mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wana habari wengi wa media za Bongo ni mashabiki wa Simba wamejaa fitina

    Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga. Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sauti Sol kutengana kwa muda usiofahamika, Mashabiki wagoma kuelewa

    Kundi hilo la Muziki linaloundwa na Mastaa wa kiume 4 kutoka Kenya, Bien-Aime Baraza, Willis Chimano, Polycarp Otieno na Savara Mudigi, limetangaza kuwa litatengana baada ya kuwa pamoja kwa miaka 20. Kwa mujibu wa taarifa, Kundi hilo litatengana rasmi baada ya kumaliza ziara yao Desemba 16...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania USM Alger Bingwa Kombe la Shirikisho

    Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla. Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali Kugharamia Mashabiki 55 Kwenda Kutoa Hamasa Africa Kusini

    Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika juhudi za hamasa kuendelea kuunga mkono michezo nchini hususani katika mashindano ya kimataifa, imeamua kugharamia jumla ya mashabiki 55 watakaosafiri kuelekea nchini Afrika Kusini, kwenda kuishangilia klabu ya Yanga katika mchezo wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ukiweza elewa hii picha uwezi bishana na mashabiki Simba

    Kwa muda mrefu sasa nimekua nikifanya tafiti juu ya uelewa wa mpira wa mashabiki wa simba, na mambo niliyagundua ni yafuatayo 1) Wengi wao mpira wameanza fatilia 2019 2) Wengi wao dish zimeyumba 3)Wengi wao much know 4) Wenye akili wanajitoa ufahamu 5) Wengi wanabishia uzoefu 6) Watu...
  6. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Msimbazi mashabiki wataka MO awaachie timu yao

    Mashabiki mbalimbali wameanza kumtupia lawama muwekezaji MO dewji kuwa yeye ndie anawarudisha nyuma na wala siyo wachezaji wa benchi la ufundi..
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhalini tutengeeni Siku Maalum kwa Sisi Mashabiki 'Kuwapiga' Wachezaji wetu Wanaozingua

    Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni..... 1. Clatous Chama 2. Henock Inonga 3. Said Ntibanzonkiza 4. Pape Ousmane Sakho 5. Shomary Kapombe 6. Kibu Denis 7...
  8. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba sio Wachezaji, ni mashabiki

    Ndugu zangu makolo hongereni kwa kumaliza msimu huu na makombe kedekede.Timu yenu mmeiharibu wenyewe kwa kuwapa wachezaji wenu sifa zisizofaa na hiyo imepelekea wachezaji wenu kuwa na OVER CONFIDENCE. Kipa wenu hamna kila kitu ila mnavyompaisha sasa. Chama wenu hamna kila kitu mnavyompa misifa...
  9. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Azam FC

    Nasemaaaje mpira kidogo magoli mengi kula bomu 💥 Kula bunduki ya kiarabu twiu twiuu
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya Mashabiki Wenzangu wa Rhumba na Congo Music Fally Ipupa kaachia Rhumba Kali la MAYDAY

    Hapo nyuma niliwaletea Rhumba lake Kali liitwalo Se Yo na hata bado hatujatosheka na Utamu wa huo Wimbo tayari Fally Ipupa katuletea Rhumba lingine Kali na Tamu liitwalo MAYDAY. Litafuteni haraka ili mlisikilize ila kwa Mimi GENTAMYCINE sasa nataka kuingia Chimbo nijue ni kwanini huyu Mtoto...
  11. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Malimwengu ya mashabiki wa soka Tanzania

    Katika pitapita zangu mitaani, mitandaoni na vijiweni nimekutana na mashabiki wa Yanga na Simba wakitaniana, tambiana na kupigana vibisibisi vya hapa na pale. Hiyo yote inapelekea kunogeshwa kwa soka la bongo. Kali na kubwa kuliko yote ni pale ambapo mashabiki wa Simba vile wamekuwa wanaibeza...
  12. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee mashabiki wa Simba, kwa sasa wanapita katika kipindi kigumu sana

    Diagnosis iko hivi; Stress level iko juu Wana msongo mkubwa wa mawazo Hasira kali iliyo changanyika na njaa kali; and Kujinyonga ni most natural and probable consequence. Mungu awafanyie wepesi.
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wengine hawajitambui Kabisa

    Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
  14. Kalpana

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa mashabiki wa Simba

    Nawapongeza sana wana lunyasi wotee kwa umoja huu mlioonyesha kwa timu yetu dhidi ya wydad hapo jana... Kuna baadhi ya wana utopolo hawaamini macho yao.. Kwanza tulimfunga wydad kwa Mkapa japo wao wanamuogopa mnoo yani walimuona kama hafungiki na pia waliamini tungeoga magoli ila sio kwa mnyama...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tusipoenda Kuwapokea Wachezaji wakirejea kutoka Morocco tutawakosea sana

    Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90. Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine...
  16. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ushauri muhimu kwa uongozi wa Yanga na mashabiki wa Yanga, hatutaki hadithi ya Simba na Jwaneng Galaxy

    Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar. Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ushangiliaji wa mashabiki wa Wydad Casablanca, unatosha kabisa kuharibu saikoljia ya wachezaji wa timu pinzani

    Hakika huu ndio ukweli na hii ni baada ya kuona clip mmoja mtandaoni. Mashabiki wa hii timu wana spirit ya ajabu katika kushangilia na kuna wahamasishaji kabisa wako kwa ajili hiyo. Wingi wa mashabiki pamoja na spirit kubwa ya ushangiliaji, ni wazi hii ndio sababu tosha timu nyingi kula kichapo...
  18. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Simba msiwapotoshe mashabiki wenu tuweke rekodi sawa, kataa uongo

    ⚽️KATAA KUDANGANYWA KATAA KATAKATA UONGO⚽️ Jamani kwa mliozaliwa miaka ya 2000 nataka niwape somo kidogo, hakuna timu kutoka Tanzania iliyowahi kufika Nusu Fainali Michuano ya CAF. 1992 Simba alicheza Fainali Kombe la Washindi liliondaliwa na tajiri kutoka Nigeria, yaani hayo yalikuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kundi maalumu la Mashabiki: Ni wale wanaozipenda Simba na Yanga kwa pamoja!

    Huu utamaduni wa kushabikia timu moja na kuiombea dua mbaya timu nyingine hauna tija!! Kwani ukiipenda Simba lazima uichukie Yanga? Na ukiipenda Yanga lazima uichukie Simba? Kwani ukiifurahia Yanga lazima inavyocheza lazima uichukie Simba? Au ukiifurahia Simba inavyocheza lazima uichukie Yanga...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Rivers United fc tukutane hapa

    Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga Afirika fc. Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
Back
Top Bottom