Alama ( Points ) Sita ( 6 ) za Ndani Nje za Mganda unadhani na Yeye Mganda hazitaki zako Sita ( 6 ) za Nje Ndani? Halafu nani aliyewaambia na Kuwadanganya kuwa Mgine nae akija Temeke atakuja Kizembezembe wakati Kimahesabu Yeye na Wewe ( Sisi ) Kinyumenyume...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa mashabiki wa Yanga

    Yanga wanaogopa Nini? Mbona sioni shamrashamra kama za jana kwa wenzao Simba SC? Wasiwasi wa nini wajameni? Hebu jiaminini? Jana baada ya kutoka jumuiya asubuhi naona mashabiki wana shangwe na furaha wakipata pombe kuanza kushangilia. Leo mtaani kimya kama vile hamna timu kubwa inacheza mechi na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuwatuliza mashabiki wenye hasira kufungwa na Raja Casablanca FC jana nina uhakika hili kutokea muda wowote

    Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua Mashabiki wa Simba SC wanapenda Kudanganywa nami Nikawadanganya vilivyo

    Baada ya MINOCYCLINE niliyebarikiwa Jicho la Kiufundi kuja na Uzi hapa hapa JamiiForums Wiki Moja imepita kuwa Raja Casablanca FC ni Maji Marefu kwa Simba SC yangu ( yetu ) nilipokea Matusi, Kashfa na Dhihaka nyingi na hatimaye kile nilichokisema leo kimetokea. Na baada ya Kugundua na Kuwasoma...
  17. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi jinsi Hersi alivyofanya leo Kwa Mayele na Mashabiki. Mayele anastahili Heshima kubwa sana.

    Ndiye mchezaji pekee anayejituma sana hapa Yanga. Na Aziz Ki naye anajitahidi. Ila michezaji ya ndani imezubaa sana. Huoni hata ikiumia tunapopoteza points. Nimependa Hersi jinsi ambavyo amepiga simu na kumuweka loud speaker Mayele akimtaka kesho kutupatia magoli. Mayele amesisitiza atatetema...
  18. Dr Rutagwerera Sr

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mashabiki wa Arsenal wanaamini watapata ubingwa msimu huu?

    Kwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare. Timu langu Liverpool hali ni mbaya, nikawa natamani sana Arsenal iuchukue ubingwa badala ya kwenda...
  19. vibertz

    JamiiForums Tanzania Dah leo imani imetoweka, hakika jezi nyeusi ilikuwa inaleta imani na kujiamini hadi kwetu mashabiki

    Mechi ya leo sina imani nayo kabisa, kila nikitafakari naona ni kipigo tu mbele. Kubadilisha rangi ya jezi yenye bahati kwa timu ya Yanga leo tutapata ujira wetu kwa mwarabu. Japo jezi hajichezi ila bahati kwenye mpira upo. Unaweza kucheza vizuri mno na ukakosa matokeo kwasababu bahati haipo...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga jiandaeni kuzinunua jezi mlizouza kwa mashabiki wenu

    Yanga wamefanya kosa kubwa kwenye mkataba wao na SportPesa kuliko wengi tunavyodhani na madhara yake ni makubwa sana kwa mdhamini wao yaani SportPesa. Yaani mimi ningekuwa mshabiki wa Yanga ningemtafuta huyu aliyetoa wazo hili maana ni msaliti mkubwa sana atakayeenda kuiharibia timu si tu...
Back
Top Bottom